ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Sawa.Walitakiwa kujenga nchi yao japo mimi sio hayati kashasha
Sawa.Walitakiwa kujenga nchi yao japo mimi sio hayati kashasha
Hivi huwa mnaandika yanatoka moyoni kweli na mnamaanisha au ni Ile tu mnaandika kuchangamsha jukwaa?Kataifa kadogo kama Ukraine kamemsumbua Urusi sembuse NATO, hata haitahitajika NATO yote, kwa udhaifu ambao tumeshuhudia, taifa moja tu la NATO linatosha kumliza Mrusi.
Kwa akili hii itakuwa bado unakula nyumbani kwa wazaziUbabe na ujinga wa urusi
Yani umeshindwa kungamua kwanini alifanya vile mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
Kweli kwisha habari yao RUSSIA katufungulia njia kumbe confidence yao n kwa arabs na africa tuu huko kwingine anaenda kwa step.No wander kuona hata wafuasi wao wamekaa kinafiki, naona white House nowadays wanakazi ya kurekebisha kauli za Mbuzi Joe.
Songa nayo wadau
💢 "The Americans will not defend Taiwan, they will only supply weapons"
The White House explained that Biden meant only arms deliveries when he spoke of Washington's readiness for military intervention to protect Taiwan from China.
An unnamed US official told NBC:
“Our policy has not changed. President Biden reaffirmed our commitment under the Taiwan Relations Act to provide Taiwan with military means for self-defense."
Asalaaaaaleeee 😂
Hapa ndio umejenga hoja?Kwa akili hii itakuwa bado unakula nyumbani kwa wazazi
Jitahidi kuwa unasoma wenzio wanachoandika au kutoa taarifa otherwise unajichoresha.Hapa ndio umejenga hoja?
Hivi huwa mnaandika yanatoka moyoni kweli na mnamaanisha au ni Ile tu mnaandika kuchangamsha jukwaa?
Halafu hapa Naona kauli za mtu aliyekata tamaa,Sasa anajaribu kirusha mpira kwingine!
Kwahiyo tumekubaliana Ukraine anamsumbua tu Urusi?🤣
Unajua Dunia inalia njaa ikimuomba Putin alegeze?We Sema kamji kambali Ila miji aliyokamata Russia ni ya kimkakati ndio maana tumeanza kusikia vilio Toka UN!Nilikua nusra nikate tamaa pale niliona picha ya limsafara la Urusi kilomita 60, nikajua Kiev kwisha, nyuzi zikarindima humu za wafia dini ambao ghafla mna mahaba na Putin, ila mambo yakaja kubadilika kabisa, limsafara likaliwa shaba hadi raha...Warusi wakageuza na kwenda kuparamia kamji ka mbali huko Mariupol.
Pia ameomba awe anapewa $5 Bil kila mwezi ili aweze kuendelea kupigana Vita.Elensky jana kwenye mkutano wa WEF(World Economic Forum) akiendelea kuomba silaha, swali langu kwani zile $40B nazo zimeisha [emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji96] Zelensky begmanded for equipment at Davos today:
“We do not have enough equipment because we are fighting against such a large state and a large army. They (the Russians) have 20 times more equipment…” he said in Davos.
"20 times more equipment" dah so lundo lote wanalojaziwa la silaha bado Russia ako na vifaa mara 20 zaidi yao...
Pro-NATO hivi huwa mnazisoma au kuzisikia hizi kauli au mmekomaa na hizo Bots za Twitter, zinazowapa matumaini.
Mind you hiyo ni just Operation tu sio Vita murrraa [emoji1787]
kaka as long as watu wa Magharibi wanamsaidia Ukraine, hivyo vita haitaisha leo ama kesho and as result Urusi ananyongonyea sana kiuchumi maana vita inatumia national resource kubwa mno.Elensky jana kwenye mkutano wa WEF(World Economic Forum) akiendelea kuomba silaha, swali langu kwani zile $40B nazo zimeisha 😂😂😂.
💢 Zelensky begmanded for equipment at Davos today:
“We do not have enough equipment because we are fighting against such a large state and a large army. They (the Russians) have 20 times more equipment…” he said in Davos.
"20 times more equipment" dah so lundo lote wanalojaziwa la silaha bado Russia ako na vifaa mara 20 zaidi yao...
Pro-NATO hivi huwa mnazisoma au kuzisikia hizi kauli au mmekomaa na hizo Bots za Twitter, zinazowapa matumaini.
Mind you hiyo ni just Operation tu sio Vita murrraa 🤣
Naona wamagharibi watamuacha peke yake. Ngoja limit ya mikopo iburst atashangaa yu pekee.Pia ameomba awe anapewa $5 Bil kila mwezi ili aweze kuendelea kupigana Vita.
Yaani hapa ana maanisha, Kama hamtanipa pesa Basi sipigani hii Vita yenu [emoji3]
nimemwambia mwenzio kwamba Urusi anatongonyea kiuchumi maana vita hii haiishi leo wala kesho, anayepigana naye kila kukicha anapata misaada ma billion ya dola, mrusi hata kama ana resources kiasi gani itafika pahala atadhoofika.Pia ameomba awe anapewa $5 Bil kila mwezi ili aweze kuendelea kupigana Vita.
Yaani hapa ana maanisha, Kama hamtanipa pesa Basi sipigani hii Vita yenu [emoji3]
hakuna kitu kama hicho, kama unaota basi futa. Ukraine ataendelea kupata misaada toka G7 na US kwa kiwango kikubwa, na hili ndiyo pigo kwa URUSI.Naona wamagharibi watamuacha peke yake. Ngoja limit ya mikopo iburst atashangaa yu pekee.
Sasa hawezi kuacha
Umeisahau S-550 mkuuHalafu ile S-500 hajaiweka sokoni!! Ni kwa ajili ya ulinzi wa anga la Urusi tu kwa sasa. Ni ya masafa marefu!!