Kamati ya sayansi ya silaha ya Russia Ni kiboko.
[emoji117]Lile bomu la Hypersonic Ni kichomi,
Ukilisikia,ujue limekukosa. Huombi hata maji.
[emoji117]Ile Laser ya kutungulia drone, Ni komesha.
Drone zinayeyushwa Kama uji
[emoji117] Kuna ile ya kujam ndege Ni balaa na nusu,
Helicopter na ndege zikikatiza vyuma vinaumana kwenye engine mpk inadondoka yenyewe.
[emoji117]Bado Yale mabomu ya kumtoa mnyoka pangoni, wanaita thermoballic balistoc. Likipigwa unakohoa Hadi ulimi, unatoka mwnyw uko ulikojificha.
Hawa jamaa kijeshi tuwaache TU,
Ndo maana USA wanahangaika Sana kumpunguzia Kasi[emoji4]