[emoji298][emoji298][emoji298]ITALY (Genoa). Demonstrations by Italians against NATO. https://t.co/Rx6zuhYuZI
Na nina uhaka watakuwa wameapata "permanent damage" katika vichwa vyao.Huyo msemaji kakonda yaaani dah!
Umesema kweli mkuu ndo Hawa hapa Sasa utategemea nini🤣🤣🤣Mhariri wa New York Times atoa ushauri kwa Ukraine na Zelensky amefahamu.
In an editorial, The New York Times reported that Ukraine's victory in the war with Russia now looks unrealistic and that Ukraine may have to cede its territories.
Raisi Zelensky ametoa rai kuwa arejeshewe askari wake waliojisalimisha Mariupol kwa kubadilishana na askari wa Urusi.Sijui ataishiaje Urusi akikataa wazo hilo kwani wale wa Azovstal ndio ilikuwa uti wa mgongo wa jeshi la Ukraine. Huko kwengine wamebaki kuruta pekee wakisikia mvumo wa kombora la kirusi wanakimbizana majumbani kwao.
Ushauri mzuriHahahaha. Mtafute na afisa ushirika awasaidie kufungua saccos mpate licence ya operations. Mtatisha sana.
Vitani lazima watu wafe hata utumie strategy ya marobotiKama strateji ya kivita ndiyo hii ya kuwafanya chambo askari wako na vifaa vyako vya kijeshi basi ni strateji ya kijinga kwelikweli. Maana Javelin missiles na Bayraktaar drones ziliwakaanga kwelikweli kama chipsi mayai
Ukraine ni kati ya nchi 5 duniani zinazozalisha ngano nyingi na kuiuza nje. Vita ya Putin imepandisha bei ya ngano kote duniani kwa sababu mazao kutoka Ukraine hazifiki tena sokoni.Hivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....
| # | Country | Quantity tonnes |
|---|---|---|
| 1 | Russia | 37,267,014 |
| 2 | United States | 26,131,626 |
| 3 | Canada | 26,110,509 |
| 4 | France | 19,792,597 |
| 5 | Ukraine | 18,055,673 |
| 6 | Australia | 10,400,418 |
| 7 | Argentina | 10,196,931 |
| 8 | Germany | 9,259,493 |
| 9 | Kazakhstan | 5,198,943 |
| 10 | Poland | 4,689,130 |
Kila siku Biden anaomba pesa , unafikiri Iraq ilikua hivi? huyu Ndio Putin kiranja mkuu wa ulimwengu anae pambana na Ukraine pamoja na sponsors wake na bado wanalia lia kama MbwaTulimtegemea sana kwenye balance ya dunia ila ameonyesha alivyo hovyo, kainchi kadogo jirani yake hapo kamemtoza makamasi mpaka ameomba msaada kwa wastaafu na wapiganaji wa kigeni.
Sasa hivi duniani tumeanikwa vibaya mno, hata waarabu na dini yao walikua wanamtegemea Mrusi na ndio maana wengi wenu bado mna matumaini kwa Putin ila ameishiwa pumzi.
Kamanda wa kikosi cha Azov Nazis cha Ukraine adakwa na majeshi ya Russia baada ya kujisalimisha huko Azovstal, Mariupol, na kusafirishwa kwenye gari special la kivita.
Baada ya wanajeshi wa Ukraine kujificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol, Putin aliyakataza majeshi ya Russia yasitumie nguvu kubwa kuingia ndani ya kiwanda hicho au kukisambaratisha kwa mabomu. Badala yake akayaamuru yazingire kiwanda hicho na kuziba mianya yote kiasi kwamba hata nzi asiweze kupenya kuingia ndani ya kiwanda hicho....
