Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden announced the readiness of the US military participation in the defense of Taiwan "in the event of an invasion."

20220502_010825 (1).png
 
Miafrika Ni mijitu ya ajabu Sana..
Sielewi mnaoshangilia Vita mna matatizo gani..
Ukiona hivyo ujue ni hao vijana 2000's hakuna wanachowaza positive. Ukiwasikiliza ni Urusi piga ulaya,piga marekani. Ukiwauliza utapata faida gani?. Hawana majibu. Mawazo yao yapo tu kwenye kula tunda kimasihara.
 
Kweli kabisa ujinga mzigo kweli. Hawa PRO-NATO hawana uwezo kabisa wa kuchambua, hapo na yeye anajiona kachangia kitu kikubwa ama kweli JF ni sehemu ya vituko na leo ndio nimejua kumbe USA sio NATO
Ndio maana nikamwambia The Sunk Cost Fallacy kuwa afiche UPUMBAVU wake, na kwa kuwa ni MPUMBAVU hakuelewa upumbavu gani anaopaswa aufiche...

Anashindwa kujuwa kuwa USA ni sehemu ya NATO, sasa tunawezaje kujadiliana nae maswala mazito yaliyopo mezani?!
 
Kuna habari zingine ukizisikia unajiuliza hawa viumbe wengine wanatafuta nini kwenye uso wa dunia. Kama hiyo jeuri wanayo si waende Official hapo Ukraine 🤔

View attachment 2235119

🔴 BREAKING
Biden: We are ready to get militarily involved if there is a military attempt against Taiwan!
USA kapata dhaifu wake wa kumpumulia kisogoni, miezi mitatu maneno haya hayajazungumza Ukraine. Mjerumani mwanzoni kabisa alikuwa na maneno ya vitisho kwa Russia kilichotokea Mrusi akasema maneno ya ujerumani ni tishio kwa usalama wa Urusi na warusi tutawapa jibu, muda si mrefu mbabe wa vita PUTIN akaagiza vikosi vyote viwe tayari kwa uvamizi kutoka Ujerumani hapohapo Germany akafyata mkia.

Ujerumani akaona hatari kubwa Russia ana hasira na WANAZI na Russia anapoiona Ujerumani taswira inayomjia ni HATARI YA WANAZI kwa ajili ya usalama wa nchi ya Urusi watakuwa tayari kutumia biological,chemical,nuclear na laser weapons kujilinda dhidi ya WANAZI.

China anapumuliwa kisogoni anakubali kweli USA kapata saizi yake.
 
Umejibu kiwepesi na kwa hoja dhaifu sana ila sio kosa lako ni ufahamu tu.

Hivi kuwepo raia wa Israeli sehemu ndio kigezo Cha nchi kuwa na maendeleo makubwa ya kitechnolojia? Kama ndivyo waisraeli hawapo Kenya na Burundi? Kama wapo, wameweza kuyafanya yanayofanywa na walioko USA au Russia? Je,uwezo wa waisraeli wote kiakili upo sawa?
Mkuu hakuna kitu kibaya duniani kama dhana, baadhi ya ndugu zetu wameshaaminishwa hivyo kwamba wanaotengeneza hayo madude si warusi asili wala wamarekani asili bali ni wayahudi, yaani sometimes ni kama ugonjwa
 
Kiboko ya Russia kitambo hadi sasa,myama Saab👇

View attachment 2235028
Hiyo haiwezi kukaa kwenye anga ya Russia hata kwa sekunde tano.. Mnadanganywa na hayo mapicha ndio maana mnawehuka na mahaba niue. Unakumbuka ile drone ya USA ambayo walisema ni very expensive na kujinadi haiwezi kuonekana na rada yoyote ile ambyo haikuchukua hata sekunde tano kwenye anga ya Iran?
 
Tatizo silaha za maana walizo nazo NATO ni too advanced, kwa mfano ndege za kisasa za Sweden hakuna rubani hata mmoja Ukraine anayeweza kuendesha.
Huyo Mrusi anatamaniwa sana na NATO.
Kwa hilo sawa Ukraine wanahitaj mafunzo ya mda kidogo ,maana wakitegemea silaha hafifu watapotea,NATO anatafuta sababu ya kuingia direct ila mrusi naona anakwepa ,kama mtego wa Finland na Sweden
 
Kabisa.
Mass= tungamo kiasi cha mada kinachounda hiyo kitu. Hupimwa kwa kilogram

Weight= uzito hpimwa kwa Newton
Na mimi naomba nijazie nyama mdau,

Mass ya kitu haibadiliki bali Weight hubadilika kwasababu ya variation ya Gravitational Force kwenye Point tofauti tofauti kwenye uso wa dunia...

