Whatever you call it, lakini ukweli unabakia kwamba Urusi kapapasa sehemu isiyomuhusu., ataumia tu atake asitake.Kumbe jeshi la nchi moja(RUSSIA)anapambana na nchi zenye nguvu zaidi ya 30 na anawatoa kamasi.
Whatever you call it, lakini ukweli unabakia kwamba Urusi kapapasa sehemu isiyomuhusu., ataumia tu atake asitake.Kumbe jeshi la nchi moja(RUSSIA)anapambana na nchi zenye nguvu zaidi ya 30 na anawatoa kamasi.
Nikajua labda ulipotokwa tu kwenye post yako niliyo kuquote kumbe hizi ndo akili zako halisi, basi sina muda wa kuendelea kuhangaika na akili nyeupe kiasi hiki.Umeandika maelezo mengi mno lakini hakuna mantiki hapo, Uchumi wa Urusi ushayumba tayari hadi muda huu.
Wote tulidhani kwamba vita hii ingechukua wiki moja tu na Ukraine wasalimu amiri na Rais wao akimbilie mafichoni hii ilitokana na jinsi tulivyoamishwa kwamba nguvu ya Urusi kijeshi ni balaa - sasa ni miezi 3 na mambo bado ni magumu mno kwa URUSI.
Kupoteza kwa Meli ya kijeshi pia limekuwa pigo kubwa kwa Urusi, yaani sawa na mtoto kumzaba kibao mtu mzima - inatia hasira sana.
Mwezi jana Putin alilalamika kwamba NATO wana PROXY vita - sasa mbona hajachukua hatua yoyote kujaribu kuwashambulia? Tunaanza kupata wasiwasi kwamba hata nguvu ya kivita ambayo URUSI anatamba nayo sidhani kama kiuhalisia anayo.
As long as Ukraine anasaidiwa basi stay turned my friend, vita mbado ni mbichi na URUSI atadhoofika tu at the end na ataachana na vita hii kiaina.
Unafikiri EU ana pesa za kuchezea? Kwanza alipoomba hizo $5 bil wakamshangaa.nimemwambia mwenzio kwamba Urusi anatongonyea kiuchumi maana vita hii haiishi leo wala kesho, anayepigana naye kila kukicha anapata misaada ma billion ya dola, mrusi hata kama ana resources kiasi gani itafika pahala atadhoofika.
Hii vita itaamuliwa na nguvu ya kiuchumi, atakayechoka atatoa majeshi yake - Ukraine imeapa haitaachia sentimita moja ya ardhi yake.
Myukrain wa buza jifariji TU,mrusi Alisha jikatia pande la ardhi lenye ardhi yenye rutuba,ukanda wa viwanda na bandari kama tatu za baharini,hapa upande mmoja yupo mrusi kaskazini,sehemu ya kaskazini magharibi swahiba wa mrusi,kipande alichokichukua kina muunga na cremia,lengo ni kukiunganisha na Moldova,upande uliosalia ndio polandi,Sasa hapo ulipo buza endelea kujifariji Ilhali wenzio wapo kikaangoni,wakiomba omba msaada kutoka Kwa mabeberu 🤔Umeandika maelezo mengi mno lakini hakuna mantiki hapo, Uchumi wa Urusi ushayumba tayari hadi muda huu.
Wote tulidhani kwamba vita hii ingechukua wiki moja tu na Ukraine wasalimu amiri na Rais wao akimbilie mafichoni hii ilitokana na jinsi tulivyoamishwa kwamba nguvu ya Urusi kijeshi ni balaa - sasa ni miezi 3 na mambo bado ni magumu mno kwa URUSI.
Kupoteza kwa Meli ya kijeshi pia limekuwa pigo kubwa kwa Urusi, yaani sawa na mtoto kumzaba kibao mtu mzima - inatia hasira sana.
Mwezi jana Putin alilalamika kwamba NATO wana PROXY vita - sasa mbona hajachukua hatua yoyote kujaribu kuwashambulia? Tunaanza kupata wasiwasi kwamba hata nguvu ya kivita ambayo URUSI anatamba nayo sidhani kama kiuhalisia anayo.
As long as Ukraine anasaidiwa basi stay turned my friend, vita mbado ni mbichi na URUSI atadhoofika tu at the end na ataachana na vita hii kiaina.
Hahah! Huyo jamaa ana akili kisoda sanaSawa na kuchukua Mbuzi uipe rungu ukaipiganishe na Tembo, af ukae ukingoja kuona Tembo anavyodondoshwa... Hii kama sio cha Arusha basi cha Chooni...
[emoji23][emoji23][emoji23] apite huku na mie najitolea buku jero tu ya maji njiani.
Mpaka sasa zelenks anatembeza bakuli(kwamba mpunga Us anaompa hautoshi) ,western wanaomba UN iwasaidie kupata msosi kutoka Ukraine, Rubble imepanda thamani, India mnufaika wa punguzo la bei ya mafuta ya Russia,EU lugha gongana kuna wanaotaka mwanaume atolewe vikwazo ,Ugerumani na Poland wanamkwaruzano, USA kakiri kuna supa power tofauti na yy (china, Russia)Whatever you call it, lakini ukweli unabakia kwamba Urusi kapapasa sehemu isiyomuhusu., ataumia tu atake asitake.
