Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunaanza kuleta updates
IMG_20220522_124823_592.jpg


Good morning from "⭕️"

The motorized riflemen of the "O" group have been hunting for enemy birds all morning.

According to the guys, the Harpoon-2M manual anti-drone system works perfectly. For example, the control of the Mavic 2 Pro quadrocopter is blocked at a distance of 1000 meters.
 
Wooiiiii sema spana zimezidi unakimbia nani analishwa humu ndani kila mtu anamajukumu anyway wasalimu hapo Ukraine ya msambweni
Dont take it too serious huu ndo ujumbe wangu ninaokuacha nao.
 


The Red Flag of the USSR was raised over Azovstal, which had been a haven for Ukrainian militants and Azov for a long time.

The symbolic hoisting of the USSR flag marked the final liberation of the Azovstal territory - the banner was raised by a retired colonel, a veteran of the Russian special services and a direct participant in all stages of the operation in Mariupol, Valentin Viktorovich Kryzhanovsky.
 
Kabisa lee van cliff inabidi kuwakumbusha hawa wadau mitazamo yao ilivyokua na sasa hali ilivyo maana huwa tunatumia history + current situation ili tuweze kupredict future itakuaje.

Mara moja moja napitia post za nyuma kuangalia ilivyokua na ilivyo sasa.

Russian block bado iko stable toka operation ianze ikiongozwa na wazee wa surgical operation "surgeons" kama Galip Vrl Bwana Utam green rajab Sikirimimimasikini RTI wa kupuliza Champagnee bila kusahau mzee wa "hot news" NYUNDO YA MOTO kuna specialists wakutosha kama DeepPond Extrovert TUJITEGEMEE George Betram Ask HQ Jesus Mlokozi ngaboru desayi Mr Tyang Nkuba25 Carlos The Jackal Katunge World Wide lee van cliff Kizibo Mtoto wa nzi na wadau wengine wengi sana

Kwa upande wa Ukr/NATO block, surgeons wengi wamekimbia uzi ila wamekua wanapita mara moja moja kuangalia maendeleo kama Nyamizi Frank Wanjiru MK254 wakabaki wachache kama Omary - Msamalia Mwanamkiwi Tsh britanicca baadhi ya specialists wao bado wanapambana ila wanakutana na pingamizi kali kutoka russian block CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Proved Jackal bila kumsahau general practitioner YEHODAYA na wengine wengi.


Hapa katikati wamepotea wadau wachache ambao tulitamani kuona michango yao mfano T14 Armata aliyekua mchambuzi wa masuala ya kivita japo alionekana kuwa na imani sana na silaha za nchi za NATO/ulaya kama Javelin, stingers, manpads, howtizers bila kusahau drones pendwa aina ya Bayraktar TB2 kutoka uturuki ambazo zimeonekana kudhibitiwa na Russian army.

Operation hii imekuja na mambo mengi mfano kuna watu walikua na uhasama kwenye siasa za ndani ila kwenye siasa za nje wakaungana wakawa block moja mfano Salary Slip na johnthebaptist

Nawasihi Ukr/Nato block warejee tuendelee na mijadala maana hii vita imetufungua macho vitu vingi kuhusu hizi siasa za kimataifa.View attachment 2234117View attachment 2234119View attachment 2234120
Da Safi sana mdau,umefanya rejeo vizuri sana.
Pro Russia mko katika ubora mno.
Sisi tunaosoma maandiko yenu,hamtuboi wala hamtuchoshi.
Kwa kifupi ni full elimu na full burudani.
 
Tanzania wana diplomasia ya uchumi lakini wameshindwa kuchangamkia fursa ya mafuta ya bei rahisi pamoja na mafuta ya kupikia hii yote inatokana na kuongozwa na viongozi pro nato ambao hawajitambui.
Hatuez toboa kama viongozi wenyewe ndo walamba asali wanamdanganga bibi wa watu kutwa kiguu na njia ruslts zero
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna tunajaribu jaribu kunyoosha na kukunja samaki zingine zilizokauka.... ingawa its too risky, nyingi huwa zinaishia kukatika/kuvunjika.
🤣🤣🤣🤣Kashanyoosha mikono tuwatendee kama Putin anavyowatendea uko site😂😂😂😂sijui kama atalala leo ashaanza kuaga mapema na kazini kwake hawamruusu atumie ID fake ukiendelea ataama mazima jf.
 
Jipe matumaini hewa tu na hivyo vistori vyako toka kwenye magazeti ya Kyiv ya kufungia maandazi...

Russia imesema haitowaachia huru hao wapiganaji wa Azov Nazis na tayari kundi hilo linafanyiwa mchakato wa sheria nchini Russia ya kutambuliwa rasmi kama kundi la kigaidi...kisha ndio habari yao inamalizikia hapo

View attachment 2234053View attachment 2234054
Habari yako imetoka tarehe ngapi? Btw huna akili
 
Kwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...

Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.

Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======

View attachment 2233331View attachment 2233333
three months is over, hakuna hitajio hata moja la russia lililotimia, makanali na wanajeshi wastaafu wa urusi wametoa tathmini nzuri sana kwamba russia imeshafeli hawa wengine tunaachana nao
 
Sijui jiografia ya Mauriupol ipoje mpaka wakajikuta wamezingirwa!!!

Katika uwanja wa mapambano lazima uache njia ya kutorokea ukizidiwa. Sasa wao wakajikuta wapo katikati!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kashanyoosha mikono tuwatendee kama Putin anavyowatendea uko site[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kama atalala leo ashaanza kuaga mapema na kazini kwake hawamruusu atumie ID fake ukiendelea ataama mazima jf.
Utafikiri kuna mtu kauliza kazini zinatumika ID gani... vijana w Fedha.

Wengine wanamiliki biashara wengine wana wasiwasi kazini ID fake haziruhusiwi...

Wakitoka hapo Putin hana Akili, Russia masikini. Wanajisahau kama wao kukosa akili na ile fear to take a risk ndio inayowafanya hadi leo watumwa wa maboss wao wanaowazuia ID fake...
 
Back
Top Bottom