Made in wap hiyooHuyu mnyama ndo habari ya mjini kwa sasa.anaitwa Terminator. Ni mlinzi wa vifaru View attachment 2235481
Hakuna kombora kama hilo kwingine zaidi ya UrusiHii missile ni Noma mkuu
-linasafiri 35,000km.
-linabeba nuclear warheads 15.
-Halidunguliwi
-Linapiga sehemu paisipotarajiwa.
-Halionekani kwenye radar.
Inshort,hakuna kombora kama Hilo duniani.
Anajua nini kitamkutaTaifa la Ukraine ni miongoni mwa nchi zinazomiliki silaha za Nyuklia na makombora ya masafa marefu
Ni taifa kubwa tu la watu milioni 45 kulingana na takwimu za mwaka 2020
Jamaa wana silaha za kila aina lakini wanapigwa biti na mrusi wanaufyata
Kila mtu anaijua nguvu ya Putin na Urusi,lakini nachotaka kusema hapa ni kuwa, kama nchi nyingine tusiwe kama Ukraine
Hata kama ni Russia na manguvu yote ukraine alitakiwa akitishiwa kuvamiwa naye aonyeshe misuli ya umwamba
Taifa la watu milioni 45 sio taifa dogo wakuu ni taifa ambalo linaweza kuwa na uwezo wa kutunisha misuli kwa taifa hata lenye watu milioni 300
Sasa wapo milioni 45 wanakua waoga hivyo na wanaonyesha udhaifu mkubwa,jee wangekua milioni 3 au 4 jee?
Taifa la watu milioni 45 mkiamua kuwekeza kwenye jeshi na uwezo mkubwa mnauwezo wa kulitunishia misuli dola lolote hapa ulimwengu, milioni 45 inakutosha kuwa superpower nawe ukatunisha misuli
Na silaha za nyukilia wanazo lakini wamekua watu waoga hivyo?Vita ikitokea Ukraine wakijipanga wakipigana na Russia hata kama mrusi atashinda lakini wangemuachia russia makovu fulani au kumporomosha kiuchumi,kwamba vita viww virefu vya kufa na kupona.
Ukraine anapitwa hadi na nchi kama Israel ambayo ina idadi ndogo lakini wanatunishia misuli madola makubwa,kila kitu ni kujipanga,Israel sio wengi ni nchi ndogo lakini kijeshi wanajitahidi vipi hao ambao wapo milioni 45 na wamejionyesha dhaifu hivyo
Una makombora ya masafa marefu yanayofika Moscow halafu unatishiwa kuvamiwa?Kwanini usitamke wazi kabisa kwamba ukivamiwa utaishambulia Moscow kwa makombora ya masafa marefu?
Hii nchi ni ya ajabu sana. Mimi kwa hili nasimama na Urusi katika huu mgogoro lakini Ukraine wanafeli sana masilaha yote hayo lakini wameshindwa hata kupiga mkwara tena watavamiwa na hawatafanya kitu,hawa jamaa ni useless kabisa
Ukraine hawafai kuigwa
Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]Zelensky anasema Ukraine inaweza kupoteza askari 100 kila siku huko mashariki mwa nchi hiyo.
Yetu macho na masikio.View attachment 2235491
Ukraine inaweza kupoteza maisha ya wanajeshi 100 kila siku huko mashariki - Zelensky

Getty ImagesCopyright: Getty Images
Ukraine huenda inapoteza maisha kati ya 50-100 eneo la mashariki kila siku, Rais Volodymyr Zelensky alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumapili.
Alisema waliouawa walikuwa wakiilinda Ukraine katika "mwelekeo mgumu zaidi".
Zelensky hakufafanua zaidi lakini maoni hayo yanaonekana kuwa marejeleo ya hasara za kijeshi na ni ishara ya jinsi mapigano yalivyo makali mashariki.
Vikosi vya Urusi vimeongeza juhudi zao za kuteka miji ya eneo la Donbas mashariki, kwa kuzingatia mji wa Severodonetsk.
Waambieni NATO warushe jiwe Moscow!Ukraine sio mwanachama wa NATO, kuna mindege ya Sweden ambayo ya kisasa imemtamani sana Putin, tatizo hakuna rubani hata mmoja wa Ukraine anajua kuzitumia.
Huyo Mrusi ajifanye amekosea njia ashushe kombora kwa kataifa kamoja tu ka NATO.
Huyo ndiye anayefanya nchi yake inazidi kuteketea,akumbuke hata mmarekani alichajitoa kuwa yeye atakuwa na hatma ya mazungumzo na mrusi,hata Poland amemwachia uamuzi juu ya mazungumzo ya kusitisha vita na mrusi,acha akomae Hadi mrusi amng'oe ubongo🏃Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
Ingekuwa watu hawajakimbilia nje ya nchi naamini wangeanza kumtimua aondoke aende kwa mabwana zake.Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
Hakika mkuuHuyo ndiye anayefanya nchi yake inazidi kuteketea,akumbuke hata mmarekani alichajitoa kuwa yeye atakuwa na hatma ya mazungumzo na mrusi,hata Poland amemwachia uamuzi juu ya mazungumzo ya kusitisha vita na mrusi,acha akomae Hadi mrusi amng'oe ubongo[emoji125]
kwan yeye ndio anawaua ? mkiitwa viumbe wa mitin mnalalamikaZelensky anasema Ukraine inaweza kupoteza askari 100 kila siku huko mashariki mwa nchi hiyo.
Yetu macho na masikio.View attachment 2235491
Ukraine inaweza kupoteza maisha ya wanajeshi 100 kila siku huko mashariki - Zelensky

Getty ImagesCopyright: Getty Images
Ukraine huenda inapoteza maisha kati ya 50-100 eneo la mashariki kila siku, Rais Volodymyr Zelensky alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumapili.
Alisema waliouawa walikuwa wakiilinda Ukraine katika "mwelekeo mgumu zaidi".
Zelensky hakufafanua zaidi lakini maoni hayo yanaonekana kuwa marejeleo ya hasara za kijeshi na ni ishara ya jinsi mapigano yalivyo makali mashariki.
Vikosi vya Urusi vimeongeza juhudi zao za kuteka miji ya eneo la Donbas mashariki, kwa kuzingatia mji wa Severodonetsk.
[emoji120][emoji120]Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
Je wewe ukiitwa WA pangoni sawa na aliowachomoa mrusi mapangoni Unaonaje.kwan yeye ndio anawaua ? mkiitwa viumbe wa mitin mnalalamika
ebu jigeuzie hiyo statement kwako , unaonesha kila dalili , mwenzio anapigania ardhi yake ww unataka aache , sasa sijui na mwendawazimu hapo?Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
Dah mkuu yaaani mtu aje kwako akutawale kisa ana nguvu?Huyo ndiye anayefanya nchi yake inazidi kuteketea,akumbuke hata mmarekani alichajitoa kuwa yeye atakuwa na hatma ya mazungumzo na mrusi,hata Poland amemwachia uamuzi juu ya mazungumzo ya kusitisha vita na mrusi,acha akomae Hadi mrusi amng'oe ubongo🏃