Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Labda umwombee Putin afya maana nasikia mara nyingi afya yake si njema.Biden ameenda South Korea, Wakorea wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na ndugu yetu NK.
Ameenda Japani, Wajapan wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na jirani yetu China.
Nadhani kupitia hii operation ya Urusi Dunia kwa kiasi kikubwa wameshajua siasa za Marekani na NATO kuwa ni unafiki na ugombanishi...
Acha tuendendelee kumwombea Kamanda Putin azidi kuifungua dunia na Unafiki wa Marekani.
Maandamano huko Korea na Japani ni kitu kizuri, ni dalili ya demokrasia imara.
Ila watu wanaoandamana si wengi. Idadi kubwa ya wananchi wanapinga vita ya Putin na uvamizi wa Ukraine.
Kwa nini watu wa Korea Kusini walimchagua Yoon Seok-yeol anayempinga vikali yule comedian mkuu wa Korea Kaskazini? Na kushikamana kwa mikono yote miwili Marekani aliyekomboa Korea Kusini dhidi ya mashambulio ya China? 78% za wananchi wa Korea Kusini wanakubali vikwazo dhidi ya Urusi, 75% wanakubali ni vema kulipa bei za juu kwa mafuta na gesi kwa kusudi la vikwazo dhidi ya Urusi.
Huko Japani idadi ni chini kidogo, lakini bado wananchi wengi kabisa wanasimama dhidi ya vita ya Putin na upande wa Ukraine
Ona: https://www.ipsos.com/en-nl/war-in-ukraine-april-2022