Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa watu wana chuki sana, sasa wanakamata hadi mtu anaye-like na ku-comment kwenye page zilizo na Russian Contents.

Ni hiki kizazi ambacho babu zao walivamia na kuwatawala babu zetu, na ni hiki kizazi ambacho kinawatendea vitu vya ajabu sana ngozi nyeusi.

Je kwa hizi chuki za namna hii tipi kama wao ndio wangetawaliwa na babu zetu? Wangefanya mangapi dhidi yetu hadi leo? Mmh?

Mnaowashabikia hawa watu mkoje nyie [emoji23], au hii nayo ni democracy?

Taarifa kamili hii hapa wadau, songa nayo.
[emoji404] The police came to a resident of the Latvian Ventspils with threats because of "likes" in social networks.

The woman was accused of "supporting Russia's aggression against Ukraine" for liking a photo of a girl dancing with a Russian flag in Germany on May 9. First they called her on the phone, and then they came home.

"The employees did not introduce themselves, unceremoniously entered the apartment and began showing us printed copies from the Odnoklassniki page with likes, accusing my husband and me of supporting Russia.

After that, they slipped some papers in which it was written that they were warning us: it is forbidden to sympathize with the aggressor country in Latvia,"
Tatiana said in an interview with correspondent from Latvia.

ProNATO nyie kazaneni tu [emoji124]
We unatumia vingapi kutoka kwao..

[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]

[emoji419]Madawa ya ukimwi?

[emoji419]Condoms?

[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?

Niendelee!

Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]

Toa sababu zingne utaeleweka
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
 
We unatumia vingapi kutoka kwao..

[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]

[emoji419]Madawa ya ukimwi?

[emoji419]Condoms?

[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?

Niendelee!

Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]

Toa sababu zingne utaeleweka
Ha ha ha ha - umemaliza mkuu.
 
Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.

Nimeona nikufungue macho.
Mumeo alipata "dodo" rafiki yangu, sio kwamba kwasababu we ni Pro-Russia hapana, bali kwa uwezo ulionao wa kuelewa jambo.

Hapo mwanzo nilihisi proRussia ni vidume watupu kumbe kuna "Shangazi" from kaskazini anawaikalisha jinsia ya pili vyema kabisa 😍...

Dah! Ase Miss ngaboru na deni lako ila sijui la nini, Siku nikilijua nitakupa. Hongera sana Comrade.

Nakupa sifa sio tu kwasababu we ni Pro-Russia, No... Nakupa sifa kwa uwezo ulionao wa kuelewa na kutafakari jambo.
 
Kwani nani kaingiza pua yake hapo ukraine

Kweli wewe fuso ha ha ha ha ha ha
Putin alisema yoyote atakayethubutu kuisaidia Ukraine atakipata ambacho hawajahi kukiona maishani - haya atuonyesha basi maana mataifa karibia 20 yanaisaidia Ukraine.


Cha msingi namshauri tu Putin aachane na hii vita - ataifanya Urusi ipotee pamoja na yeye. Huwezi kushindana na watu zaidi ya 30 wewe upo peke yako - Mchina, Mhindi na Mkorea si watu wa kutegemea kabisa kwenye ugomvi mkumbwa kama huu.
 
Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.
Mwenzako ndio anamake kwa taarifa yako tokea operation imeanza anayo surplus ya kutosha kutokana na mafuta anayoyauza,achilia mbali uuzaji wa silaha,mbolea,nafaka na teknolojia kwa nchi zenye msuli.
Nyie uko kwenu mnasubiria muongozo as mnakula misaada ya supa power.
 
Haya kamata hii ya leo leo - kama anaweza akashambulie Pentagon.

Pentagon says more high-tech weapons going to Ukraine​


WASHINGTON (AP) — Nearly 50 defense leaders from around the world met Monday
and agreed to send more advanced weapons to Ukraine, including a Harpoon launcher
and missiles to protect its coast, Defense Secretary Lloyd Austin told reporters.


Secretary of Defense Lloyd Austin, left, and Joint Chiefs Chairman Gen. Mark Milley, speak with reporters after a virtual meeting of the Ukraine Defense Contact Group at the Pentagon, Monday, May 23, 2022, in Washington. (AP Photo/Alex Brandon)
https://apnews.com/article/russia-u...lloyd-austin-2933aea354d40ce8b87b9ff62490fd4c
Hawa waaacheni huko washikane makalio tu vita ya mdomon Hakuna lolote

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Hapo ukimwi utaenda kupata Dawa full stop

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Hapo ukimwi utaenda kupata Dawa full stop

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Siumeelewa

Si umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
Je, hii ni picha yako
1653380558439.png
 
Tajiri hanuniwi, nchi zenye viongozi wenye akili ndo muda wa kuimarisha uchumi wao kwa kutumia primary resources kutoka kwa mzalishaji mwenyewe na siyo secondary resources kutoka kwa westerners.

Wakati bei ya mafuta ikipanda katika nchi nyingi duniani, serikali ya india imewashushia bei kwa 9% wananchi wake baada ya kuanza kuagiza mafuta kutoka Russia.
Wahindi wanavyojua kucheza na fursa hawajaishia hapo wameingiza mzigo wa kutosha wa mbolea ili nchi zenye viongozi vilaza zitakapokuwa zinalialia uhaba na bei ghari ya mbolewa, Wahindi watakuwa busy shamban kuzalisha mazao ya kuja kuwauzieni kwa gharama ya juu nyie mnausubiri kauli za USA.

Sasa ndo nimeelewa kwanini Hayati Magufuli "Jiwe" (aliekuwa Putin wa Afrika) zilianza kuiva sana na kiongoz wa India kumbe wote akili zao nizaki putin putin zisizo yumbishwa wala kusubiria kauli za taifa lingine. Na kama jiwe angekuwepo basi meli kutoka urusi zenye Mafuta na mbolea zingekuwa zinapishana pale Bandarini sasahivi na tusingekuwa tulialia na mfumuko huu wa bei.
Naona Paragraph ya mwisho umeamua kuongea zile Pumba 1st class.Ngoja nikazitumie kulishia kuku.
 
IMG_20220524_142800_754.jpg


In addition to 🇷🇺Russian Defence Minister, the Defence Ministers of 🇦🇲Armenia, 🇧🇾Belarus, 🇰🇿Kazakhstan, 🇰🇬Kyrgyzstan and 🇹🇯Tajikistan, as well as CSTO Secretary General Stanislav Zas and Colonel General Anatoly Sidorov, the CSTO Chief of Joint Staff, participated in the meeting.


▫️Participants discussed the military-political situation in the CSTO area of responsibility, the situation in Ukraine and developed proposals to jointly counter challenges and threats to collective security.
IMG_20220524_143632_972.jpg


#CSTO
#mod_russia_en
 
Mambo "hot" "hot", Mambo "Pot" "pot"💥

🇷🇺🇨🇳 Strategic bombers of Russia and China conducted joint air patrols in the Asia-Pacific region.

According to the Ministry of Defense of the Russian Federation, the duration of the flight of Russian strategic missile carriers was about 13 hours.

The event was held within the framework of the military cooperation plan for 2022 and is not directed against third countries, the Ministry of Defense noted.
 
Back
Top Bottom