Hatimaye kutokana na njaa kali, kukosa dawa za kutibia majeruhi na kuishi na miili ya wenzao waliokufa (walishindwa kuitoa nje na kusafirishwa kwenda kuzikwa) kumepelekea kamanda huyo na wanajeshi wake zaidi ya 2400 kusalimu amri na kudakwa na majeshi ya Russia kama kuku wa kizungu
=======
View attachment 2232620
View attachment 2232619
Hapo unaweza kuta Wamagharibi watakuwa wamemwambia Zelensk, hebu subiri subiri kwanza.Ngoma bado mbichi hii hakuna kukata Tamaa maishani
Siyo kombati.Zelensk kaning'inia kwenye Z akiteleza kitachomkuta kitamfanya avae pempas
View attachment 2234397
duh kwan si tulikubaliana luhansk hawakutaka kubaki Ukraine? ss iweje ahofie sapoti ya kyivv?Hujui vita , kama Urusi angevamia moja kwa moja luhansk maana yake wale wanajeshi wa Ukraine pale Luhansk wangepata msaada mkubwa sana kutoka KYIV, kwahiyo tumekwenda KYIV kuwablock wasije wakaleta msaada mkubwa kwa wakati ili tuwapige wale luhansk kwa raha zetu
Jimbo lile lilikuwa pasu kwa pasu au huna taarifa? sasa tumekuja kuwafukuza wanazi kwenye ile pasu nyingineduh kwan si tulikubaliana luhansk hawakutaka kubaki Ukraine? ss iweje ahofie sapoti ya kyivv?
Yeah yuko sahihi, lakini ugumu ktk hiyo diplomasia unakuja kwa sababu Urusi inataka vita isitishwe ila wayachukue maeneo yote ambayo wameishayachakua, hiki ndicho Ukraine inakataa ktk Makubaliano hayo, kwhy inaona kama ni hivyo waendelee na kupambana.Jana rais Zelensky alisema ni dilplomasia tu ndio itaokoa Ukraine, kwahyo anabishana na rais wake? aya aanze kuokoa miji yake sasa, na akiendelea kukaza fuvu watachukua hadi kyiv. Vita vya silaha za misaada huwezi kua suistanable, unless unafurahisha genge.
Ukisikia kauli kama hizo jua Zelensky anatafuta njia ya kuanza maongezi ya maani na Urusi, ila nalojua Urusi haiko tayari paka pale atakapo taka Odesa ndo Ukuraini iwe landlocked ndo atakaribisha maongezi ya amani.Kauli hiyo imetolewa leo hii na Mshauri wa Rais wa Ukraine, Mykhailo Podolyk. Podolyk amesema licha ya Urusi kuthibiti maeneo kadhaa ya Ukraine, Ukraine haiko tayari na haitakuwa tayari kukubali mazungumzo yeyote yanayotaka Ukraine kuachia maeneo kadhaa kwa Urusi.
Kwa kauli hii, Vita itaendelea hadi pale mmoja wapo atakapo kubali kushindwa vita, jambo ambalo halitarajiwi kwa upande wowote ule.
Vile vile inatoa taswira yakwamba Ukraine itaendelea kupigana hadi tone la mwisho la damu pasipo kusalimu amri ya kusitisha vita ya majeshi ya Urusi, na hawatakuwa tayari kuachia maeneo mengine kunyakuliwa na Urusi kama ilivyonyakuliwa Cremea.
_______________________________________
Ukraine yakataa usitishaji mapigano huku mashambulizi yakizidi huko Donbas
Ukraine imetupilia mbali usitishwaji mapigano au makubaliano yoyote na Moscow huku Urusi ikizidisha mashambulizi eneo la mashariki la Donbas hasa katika mkoa wa Luhansk na kusitisha usambazaji wa gesi kwa Finland. Rais wa Poland Andrzej Duda anatarajiwa kulihutubia Bunge la Ukraine leo Jumapili. Mshauri wa Rais wa Ukraine Mykhailo Podolyak amekataa makubaliano ya kusitisha mapigano na kusema Kyiv haitakubali mpango wowote na Moscow ambao utahusisha kuachia eneo flani. Podolyak amesisitiza kuwa, kufanya makubaliano kama hayo ni kwenda kinyume na malengo ya Ukraine na kwamba hilo haliwezi kuvimaliza vita hivyo. Wito wa hivi majuzi wa kusitisha mapigano ulitolewa na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin na Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi.
Chanzo DW.
View attachment 2234314