Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sina muda wa kufuatilia huo upupu wako..Unazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?