Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5

Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
Oya mwamba acha hizo. Basi kukurahisishia kasome kidogo kuhusu Iron Beam ya Israel.

Directed energy weapons sio jambo geni hapa duniani

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Putin anaanza kuua Waafrika kwa njia ya njaa kwa sababu ameshambulia Ukraine. Nafaka za Ukraine haziwezi kupelekwa tena kwenye masoko ya Dunia. Bei zinapanda. Watu maskini wanaona njaa. Hasa nchi kama Ethiopia, Somalia na Kenya zinazotegemea misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo yanakosa hela kulipa bei mpya.

Waumini wake wanaendelea kumwabudu . . .
Hoja ya Aina hiyo ni ya West kwa kutumia media zao they are setting and building an agenda ya Aina hiyo...in fact 90 per cent of Africans can't buy ujinga wa Aina hiyo kwamba eti Russia ndiyo chanzo Cha njaa...vikwaxo vya west ndiyo chanzo Cha yote...na huu ni mwanzo tu...the worst is yet to come...hao west wenu wataomba poo tu...Russia imejiandaa kwenye mgogoro huu...
 
Ww jamaa umejaa mihemko mpaka imekupotezea akili,
Yaani umeleta taarifa lakini hata hujaisoma ukaielewa.

Kwenye taarifa yako uliyo ileta kuna sehemu ambayo Urusi imesema inataka usitishaji wa mapigano?

Marekani na Italia ambao ndio wafadhili wake wakubwa ndio wametoa pendekezo la kusitisha mapigano na si Urusi ebu soma taarifa yako vizuri.
Nilitaka nikutukane ila nimeghaili.

Fuatilia thread za nyuma hapa JF kuhusu vita hii uone Putin alivyolalamikia mazungumzo ya awali kukwama.

Sasa tunapokuwa tunajadili mada kama hizi tunajadili kwa taswira ya jumla.
 
Isingekuwepo Sheria kutokuua rais wakati wa Vita Zele siku nyingi angepasuliwa na Iskander
Wameshindwa hawana cha kumfanya. Hiyo sheria changa la macho tu ukikaa kizembe unatanfulizwa, angalia Putin anavyoishi kwa wasi wasi anabadili cabinet yake yote kila kukicha.
 
Urusi ni wapi wamesema wanataka vita isitishwe?Taarifa ya mwisho kutoka Russia ni Ile inayosema kuwa Kremlin Haina mazungumzo yoyote na Ukraine,Tena Ina muda mrefu tu!
Msipende kupotosha potosha!
Hebu tupe link ya hiyo habari inayosema Russia wanataka vita iishe ila wayachukue majimbo ambayo wameyateka!!
Hasira za nini sasa. Tafuta link usome au search hapa JF utapata.
 
Kama hujui au Ndugu yangu unajifanya hujui ni kwamba kwa sasa Russia yupo mbele kwa Kati ya miaka 10 na 15 dhidi ya West including USA of course kwenye military technology...hizo nyambizi unazozisema Kuna submarine hunters na warusi wanazo sea drones kwa ajili hiyo...Kuna nyambizi za Russia ambazo not easily detected unashangaa tu ziko ubavuni....
Kwa sasa Waingereza baada ya kupoteza makoloni wamebaki na kelele tu za mdomoni...Virtually they have nothing to boast with/about...raslimali zao kubwa ni Nini !? Labda makaa ya mawe na ambayo nchi nyingi wanayo...UK inaweza ikawa paralyzed kiuchumi na kurudia to Stone age...ndiyo maana wanakuwa wakali kwa independent minded states...Infact the world can survive without the West...Russia, Asia, Africa. South America na China zinaweza zikaishi kwa amani pasipokuwa na 'wahuni' wa West na USA yao...
Hapana sijui kwamba Urusi iko mbele katika tekinolojia ya kijeshi.
Mimi si mtaalamu katika mambo haya. Nimefuata habari za roketi kidogo. Hapa naona katika tekinolojia kwamba Urusi inaendelea kutumia vyombo kama Soyuz vinavyoendelea bila mabadiliko makubwa tangu miaka 40 hivi... Vilifanya vizuri, wakati MArekani ilishindwa na Space Shuttle. Lakini sasa kuna tekinolojia mpya ya roketi zinazorudi ili zitumiwe tena na hapa hakuna dalili hata kidogo Urusi kuna kitu kama hicho...

Nimeangalia habari za kifaru T14 Armata. Ilisifiwa kama kifaru bora duniani, kumbe wana mahandisi bora! Ila kifaru hakipo hali halisi walishindwa kukitengeneza, wengine wanasema ni kiuchumi hawana hela,, wengine wanasema ni vipuli kutoka Marekani ambako Urui ilipoigwa vikwazo tangu 2014...