A man can become weightless akiwa exposed kwenye Zero Gravitational force i.e W=mg ila never ever huezi kuta mahala binadam au kitu kikawa na tungamo (Mass) zero.

Raha ya uelewa tofauti na kukariri au kufanya au kuzungumza kwa mazoea ni uwezo wa kutofautisha na Utambuzi.

Team Russia, Team Easterners kwa hili hamna mashaka wadau wangu 🤗
 
[emoji298]️ The Japanese Prime Minister invited the US President to hold the next G7 summit in the Japanese city of Hiroshima
Hii yote nikatika muendelezo wa kumzarau na kucheza na akili ya babu Biden.

Yani anachofanyiwa Biden nisawa na kuchoma nyumba ya jirani yako, halafu jirani baada ya kuikarabati anakualika kwaajili ya Chakula na maongezi ndani ya nyumba hiyo hiyo uliyoiharibu. Hapa lengo lao nikumtesa kisaikolojia tu Biden maana huo mkutano ungeweza kufanyika hata Tokyo.

Na akijimix akakubali hiyo appointment basi ategemee kukutana na mabango mengi ya udhalilishaji na kufokewa kwa USA kutoka kwa wakazi wa Hiroshima.

Operation ya mrusi imekuja kuzifanya nchi nyingi sana kuiona USA kama nchi ya kawaida tu, na Biden kupoteza ushawishi ndani na nje ya marekani.

The world will never forget the beast offensive of USA to Hiroshima and Nagasaki.
 
Hivi unafikiri kwa nchi zetu maskini ni rahisi kufanya biashara na adui wa USA?
Africa wanatamani kwenda urusi kununua mbolea na mafuta lakini wakimkumbuka usa wanakua wadogo,
Na ndio maana hawataki tujiunge wanajua tukijiunga hawana chao tutakua na nguvu kijeshi,uzalishaji wa bidhaa kote viwandani na mashambani hivyo hatutakua tegemezi kwao.
Na wakisikia kuna mtu ana hiyo courage wanamuanzishia tifu na kumpoteza i.e gaddafi,zimbabwe etc.
Tufungueni macho hivi vimisaada vinatupofusha tunajisahau kuwa tuna kila kitu kwenye hii ardhi,hali ya hewa Safi,water bodies.
Ila mwisho wao uko karibu na sisi vijana wa Africa tunufaike na rasilimali zetu.
 
Hata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5

Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
Wanajitoa akili tu.. waijua hiyo teknolojia vizuri tu, kama ilivyo RADAR(Radio Detection And Ranging) kuna teknolojia mpya inaitwa LADAR(Laser Detection And Ranging) hiyo hufanya kazi kama Radar lakini yenyewe ina more accuracy sasa hapo Rusia niwamefanya modification kwa kuongeza intensity ya hiyo laser light tu nakuifanya hiyo LADAR kuwa weapon

Kuna uwezekano mkubwa hata mmarekani akawa nayo sema kwakuwa kaamua kuifanya hii vita kama njia ya kuchunguza nguvu ya Mrusi amejifanya anahamaki yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
#ThisDay

🗓 May 23, 1992

🇷🇺🇺🇸🇺🇦🇰🇿🇧🇾 30 years ago, the Russian Federation, United States of America, Ukraine, Republic of Kazakhstan and Republic of Belarus signed the Lisbon Protocol (a supplement to the START I Treaty), under which the republics pledged to eliminate or transfer to Russia all nuclear weapons remaining on their territories after the collapse of the USSR, and to accede to the Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons as non-nuclear weapon states.

📑 The Protocol entered into force on December 5, 1994.

@mod_russia_en
 
A man can become weightless akiwa exposed kwenye Zero Gravitational force i.e W=mg ila never ever huezi kuta mahala binadam au kitu kikawa na tungamo (Mass) zero.
Naam Jombaa, vile vile a body can become weightless if its accelerated at constant velocity, kwamba changes ya Velocity inakua zero hivyo Acceleration inakuwa zero vile vile... Ukija kwenye W=ma.

Bila kusahau Weight inaeza kua negative since Weight is Vector Quantity, direction lazima iwe considered unlike Mass ambayo ni Scalar quantity.
 
Back
Top Bottom