Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijakana Urusi inauza pia . Hakuna anayezuia meli za Urusi kubeba ngano yake isipokuwa kwenye nchi za NATO zinazoweka vikwazo dhidi ya Urusi (sina uhakika kama kuna vikwazo dhidi ya chakula kutoka Urusi - je unazo habari za uhakika??)
Ila kumzuia mwuzaji mkubwa kama Ukraine inatosha kupamndisha bei - hii inamaanisha njaa na vifo.
Kweli au la???
Sio nchi za NATO,Sema EU na US wamezipiga ban meli za Russia!Ndio maana Russia alipolaumiwa na UN kutumia chakula kama silaha ya vita,Russia akajibu asilaumiwe yeye kwanza kabla ya kuangalia vikwazo alivyowekewa!Russia hata akisafirisha chakula,malipo yatafanyikaje wakati ameondolewa kwenye mfumo wa kimaraifa wa miamala ya kibenk yaani Swift?
Ni kweli njaa itatokea maana wazalishaji top 5 wawili wa ngano hawaexport!Bado Russia pia ni mzalishaji mkubwa wa Mbolea,hapo ni balaa kama vita itachukua muda mrefu!
 
Hapo kwenye mbolea ndio tatizo kubwa zaidi. Kwa sababu mfumo wote wa kilimo unategemea mbolea... Na mbolea ndio imeshakuwa tatizo Sasa.
 
Russia anafanya kile wanachofanya Ukrein sababu Ukrein wameanza kusikiliza kesi za wanajeshi WA urusi kuwa waliuwa raia nilikuwa najiuliza Urusi watawashtaki vipi wanajeshi WA Ukrein naona wamepata njia rahisi WA kufungua mashtaka nawo watahukumiwa kama Ukrein wanavyofanya
Hao Ukireni wanasikilizia wapi hizo kesi mana ndan ntiti nie ntiti
 
Sio nchi za NATO,Sema EU na US wamezipiga ban meli za Russia!Ndio maana Russia alipolaumiwa na UN kutumia chakula kama silaha ya vita,Russia akajibu asilaumiwe yeye kwanza kabla ya kuangalia vikwazo alivyowekewa!Russia hata akisafirisha chakula,malipo yatafanyikaje wakati ameondolewa kwenye mfumo wa kimaraifa wa miamala ya kibenk yaani Swift?
Ni kweli njaa itatokea maana wazalishaji top 5 wawili wa ngano hawaexport!Bado Russia pia ni mzalishaji mkubwa wa Mbolea,hapo ni balaa kama vita itachukua muda mrefu!
1. Hakuna anayezuia meli kuondoka mabandari ya Urusi.
2. Hakuna anayemzuia yeyote (isipokuwa nchi zilizopiga ban) kununua chochote kutoka Urusi kwa kutumia benki za Urusi ambazo hazizuiliwi SWIFT (ni benki ambako nchi za Ulaya wanalipa Euro kununua gesi ya Urusi, vikwazo vina pengo hapa kimakusudi).
3. Zuio liko pekee kwa uchumi wa Ukraine kwa sababu manowari wa Urusi zinazuia bandari ya Odessa
 
Hapo kwenye mbolea ndio tatizo kubwa zaidi. Kwa sababu mfumo wote wa kilimo unategemea mbolea... Na mbolea ndio imeshakuwa tatizo Sasa.
Ni kweli kabisa! Putin anaongeza njaa duniani, ataua Waafrika wengi kwa njia hiyo.
 
Tafadhali utueleze namna gani ni vikwazo vya magharibi? Urusi inazuia meli za ngano kutoka Odessa. Au ni NATO inayozuia ngano ya Ukraine kufika masoko ya dunia???
Sasa wewe ulitakaje?! 'wahuni' wa west wameweka vikwazo kwa mbolea ya Russia hivyo wakulima wa nchi mbalimbali wana uhaba wa mbolea ikiwemo USA...Sasa kwa vikwazo hivyo ulitaka Russia ifanyaje...Russia hakuzuia ngano alichofanya ni kufunga bandari na kuifanya Ukraine iwe landlocked kama Zambia...to hell with Ukraine and the West...Kila nchi ipambane na hali yake....Russia siyo Libya bwana ...Russia ni superpower...mpaka Sasa nchi karibu 35 zimeweka vikwazo lakini wapi...
 
Duuh,Kuna eneo umeonekana uko shallow halafu unajiita mtaalam!Hivi unaelewa kinachofanyika Ili hizo rocket engines zije kuwa reused?Ni kwamba zamani Ilikuwa baada ya kufika height fulani,zinaachwa zianguke free fall ,hizo kazi yake ni kuipa shuttle initial take off velocity!Ikifika height fulani zinajitenga na shuttle na kuanguka ardhini hivyo kuharibika!Sasa US walivyofanya ni kufunga mfumo wa parachute kiasi kwamba wakati zinaanguka basi Parachute inajifungua!Ikijifungua,Kwa juu Kunakuwa na kama kile kichuma Cha Cha buchani Cha kutundikia nyama,baada ya hapo helcopter inaenda kudaka kile kichuma na hivyo kuipeleka hiyo engine sehemu salama na kuitua!
Wala sio kitu Cha ajabu sana,ni simple tu!
Sasa hapo unapoweka utafikiri ni binge la teknolojia unakuwa unakwama!

