Nahisi atquza nchi kwa wapoland.Hii picha inatia huruma kwa kweli,dogo Zele anaonekana mnyonge kweli.
Dogo Zele Yuko katikati ya mafahari wawili.
Nahisi atquza nchi kwa wapoland.Hii picha inatia huruma kwa kweli,dogo Zele anaonekana mnyonge kweli.
Dogo Zele Yuko katikati ya mafahari wawili.
Trump anajitambua,Putin mchonganishi aise[emoji16][emoji16]...but not Trump
View attachment 2233514
Urrrraaaa[emoji4]
Hahahaha...yaan had nakuonea huruma...unatoka kwenye pango kama wale jamaa wa mariupol...kisha unarudishaa bichwaa ndani..na lilivyoo kubwaaa..hahahaKyiv Kwa sasa Hali ni shwari.Shughuli zinaendelea kama kawaida,wakuu wa nchi mbalimbali wanatembelea [emoji848]
![]()
Mkuu wa nchi wa kwanza wa kigeni alihutubia bunge la Ukraine
Andrzej Duda atakuwa ni mkuu wa nchi wa kwanza wa kigeni kuzungumza na bunge la Ukraine maarufu kama Verkhovna Radawww.voaswahili.com
Putin Ni mtu na nusu,wakuu ila tukiacha ushabiki wa pro-max tukarudi kwenye uhalisia basi kwa pamoja tutasema Putin ni Kichwa haswaa. Kuendesha operation zote mbili(kijeshi na kiuchumi) kwa mpigo against nchi zaidi ya 30+ zenye nguvu na bado unazitoa jasho siyo jambo la kawaida. Sisi wengine kelele za wake zetu tu ndani huwa zinatuvuruga kichwa tunakimbia ndani na kwenda kushinda bar, vijiwen na n.k sembuse makelele ya USA, NATO na EU.
Mzee putin apewe heshima yake haijalishi wewe ni pro-Putin au pro-NATO penye ukweli tusimame pamoja.
Na Ukraine kaharibu za Urusi ngapi?
Hii ku'qoute hivi sijui mnafanyaje? 😃😃😃😃Of course mdau 🤗
Sana 😂
Mdau Wino mwekundu nimeongezea kukaza uzi 😂
Mashariki mdau kumestaarabika zaidi... 😌
Point muhim mdau... 👊
😂😂😂
Kumbe ku'qoute namna hii raaaha 🤣 Galip Vrl usiseme nimekuiga 😂
Unamaanisha idadi ya drones za Ukraine ambazo urusi imeharibu toka vita ianze au vipi?, Na Ukraine kaharibu za Urusi ngapi?
Mdogo mdogo tu dunia imeanza kuamuka kutoka kwenye akili za sindano ya ujinga. USA chini ya Biden inaenda kupoteza ushawishi na uoga iliyofanikiwa kuupandikiza kwa nchi nyingi duniani. Elimu ya watu kutofautisha 6 na 9 imeongezeka sana siyo kama enzi za ujima.View attachment 2234495
[emoji327] People take to the streets in Japan to protest against Joe Biden's visit.
The protesters took to the streets against the US-Japan and later the Quadrilateral Security Dialogue (the Quad) summits. They believe that the White House's actions are aimed at pitting Japan against China and may disrupt peace in the region.
Mwanangu una Lugha chachu hadi nahisi una undugu na Medevdev 😂Marekani yasikitika kuripoti kuwa majeshi ya Russia leo hii jumamosi yamezinywa shehena kubwa za silaha na vifaa vya kivita toka Marekani na nchi za Ulaya vilivyopelekwa Ukraine kuisaidia serikali ya Zelensky...
Shehena hizo za silaha za mabepari ya kimagharibi zilizoingizwa Ukraine, zimeshambuliwa na kuangamizwa katika mikoa ya Zhytomyr na Donbas kwa kutumia yale makombora 'pendwa' ya Russia yaitwayo Kalibr cruise missiles
Pia huko Odesa, majeshi ya Russia yameunguza miundombinu ya kuhifadhia mafuta, na pia yametungua ndege mbili za kivita za Ukraine aina ya Su-25 na kuziangusha droni 14 za Ukraine (watakuwa wamezichoma kwa kutumia zile silaha zao ngeni za mionzi ya leza za kuchomea drones)
View attachment 2232975
View attachment 2232925
Asante, ila naona "Vita ya Putin" ni sahihi. Uvamizi ulikuwa azimio lake.Acheni kupersonalize issues...'vita ya Putin' kwa vipi?!?! Huo ni mtazamo wa USA na all Western countries in their efforts to demonize Putin....Russia ndiyo iko kwenye mapambano na siyo Putin...wakati NATO ilipoivamia Serbia, Libya, Iraq na hata Syria hatukusikia kuwa hivyo ni vita vya Bush, Blair, Obama au sijui Nani....
Binafsi huwa naghadhabika sure kukereka kuona watu wazima wanapumbazwa na propaganda za magharibi....jamani hivi Kuna nchi mbaya duniani kama USA? America imeua mamilioni ya watu huko Grenada, Japan, Korean Peninsula, Panama, Iraq, Libya, Vietnam, Serbia, etc...imewaua Wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa America...duh...hivi inakuwaje sisi weusi hatuwezi hata kutambua watu wabaya?! Yaani bado tunawakumbatia na kuwafurahia wakoloni na wanyonyanyi wa raslimali zetu?! Ni lini tutajifunza na kuwa independent wa mawazo na fikra?! Watu wazima na akili zetu bado hatuoni ubaya wa West?!?!
Fake newsMarekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.
Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.
Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.
=======
View attachment 2234461View attachment 2234462View attachment 2234463
Kufa vitani ndio heshima ya jeshi, hakuna jeshi ambalo watu wake hawajakufa labda jeshi la zimamotoKufa kifala nako ni ufala wa kikomandi
Mtakufa mwaka huu kwa kihoro...