Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mafuta ya diseli: bei zimepanda kwa sababu vita inaleta vurugu kwenye masoko. Vikwazo ni hatua zilizofuata vita. Uhindi inanunua mafuta kutoka Urusi, hakuna anaye wazuia. Marekani inajaribu kuwashawishi Wahindi wasiendelee kununua kwa Putin lakini hawana uwezo kuwazuia.
Sisi nani anatuzuia tusinunue mafuta ghafi Russia na tukatenga fungu la dharura kufufua refinery ya mafuta ghafi hayo pale Kigamboni ?

Sawa, ngoja nikubali yaishe. Umeshinda! mchana mwema mkuu.
 


🔹Vladimir Putin, at the talks with Alexander Lukashenko, said that the Russian economy, despite the sanctions, is adequately withstanding the blow:

▪️Against the background of sanctions, the efforts of the economic bloc have a positive effect;

▪️The transition to settlements in national currencies with partners contributes to the strengthening of the ruble;

▪️The volume of trade between the Russian Federation and Belarus in rubles is increasing.

🔹Lukashenko's statements:

▪️ The economy in Russia and in the Union is not just strengthening, but unexpectedly intensively strengthening, unemployment is falling;

▪️The West underestimated the sanctions measures against the Russian Federation and Belarus, these decisions hit them themselves;

▪️ There is a lot to talk about in the security sphere, “especially in connection with the fact that the NATO forces are concentrating troops on the western borders”;

The West is taking steps to dismember Ukraine. The Ukrainians will still have to ask Minsk and Moscow not to allow the “separation” of western Ukraine.
 
Hivi vita Russia ndiye atakaye poteza, hataweza kuikalia ardhi ya Ukraine kama anavyofikiri. Kuna kinachopangwa kufanywa dhidi yake na ndio itakayommaliza kabisa.
Wewe unajua kinachopangwa dhidi ya RUSSIA
Halaf RUSSIA wenyewe hawajui kweli mnateseka[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20220523_145824_052.jpg


Euro has gone down
Dollar 57.78
Euro 59.93
 
Unajua nini wewe.... Hata manati hujawai kutumia kazi kuongeaongea sisi tunaoijua vita na tuliopigana vita tunajua maana ya kujisalimisha pia inawezekana kujisalimisha pia ikawa sehemu ya mkakati wa kuondoka sehemu salama pia... Hujui vita unavisikia Tu na itel yako umeshiba zako mafenesi unaongea makamasi.... Shwaini
Kunywa maji yakutosha MKUU[emoji23][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATO hawapigi Urusi kwa sababu si umoja wa uvamizi ni umoja wa kuteteana. Ilhali Ukraine si mwanachama wa NATO, katika kanuni zao hakuna sababu ya kuvamia Urusi.
Ila katika tishio la kinyuklia hakuna kilichobadilika kutokana na roketi hizo mpya.
Walikuwa wakimtetea mwenzao kule Libya, Serbia,Iraq, Yugoslavia nk, sio? Acha undezi!
 
Wanajitoa akili tu.. waijua hiyo teknolojia vizuri tu, kama ilivyo RADAR(Radio Detection And Ranging) kuna teknolojia mpya inaitwa LADAR(Laser Detection And Ranging) hiyo hufanya kazi kama Radar lakini yenyewe ina more accuracy sasa hapo Rusia niwamefanya modification kwa kuongeza intensity ya hiyo laser light tu nakuifanya hiyo LADAR kuwa weapon

Kuna uwezekano mkubwa hata mmarekani akawa nayo sema kwakuwa kaamua kuifanya hii vita kama njia ya kuchunguza nguvu ya Mrusi amejifanya anahamaki yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
Kumbe US hapendagi kujionyesha Kama Ali Kiba 😄😄😄 yooooooooo pop it up 😄😄
 
Back
Top Bottom