NB,:Kazi ya parachute iliyofunga ni kupunguza weight ya hiyo rocket Ili iweze kubebwa na helcopter!Kazi ya pili ni kufanya slower descend Ili helcopter iweze kuidaka Kwa kamba maalumu!
Kaka kweli sijawahi kuniita mtaalamu!!! Ila, unisamamehe nikikusahihisha kidogo. Space-X (kampuni ya Bwana Musk) imefaulu kutengeneza roketi zinazorudi ardhini kwa kutumia injini, si parachuti. Kwa ufahamu wangu Urusi (wala NASA ya Marekani) haina kitu kinachokaribia Falcon 9 ya Musk hata kidogo. Ukiwa na habari, nitashukuru!!
Ona
 
Sasa wewe ulitakaje?! 'wahuni' wa west wameweka vikwazo kwa mbolea ya Russia hivyo wakulima wa nchi mbalimbali wana uhaba wa mbolea ikiwemo USA...Sasa kwa vikwazo hivyo ulitaka Russia ifanyaje...Russia hakuzuia ngano alichofanya ni kufunga bandari na kuifanya Ukraine iwe landlocked kama Zambia...to hell with Ukraine and the West...Kila nchi ipambane na hali yake....Russia siyo Libya bwana ...Russia ni superpower...mpaka Sasa nchi karibu 35 zimeweka vikwazo lakini wapi...
Mkuu, tafadhali ukijibu soma kwanza unachotaka kujibu!
Niliuliza "Tafadhali utueleze namna gani ni vikwazo vya magharibi?" -
1) nani anazuia Urusi kupakua mbolea na ngano kwenye meli zake??
2) nani anazuia meli za Urusi Superpower kuondoka bandarini?
3) Nani anazuia meli za Urusi Superpower kufika Afrika, Asia, wapi (zinazuiliwa katika nchi za NATO, japani, Korea, Australia..)
4) nani anazuia nchi zisizo na NATO kulipa Urusi SupaPawa kupitia benki za Kirusi ambazo zinaendelea kushiriki kwenye SWIFT ???

(Menginevyo A: Nimeona taarifa kwamba meli ya Kirusi iliyobeba ngano ilyoibiwa katika ghala za Ukraine ilikataliwa kwenye bandari ya Misri ikaendelea hadi Latakia - Syria - ambako waliondoa ngano, sasa wanaweza kuiuza kama ngano ya Syria; uwezekano mkubwa haikuwa kazi ya serikali ya Putin lakini ya majenerali wahuni waliolenga kujipatia faida ya pembeni..)
(Menginevyo B: ukisema "to hell with Ukraine and the West" - ongeza "Afrika" )
 
NB,:Kazi ya parachute iliyofunga ni kupunguza weight ya hiyo rocket Ili iweze kubebwa na helcopter!Kazi ya pili ni kufanya slower descend Ili helcopter iweze kuidaka Kwa kamba maalumu!
Samahani nikiongeza kwamba parachuti (kwa uelewa wangu mdogo wa fizikia) haipunguzi uzito! Inapunguza kasi ya kushuka; ni kweli kwamba kulikuwa na majaribio kadhaa kukamata roketi kwa helikopta.
Ila, mara helikopta imeshika roketi hewani, uzito wake ni uleule.
Kifizikia tu yaani maana uzito ni masi kulingana na graviti iliyopo; parachuti haipunguzi wala masi wala graviti...
Lakini nisamehe kama nimekosea, maana kweli mimi SI MTAALAMU wa chochote.
 
Ni ngumu kwa pande zote kufikia muafaka vita tuu ndiyo itaamua ,na hii vita kila mmoja ,anonekana ana haki

FB_IMG_16526267119363296.jpg
 
Urusi alianza kwa mzuka sana, akawa na limsafara la kilomita 60, tukajua Ukraine kwisha habari yake, nyuzi humu zikarindima kila uzi ukituahidi namna show itaisha kwa siku chache, ila Mrusi akasahau hamna kitu kigumu duniani kama kujaribu kupiga watu kwao hususan wenye uzalendo na nchi yao, utaanza kwa nguvu ya soda ila mwishoye utasubiriwa uanze kuhema na ndio kimemkuta Mrusi, leo hii anahemeshwa na kutafuta pakutokea.....

Hii ramani hapa inaonesha alivyokuwa amekaba maeneo, ila yanavyomtokea puani.....

timelapse-russian-forces-ukranian-counterattacks-t.png

In recent weeks, Russia has lost substantial ground that it initially captured after the start of its invasion in Ukraine.