Endelea kuwagonga vitu vizito hao watoto😂... Mafuvu yakiwachemka maji ya kuwapozea tunayo 😌.Hahah! Huyo jamaa ana akili kisoda sana
Mi naona uendelee kuchoma mahindi hapo kijiweni
Hakuna anayebisha kwamba Ukraine hatembezi bakuli, tunasema Mrusi alifikiri mambo ni laini, kakutana na kisiki kiasi hata yeye mwenyewe anashangaa.Mpaka sasa zelenks anatembeza bakuli(kwamba mpunga Us anaompa hautoshi) ,western wanaomba UN iwasaidie kupata msosi kutoka Ukraine, Rubble imepanda thamani, India mnufaika wa punguzo la bei ya mafuta ya Russia,EU lugha gongana kuna wanaotaka mwanaume atolewe vikwazo ,Ugerumani na Poland wanamkwaruzano, USA kakiri kuna supa power tofauti na yy (china, Russia)
Mi naona uendelee kuchoma mahindi hapo kijiweni
BURE KAAAABISA, nakazia mwamba 😌Kama mtu unaamini (japo hakuna yeyote Russia or westerners aliesema hivo) kuwa operation ya Urusi ingechukua wiki moja na kumpindua rais zelensky basi wewe ni bure kabisa katika haya mambo.
Kazoea movie bro, Masaa mawili imeisha. Kizazi cha Spider Man hiki 😂Kama Operation ya jeshi lako la askari polisi kupambana na panya roads wa chanika ilichukua zaidi ya wiki mbili, ndo operation ya jeshi la wanajeshi lak1 dhidi ya jeshi la nchi nzima ya ulaya limalize mission yake ndani ya wiki moja kweli?
Ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia 😪Sehemu nyingine unayoonesha weupe wako nipale unapoiita hii operation kuwa ni Vita, kama Pentagon na EU wanatumua neno Russia-Ukraine conflict na siyo Russia-Ukraine War, wewe hiyo vita umeitoa wapi na umeipima kwa criteria zipi?
Nakazia tena jomba...Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili za kung'amua mambo wengine wanavitumia kuhifadhia meno na kufugia nywele tu wakijitahidi sana basi wanavitumia kuvukia barabara.
Kama una telegram search Intel Slava V uone uhalisia on ground. WiOn wapo neutral.Kuna watu humu wanajidanganya kwamba eti jaribu kumpa mbuzi rungu afu utegemee atampiga Tembo - Sasa subirini muone namna Ukraine anamkomesha mtu mzima.
Hizo Laser weapons mbona hatujaona zikimaliza battlefield ?
Russia Laser weapons on the battlefield in Ukraine.
Mwezi wa 3 huo Mrusi kakwama kumaliza vita Ukraine, we doubt Russians military strength kwa kweli.BURE KAAAABISA, nakazia mwamba 😌
Kazoea movie bro, Masaa mawili imeisha. Kizazi cha Spider Man hiki 😂
Ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia 😪
Nakazia tena jomba...
View attachment 2236697
Washeherashaji tupo makini 🤗
nishacheki, propaganda za kivita kibao wakati battlefield mambo magumu. tulitegemea sasa hivi Zelensky awe Poland mbio lakini wapi.Kama una telegram search Intel Slava V uone uhalisia on ground. WiOn wapo neutral.
What is your reference?.Mwezi wa 3 huo Mrusi kakwama kumaliza vita Ukraine, we doubt Russians military strength kwa kweli.
Mwezi wa 3 huu kipi kinamsumbua Mrusi kumaliza vita? au vita hajaianza bali hiyo ni military operation tu - haya tujuze wewe unayeelewa mambo ya kivita 🙂What is your reference?.
Kwenye military strengths?
Aisee utaumwa kichwa bure yaonekana haya mambo yamekuzidi kimo. Kwa nini usiende kwenye ule uzi wa Kimasihara.
Hebu jibu hoja kwa kutumia vigezo vifuatavyo.nishacheki, propaganda za kivita kibao wakati battlefield mambo magumu. tulitegemea sasa hivi Zelensky awe Poland mbio lakini wapi.
Bora Putin kuliko ajaye putin anahuruma sana angekuwa yule aliyepita au mkuu wa majesh wa sasa kwanza vita ingekuwa ishaisha na ameua wengiHaa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
Kwa nini unataka iishe mapema una maslahi na ushindi wa haraka?. Haya nani aliwahi kushinda haraka ?Mwezi wa 3 huu kipi kinamsumbua Mrusi kumaliza vita? au vita hajaianza bali hiyo ni military operation tu - haya tujuze wewe unayeelewa mambo ya kivita 🙂
Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.Hakuna anayebisha kwamba Ukraine hatembezi bakuli, tunasema Mrusi alifikiri mambo ni laini, kakutana na kisiki kiasi hata yeye mwenyewe anashangaa.
Mwanzoni alisema atakayetoa usaidizi wowote kwa Ukraine atakiona cha moto sasa mbona wanatoa tu na hana la kufanya afu anaishia kulalamika.