Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi siipend Russia ila NATO na USA wakiendelea kutoa silaha za kichoyochoyo ,wajue wataiangamiza Ukraine ,Russia juz nimeona wameanza kuja na silaha nzito sana na sasa hivi wanaenda kimkakati wakitumia zana bora na kulenga maeneo muhimu,drones za Russia ziko na ufanis kuliko za Turkey yaan vidrone vya dola 800 ndio vinabahatsha bahatisha kumpiga mrusi,Ukraine wanhitaj dronens za UK ambzo hazionekan kwenye rada,wanahitaji ndege kama 40 za attacking,helkopter 60,ant missiles and aircraft systems kama 10 ,makombora ya kuharibu meli za kivita,machine gun za kisasa,vifaru kama 100 vya kijeruman,yaan wakiendelea kutoa vifaa ambavyo ni duni ,Ukraine hatapona
Tangu lile li msafara la km 60 kugeuzwa vyuma chakavu na Javelin niliona kumbe Russia ni chui wa makaratasi kijeshi
 
The Prime Minister of Poland called on Norway to share with Ukraine windfall profits from rising oil and gas prices, writes Bloomberg.

“Should we pay Norway huge money for gas - four or five times what we paid a year ago? It is not right. They must share this superprofit. It's not normal, it's not fair. This is an indirect profit from the war,” said Mateusz Morawiecki, offering to share the profit with a number of other countries.

View attachment 2234701
Huyu chizi huyu amwambie na marekani kapata profit kubwa kutokana na COVID 19 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bro USA ndo nchi ya Kwanza kufanya testing ya laser weapons, tatizo nadhan ni sababu jamaa hawapendi Sana kuzinadi silaha zao Kama nchi za kikomunisti wanavyofanya ili kutisha mataifa mengine Kama vile kila siku wanavyotishia nuclear utafikiri wanayo peke Yao

Hii hapa walifanya live demonstration ya laser weapons mwaka 2017


Ficha ujinga wako mkuu na huko kujilazimisha kugugo mambo usiyoyajua...

Teknolojia ya laser imekuwa ipo toka miaka ya 1960s, na nchi mbalimbali zimekuwa zikifanya tafiti za silaha za laser toka miaka ya 1970s.

Silaha hizo za laser zipo aina tofauti tofauti...Kama unavyosikia bunduki zilivyo na makundi mbalimbali na uwezo tofauti tofauti. Usikariri kuwa bunduki zote zipo na mundo au uwezo kama wa gobole.

Russia ilitengeneza silaha ya kwanza ya laser miaka mingi kitambo, mwaka 1984. Lakini silaha hizi za sasa tunazoongelea hapa ni aina mpya "generation mpya" ktk maswala ya ubora na uwezo ukilinganisha na zile ilizokuwa nazo miaka ya zilipendwa...NATO wenyewe wanakiri kuwa ni silaha ngeni (secret weapons) na hawafahamu undani wake.

SmartSelect_20220523-054906_Chrome.jpg
 
Rais Wa Ukriane bwana Zelensky ni mchekeshaji nilitegemea zaidi ye ndo afanye Comedy Lakin anayefanya Comedy ni Putin na Kadrov wa Chechen ambaye yupo Kwa ajili ya picha za TikTok,

Urusi Sasa hivi wanakuja ns km 13, wamesahau kuwa walishapeleka convoys za Km 64? Halafu zote zimebaki story?

Sasa hivi wakati maisha yanaendelea kama kawa ndani Kyiev huku viongozi wakubwa wakiingia na kutoka kwa kupishana, Russia akija kustuka kile alichokuwa hakitaki kiingie Ukraine atakuta kimeshaingizwa, yaani mitambo ile ya kijasusi na kiulinzi aliyokuwa hataki iwekwe atastuka imeshawekwa tayari.

Ulaghai wa Putin Crimea...wananchi Crimea wameshaanza vuguvugu, hawataki tena kuwa sehemu ya Russia, waliahidiwa kwamna watasaidiwa kujitegemeza pia kukuza utalii wao, lakini sasa imekuwa sivyo, anachowafanyia Russia ni kuwahumiza wa Crimea kuhamia maeneo mengine ndani ya Russia huju Crimea akuzidi kuifanya ya kujeshi kwa kuzidi kujaxa na kurundika makambi na vifaa, huku jimbo likiingozwa ki Polisi kwa sheria kali mpaka wanajuta



View attachment 2182842


Britanicca
Wote wenye akili timamu walishakupuuza

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kidude safi sana (Warusi walihitaji kitu kipya maana roketi zao za zamani nyingi zina kutu, natumaini hawakununua tena matairi yale ya bei duni kutoka China..) ila kwa nini tunapata picha hizi ?
Ndiyo, zinaweza kuangamiza Marekani yote, Uingereza yote, hata Andorra na San Marino!!! Ila hazibadilishi kitu chochote kwa sababu uwezo huo ulipatikana hata zamani. Na uwezo wa Marekani, Uingereza na Ufaransa kuangamiza Urusi yote uko palepale.

Sijui waumini wa Putin wana imani dhaifu kiasi cha kukimbilia picha za roketi kubwa zaidi? Ambazo ni habari za kale?
Mbona wanaogopa kumpiga wakati kavamia Ukraine kama hazibadilishi kitu? Ww unajifanya mjuaji kuliko NATO!
 
Siijui Urusi wakati nakaa Urusi Au unamaanisha Urusi nyingine and for your few information nimeletwa na CCM Miaka hiyo kusoma baadhi ya vitu vya ndani kabisa
Baki navyo hivyo na ndani hata wapumbavu pia wanasoma na wajinga wanazeeka na wewe Ni mmja wao.. si ulisema hakuna mikate , supermarket ziko empty ,Urusi maisha magumu ....maandamano Kila kukicha si uondoke uende kwa mabwana zako ......
 
Hehehe mnatafuta vijisababu vya kufutia aibu, mwambieni aguze kataifa kamoja ka NATO ndio ajue wamemtamani sana.
Eti mwambieni aguse..... Punguzeni vikao vya kitchen party NATO.... Ingizeni timu hapo hapo Ukraine si mnapeleka silaha ambazo hazina watumiaji ...tumeni watumiaji na silaha zao kichafuke....
 
Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Hili jamaa taa.hira kweli unapoteza muda na energy bure.
 
Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Aise hii thinking ya Israel kila kitu ndio inatufanya tuwe watumwa wa kufikiri
 
Tunatakiwa tuelewe kuwa hata Watsi, na makabila mengi yaliyopo ukanda wa bonde la ufa ni descent wa Jews haijalishi rangi, kwahiyo Hawa Jamaa wako deep in our countries na siku wakitaka kufanya wanayohisi ni faida kwao watafanikiwa
Yaani mkimbizi kupewa uraia na akawa hana nidhamu kwa nchi ndio unaita deep, wanauana Kama nguchiro hao watusi hawana hata ustaarabu mdogo tu. They have nothing kwa Tanzania au Kenya. Wataishia kuvurugana na watusi na wahutu wa Rwanda, Uganda, DRC na Burundi
 
Back
Top Bottom