When Russian President Vladimir Putin ordered the invasion in February, the Kremlin anticipated a quick takeover of Ukraine. However, Russia was met with surprisingly strong resistance from the Ukrainian people, who have put up an intense fight to protect their country.

As the invasion has continued, Russian military forces have largely been confined to the eastern part of Ukraine, including the Donbas region, with a report released Sunday by the British Ministry of Defence stating, "Russia's Donbas offensive has lost momentum and fallen significantly behind schedule."

Mimi siipend Russia ila NATO na USA wakiendelea kutoa silaha za kichoyochoyo ,wajue wataiangamiza Ukraine ,Russia juz nimeona wameanza kuja na silaha nzito sana na sasa hivi wanaenda kimkakati wakitumia zana bora na kulenga maeneo muhimu,drones za Russia ziko na ufanis kuliko za Turkey yaan vidrone vya dola 800 ndio vinabahatsha bahatisha kumpiga mrusi,Ukraine wanhitaj dronens za UK ambzo hazionekan kwenye rada,wanahitaji ndege kama 40 za attacking,helkopter 60,ant missiles and aircraft systems kama 10 ,makombora ya kuharibu meli za kivita,machine gun za kisasa,vifaru kama 100 vya kijeruman,yaan wakiendelea kutoa vifaa ambavyo ni duni ,Ukraine hatapona
 
Uipende Urusi au uichukie sio hoja, wamejaribu kuparamia Ukraine, wakaja na limsafara kilomita 60 ila wakatozwa makamasi, kwa kweli niliogopa sana Urusi nikijua watafanya kweli kwa wiki moja, ila sasa nimeishia kuwaona bogus sana.

Kile ambacho kimewaokoa Ukraine ni kule kujitoa mhanga, kupambana bila kuchoka, mzuka wa ajabu ambao haujaonekana kwa kipindi kirefu, silaha sio issue maana hata uwe na za aina gani na hauna wapiganaji wajasiri utapigwa tu.
 
Jeshi la putin lilijaribu tena kukamata mji wa Sievierodonetsk (mji mkubwa wa mwisho wa Donbass inayotawaliwa na Ukraine) lakini walishindwa.

Luhansk Military Administration: Russian troops advanced on Sievierodonetsk from 4 directions but were repelled​

Ukrayinska Pravda

Iryna Balachuk – Sunday, 22 May 2022, 09:26
Serhii Haidai, Head of Luhansk Oblast Military Administration, said that Russian occupation forces tried to advance on Sievierodonetsk from 4 directions at once, but were repelled by Ukrainian troops.
Source: Serhii Haidai on Telegram
Quote: "The Russians tried to enter Sievierodonetsk from 4 directions at once, but they were repelled and retreated to their earlier positions. However, they continued to shell residential neighbourhoods from mortars and artillery. Almost every Ukrainian-controlled town and village sustained damage."
 
Telegram
Details: According to Haidai, part of the bridge between Sievierodonetsk and Lysychansk near the railway station was destroyed.
In addition, the Russian occupiers damaged 7 residential buildings in Sievierodonetsk, 5 each in Lysychansk, Toshkivka, and Nyrkove, 4 in Vrubivka, 3 each in Zolote and Hirske, and 2 in Pryvillia over the past 24 hours.
 
Telegram
Haidai noted that the exact number of buildings destroyed in the shelling of Novodruzhesk has not been confirmed: residential buildings across 3 streets sustained damage there. Neither has the extent of the destruction been confirmed in Vrubivka, which was attacked from air.
The Head of the Oblast Military Administration added that on 21 May, several people were detained in Luhansk Oblast as they were trying to take pictures of military equipment. The Security Service of Ukraine is investigating their actions.
Russian troops are firing on the positions of Ukrainian troops along the entire front line between Lysychansk and Sievierodonetsk.
 
Telegram
Russian troops also conducted offensive and assault operations in and around Oskolonivka, Purdivka, Shchedryshcheve, and Smolianynove. Ukrainian defenders repelled the attacks; Russian troops suffered losses and retreated to their earlier positions.
Overall, the Armed Forces of Ukraine repulsed 9 Russian attacks and destroyed 5 tanks, 4 artillery systems, 10 armoured combat vehicles, and 2 motor vehicles on 21 May. Ukrainian Air Defence units shot down 1 Orlan-10 UAV.
 
Tusisahau
1. Urusi inaendelea kulipa Ukraine kwa matumizi ya mabomba ya gesi ndani ya Ukraine.
2. Nchi za Nato za Ulaya zinaendelea kulipa Urusi kwa gesi na mafuta wanayonunua kutoka huko.
3. Wote wanajitahidi kuuana lakini hawasahau kulipana.
4. Je yuko yeyote anayeshangaa? Mjinga we!!!
 
2. Ongezea; wanalipa kwa Ruble.
 
Back
Top Bottom