Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mna visa sana nyie. Putin ndiye kaleta kiangazi Afrika? Putin ndiye kasema msiwekeze kwa nguvu zenu zote miundo mbinu ya umwagiliaji, mbegu, utayarishaji shamba, uhudumiaji shamba, muache kukamilisha miundo mbinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere mapema zaidi? Ebu tulizina kwanza!
Hakuna aliyesema Putin ameleta ukame. Unapinga nini? Anachofanya Putin ni kuzuia mazao ya Ukraine kufika kwenye masoko ya Dunia. Tokeo lake ni kupanda kwa bei.
Kupanda kwa bei kunaumiza maskini wanaokosa uwezo wa kulipa bei za juu. Tokeo lake ni njaa na vifo.
 
#Interview

💬 "As for the expansion of NATO, and do we (CSTO - IF) need to build up our power bloc, of course, we consider this expansion as a prerequisite for increasing tension, the distant militarization of the region. This does not serve to strengthen security, including member countries NATO. Do we need to strengthen our potential? We have enough forces and means to respond to possible challenges that will really manifest themselves in this situation," CSTO Secretary General Stanislav Zas said on the Belarus-1 TV channel on Sunday.

"The CSTO defines a red line that cannot be crossed. This is the deterrent factor of our organization. There are limits in the informational, political, economic confrontation that cannot be crossed. Because it comes to military threats or the very existence of states," the head of the CSTO emphasized.

@odkb_csto
 
Ule mpango wa uuteka mji mkuu wa Ukraine na kuiporomosha Serikali ya Ukraine ndani ya wiki 3 tu imekuwa ndoto !! sasa ni mwendo ya kuyalinda yale majimbo 2 yaliyojitenga.

Na wamekaribisha mazungumzo kwamba Ukraine wakubali kuyaachia ili yajitangazie dola - Ukraine imegoma - mziki unaendelea.
 
Anaeamini Urusi atashinda hii vita basi akapimwe akili sio mzima kabisa.Rusia anawezaje kushinda vita kwa wababe USA na NATO wakati mifumo yote ya kijeshi na kiuchumi wanaiendesha wao? Yani kuna watu Bado wanaamini Rusia awashinde NATO kweli basi haya ni maajabu .
Kwa kuwasaidia tu huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na ndo mwisho wake pia hapa Duniani.
Hii Dunia hiii kazi ipo

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.

Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.

________________________________________


Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.

Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.

Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.

Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.

Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.

Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.

Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.

Chanzo VOA

View attachment 2232267
Hiyo ni mbinu ya kidipromasia kuivuruga nato maana watu wa kila pande duniani watajiunga upande wa urusi , pia urusi ina wanajeshi mamilioni wewe unasema wamekufa [emoji16][emoji16]
 
Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Eti raia wa israel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha .... kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
 
Mrusi anasubiri kwanza ule mzigo wa usd40 bilion utue ukrine ndo akubari mazungumzo. Unajua kwanini? Atawambia hela ya kujijenga upya mushapewa na maadui zangu kaeni mjenge nchi yenu vita imeisha. Kila mtu anarudi kwao maisha yanaanza upya mbona simpo tu, eh mbona simpo tu jamani.
 
The Chinese Foreign Ministry protested to the United States in connection with Joe Biden's statement about his readiness to defend Taiwan by force:

"The United States must stop underestimating China's determination and ability to protect sovereignty and territorial integrity. China will not allow any country to interfere in its internal affairs, including the issue of Taiwan," the Chinese Foreign Ministry said.
 
Kupanda kwa bei kunaumiza maskini wanaokosa uwezo wa kulipa bei za juu. Tokeo lake ni njaa na vifo.
Aisee! Labda tutaongea lugha moja! Nianze, Ndiyo kupanda bei kunaumiza masikini, lakini ni nani kwa suala la sasa anawaumiza maskini kati ya Nchi za ulaya na Russia? Kwa maelezo yako, Russia ndiye mkosaji, lakini wale waloiwekea vikwazo Russia isiuze mafuta na gesi kwa bei nafuu katika soko la dunia ni 'malaika', hawajasababia bei kuwa juu! Unashangaza sana!

Nikupe Mfano, Tanzania hatuishi kwa kula ngano ya Ukraine ama Russia, tunashindia mihogo yetu, mahindi, na mchele, ndizi na vyakula vingine vizuri vyenye virutubisho. Vyakula vyetu hivi vyote vimepanda bei kwa sababu ya kupanda bei ya mafuta ya dizeli ambayo utumiwa na magari makubwa ya mizigo. Na hii inasababishwa na mzalishaji mkubwa wa mafuta ghafi yatoayo yale ya dizeli Russia kuzuwa kuuza mafuta ghafi yake ili tupate dizel ya bei chee. Sasa mbaya kwetu ni nani kati ya Russia na hao West waliomuwekea vikwazo Russia?

Na mimi nakuuliza unapinga nini?
 
Enyi mnaodhabikia vita .....Siku moja mtafaham vita ni kusema nn..
 
Intelligence ya Urusi haikumshauri vizuri Putin, wali under estimate military strength ya Ukraine kwa kiwango kikubwa sasa madhaya yake ndiyo haya.
 
😂😂😂Hao walipo huko wapo strategy kwajili ya kufanya monitoring ya nn mnafanya, we hujiulizi kainchi kadogo kale lakini Kila taifa kubwa linawasujudia?
Israel ni kibaraka wa marekani na ulaya,lengo ni kuwavuruga waarabu,ndiyo maana anapewa bilioni tatu kila mwaka ili aendeshe Mambo yake na kukingiwa kifua kule UN,fikiria pasingekua na taifa la Israel lililoundwa 1940s,waarabu wangekua wamoja kiasi gani!?..nguvu kiasi gani
 
Back
Top Bottom