Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Wangekuwa nayo wasingeshangaa na kusema silaha ya ajabu inayounguza drones? na kama walijua kuna silaha za hivyo wasingepeleka drones zao kizembwzembe naman hiyo
 
Wangekuwa nayo wasingeshangaa na kusema silaha ya ajabu inayounguza drones na kama walijua kuna silaha za hivyo wasingepeleka drones zao kizembwzembe naman biyo
Huwezi ukatamba kama unazo unajidai kushangaa Ili kumpumbaza adui vita hupiganwa Kwa akili, propaganda nk
 
Yaani mkimbizi kupewa uraia na akawa hana nidhamu kwa nchi ndio unaita deep, wanauana Kama nguchiro hao watusi hawana hata ustaarabu mdogo tu. They have nothing kwa Tanzania au Kenya. Wataishia kuvurugana na watusi na wahutu wa Rwanda, Uganda, DRC na Burundi
Usidanganywe kuwa makini sana na hiyo Jamii, wanastrategy yao ya kuweka viongozi wa kitutsi katika Nchi za East Africa, walianza DRC, TZ is next
 
Bro USA ndo nchi ya Kwanza kufanya testing ya laser weapons, tatizo nadhan ni sababu jamaa hawapendi Sana kuzinadi silaha zao Kama nchi za kikomunisti wanavyofanya ili kutisha mataifa mengine Kama vile kila siku wanavyotishia nuclear utafikiri wanayo peke Yao

Hii hapa walifanya live demonstration ya laser weapons mwaka 2017


Hakuna kitu Russia atakuwa nacho kusiwepo Marekani,US ana intelligence kubwa kila mahali ndio asijue silaha?
 
Uipende Urusi au uichukie sio hoja, wamejaribu kuparamia Ukraine, wakaja na limsafara kilomita 60 ila wakatozwa makamasi, kwa kweli niliogopa sana Urusi nikijua watafanya kweli kwa wiki moja, ila sasa nimeishia kuwaona bogus sana.

Kile ambacho kimewaokoa Ukraine ni kule kujitoa mhanga, kupambana bila kuchoka, mzuka wa ajabu ambao haujaonekana kwa kipindi kirefu, silaha sio issue maana hata uwe na za aina gani na hauna wapiganaji wajasiri utapigwa tu.
Ndio maana nastik kwenye point kama NATO wangetoa silaha za maana hii vita ungekuta imeshaisha ,
 
Ficha ujinga wako mkuu na huko kujilazimisha kugugo mambo usiyoyajua...

Teknolojia ya laser imekuwa ipo toka miaka ya 1960s, na nchi mbalimbali zimekuwa zikifanya tafiti za silaha za laser toka miaka ya 1970s.

Silaha hizo za laser zipo aina tofauti tofauti...Kama unavyosikia bunduki zilivyo na makundi mbalimbali na uwezo tofauti tofauti. Usikariri kuwa bunduki zote zipo na mundo au uwezo kama wa gobole.

Russia ilitengeneza silaha ya kwanza ya laser miaka mingi kitambo, mwaka 1984. Lakini silaha hizi za sasa tunazoongelea hapa ni aina mpya "generation mpya" ktk maswala ya ubora na uwezo ukilinganisha na zile ilizokuwa nazo miaka ya zilipendwa...NATO wenyewe wanakiri kuwa ni silaha ngeni (secret weapons) na hawafahamu undani wake.

View attachment 2234984
Labda ni ngeni kwa NATO sio America.

Pili hata hypersonic Missile majuzi America amefanya test kuwaonyesha Russia kwamba wanazo wasijisumbue kwa Tambo za kijinga
 
Labda ni ngeni kwa NATO sio America.

Pili hata hypersonic Missile majuzi America amefanya test kuwaonyesha Russia kwamba wanazo wasijisumbue kwa Tambo za kijinga
Nina hakika hiyo silaha ya kuchoma drones marekana hana, sasahivi ndio ataingia mahabara kujaribu kutengeneza. Kuna mambo mengi tu mrusi amemtangulia mmarekani na ktk hii vita hamna langi ambayo hamtaiona
 
Sasa huko ni kumuogopa? Kutafuta Washirika kwani kuna tatizo? Vita itaanza kupiganwa kwenye mipaka ya Russia sio America
Anzeni basi kama mna ubavu huo, silaha za mabilioni mnazopeleka zinafilimbwa huko na nyingine zinafanywa mishikaki. Hii ni aibu kwa USA na majigambo yake yote ameshindwa kuiilinda Ukraine kwa air defense systems zake
 
Samahani nikiongeza kwamba parachuti (kwa uelewa wangu mdogo wa fizikia) haipunguzi uzito! Inapunguza kasi ya kushuka; ni kweli kwamba kulikuwa na majaribio kadhaa kukamata roketi kwa helikopta.
Ila, mara helikopta imeshika roketi hewani, uzito wake ni uleule.
Kifizikia tu yaani maana uzito ni masi kulingana na graviti iliyopo; parachuti haipunguzi wala masi wala graviti...
Lakini nisamehe kama nimekosea, maana kweli mimi SI MTAALAMU wa chochote.
Uzito siyo mass mkuu
 
Eti mwambieni aguse..... Punguzeni vikao vya kitchen party NATO.... Ingizeni timu hapo hapo Ukraine si mnapeleka silaha ambazo hazina watumiaji ...tumeni watumiaji na silaha zao kichafuke....

Ukraine sio mwanachama wa NATO, kuna mindege ya Sweden ambayo ya kisasa imemtamani sana Putin, tatizo hakuna rubani hata mmoja wa Ukraine anajua kuzitumia.
Huyo Mrusi ajifanye amekosea njia ashushe kombora kwa kataifa kamoja tu ka NATO.
 
Uipende Urusi au uichukie sio hoja, wamejaribu kuparamia Ukraine, wakaja na limsafara kilomita 60 ila wakatozwa makamasi, kwa kweli niliogopa sana Urusi nikijua watafanya kweli kwa wiki moja, ila sasa nimeishia kuwaona bogus sana.

Kile ambacho kimewaokoa Ukraine ni kule kujitoa mhanga, kupambana bila kuchoka, mzuka wa ajabu ambao haujaonekana kwa kipindi kirefu, silaha sio issue maana hata uwe na za aina gani na hauna wapiganaji wajasiri utapigwa tu.
Dada wewe ni mkongww Sasa humu Jf hivi una umri gani? Maana uko na utoto mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nastik kwenye point kama NATO wangetoa silaha za maana hii vita ungekuta imeshaisha ,
Tatizo silaha za maana walizo nazo NATO ni too advanced, kwa mfano ndege za kisasa za Sweden hakuna rubani hata mmoja Ukraine anayeweza kuendesha.
Huyo Mrusi anatamaniwa sana na NATO.
 
IMG_20220523_074503_423.jpg

‼️Saudi Arabia has made it clear that it will support Russia as a member of the Opec+ group of oil producers, despite the tightening of Western sanctions against Moscow and a potential EU ban on the import of Russian oil‼️
 
Back
Top Bottom