Nimeangalia wachambuzi wanaodai eti Urusi wana mahandisi wazuri lakini tasnia ya silaha ina matatizo kutoa silaha bora, wana matatizo ya kuhakikisha ubora. hii sababu kwamba hawana roketi nyingi za kisasa. Basi kama ni kweli tutaona karibuni kama wataishia roketi na grenedi za kisasa zinazolengwa kwa GPS.
Ila inaonekana kuna tatizo nzito maana Urusi imeshindwa kudhibiti anga. Wengi wanashangaa maana wote walitegemea watamaliza swali hili kwenye siku ya pili au ya tatu baada ya uvamizi (jinsi Marekani walivyofanya Iraki na Afghanistan).
Hapa kuna swali kama ni kasoro za tekinolojia au uongozi??

Kwa sasa wanaendelea kwa kutumia mkakati akma zamani. Wanaleta mizinga mingi mbele, wanasaga kila kitu halafu wanasogea mbele kidogo.
Tuone itakuwaje mara Ukraine wanapeleka idadi ya mizinga ya kimarekani mbele ambazo zipiga mbali zaidi kuliko zile za kirusi, tena wamepata idadi kubwa ya grenedi za GPS.

Ile kujigamba dhidi ya Uingereza ni kitoto. Maana Urusi isingepiga Uingereza peke yake. Ingepata jibu la NATO kwa jumla na hapa isingekuwepo Urusi tena. Wanaijua. kwa hiyo ni kazi ya wanasiasa kupiga kelele tu... (pamoja na usharika wa waumini wa putin kuitikia..)
 
Hoja ya Aina hiyo ni ya West kwa kutumia media zao they are setting and building an agenda ya Aina hiyo...in fact 90 per cent of Africans can't buy ujinga wa Aina hiyo kwamba eti Russia ndiyo chanzo Cha njaa...vikwaxo vya west ndiyo chanzo Cha yote...na huu ni mwanzo tu...the worst is yet to come...hao west wenu wataomba poo tu...Russia imejiandaa kwenye mgogoro huu...
Tafadhali utueleze namna gani ni vikwazo vya magharibi? Urusi inazuia meli za ngano kutoka Odessa. Au ni NATO inayozuia ngano ya Ukraine kufika masoko ya dunia???
 
Marekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.

Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.

Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.

=======


View attachment 2234461View attachment 2234462View attachment 2234463
Nilikushauri jana Bwana mkubwa uachane na propaganda, ona sasa unavyotanga tanga hadi umeanza kutumia vyombo vyetu vya habari, ambavyo mnaviita vya propaganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe jamii umeshikwa akili na Putin nini hujaona chanzo cha taarifa hapo.
Yaani unaandika Kwa namna ya upotoshaji!Unaposema Ukraine imetupilia mbali,unajaribu kujenga picha gani?Unasema as if Russia wameongea na Ukraine na Kuwapa demands zao Ili kumaliza vita na ndio hapo Ukraine akatupilia mbali!
Ungeandika kwamba Ukraine imesema "1,2,3...." na sio Ukraine imetupilia mbali!
 
Hasira za nini sasa. Tafuta link usome au search hapa JF utapata.
We jamaa vp?Wewe si ndio umeleta taarifa?Na Mimi nimekwambia unapotosha,muwe mnaleta taarifa kama zilivyo na sio kuzipaka rangi mwishowe mnakuww mnapotosha!
 
Yaani unaandika Kwa namna ya upotoshaji!Unaposema Ukraine imetupilia mbali,unajaribu kujenga picha gani?Unasema as if Russia wameongea na Ukraine na Kuwapa demands zao Ili kumaliza vita na ndio hapo Ukraine akatupilia mbali!
Ungeandika kwamba Ukraine imesema "1,2,3...." na sio Ukraine imetupilia mbali!
Ndiyo zipo na imewapa demands ndo hizo zimetupiliwa mbali, demands za Urusi za kutaka iachiwe maeneo inyoyathibiti, Ukraine imesema haiko tayari na haitakuwa tayari kwa hilo, ni hivyo tu
 
We jamaa vp?Wewe si ndio umeleta taarifa?Na Mimi nimekwambia unapotosha,muwe mnaleta taarifa kama zilivyo na sio kuzipaka rangi mwishowe mnakuww mnapotosha!
Taarifa mbona nimeleta kama ilivyo au hujaisoma umeishia heading tu. Na kama umeishia heading hilo ni tatizo lako huenda labda haina umuhimu kwako.
 
Ndiyo zipo na imewapa demands ndo hizo zimetupiliwa mbali, demands za Urusi za kutaka iachiwe maeneo inyoyathibiti, Ukraine imesema haiko tayari na haitakuwa tayari kwa hilo, ni hivyo tu
Taarifa ya mwisho iliyotoka Russia ni kuwa hawako kwenye mazungumzo yoyote na Ukraine!Sasa wewe hayo umeyatoa wapi?
Zalensky mwenyewe hajasema kuwa amepewa demands hizo,alichosema ni kuwa Ukraine haitakubali mazungumzo ya kumaliza vita yahusishe kuachia sehemu ya ardhi yake!Swali kwako,wewe hizo demands za Russia umezitoa wapi?
 
Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Kwa wale wazee wenzangu watanielewa,
Hiv yule jambazi aliyewahi kukamatwa Mbeya Miaka ya 95 kuja 2000 anatengeneza bunduki kwa kutumia bomba za baiskeli alikua Mwisraeli?
 
Back
Top Bottom