Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Czech Republic recently donated attack helicopters, tanks and rockets, and that Italy, Greece, Norway and Poland announced new donations Monday of artillery systems and ammunition.

Mbali na hizo nchi Denmark pia katuma vitu.

Tukumbushane, Putin alisemaje kuhusu nchi zitakazo saidia Ukraine! Vipi kashapiga hata nchi moja wapo?
 
Hebu jibu hoja kwa kutumia vigezo vifuatavyo.
1. Uchumi wa urusi upo vibaya umetumia vigezo gani?
2. Zelensky anashinda. Kakomboa maeneo mangapi mpaka sasa.
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.

Tatizo la underestimations.
 
Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.

Nimeona nikufungue macho.
Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.
 
What is your reference?.
Kwenye military strengths?
Aisee utaumwa kichwa bure yaonekana haya mambo yamekuzidi kimo. Kwa nini usiende kwenye ule uzi wa Kimasihara.
Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.

Pia amesahau kama Marekani na NATO walittumia miaka 20 Afganistan kuwatoa TALIBAN madarakani kwa kuwaweka TALIBAN madarakani.
 
Czech Republic recently donated attack helicopters, tanks and rockets, and that Italy, Greece, Norway and Poland announced new donations Monday of artillery systems and ammunition.

Mbali na hizo nchi Denmark pia katuma vitu.

Tukumbushane, Putin alisemaje kuhusu nchi zitakazo saidia Ukraine! Vipi kashapiga hata nchi moja wapo?
True, Putin na azishambulie nchi kama alivyozionya mwanzoni mwa vita hii.
 
Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.

Pia amesahau kama Marekani na NATO walittumia miaka 20 Afganistan kuwatoa TALIBAN madarakani kwa kuwaweka TALIBAN madarakani.
Jibu swali kwa nini Putin asizishambulie nchi zinazoendelea kutoa msaada kwa Ukraine kama alivyoahidi mwanzoni ??
 
Czech Republic recently donated attack helicopters, tanks and rockets, and that Italy, Greece, Norway and Poland announced new donations Monday of artillery systems and ammunition.

Mbali na hizo nchi Denmark pia katuma vitu.

Tukumbushane, Putin alisemaje kuhusu nchi zitakazo saidia Ukraine! Vipi kashapiga hata nchi moja wapo?
Tukumbushane waliokuwa wamezingirwa chini ya kiwanda hawakuwa maadui wa Putin?, Je kawafanyeje au hakuwa na uwezo wa kuwarushia mabomu pale. Au jikumbushe vifaa vinavyopelekwa na nchi wasaidizi wake toka waanze mbo havijamuondoa Putin huko Ukraine
 

Attachments

  • 1653389016989.png
    1653389016989.png
    33.9 KB · Views: 36
Jamaa ameamua kwa makusudi kutotumia ubongo wake sawasawa. Hajui kama Russia inapigana na nchi zidi ya 40 ndani ya ardhi ya Ukraine.

Pia amesahau kama Marekani na NATO walittumia miaka 20 Afganistan kuwatoa TALIBAN madarakani kwa kuwaweka TALIBAN madarakani.
Kwamba alitumia miaka 20 kuwatoa taliban madarakani! Bro una uhakika[emoji16]
 
Tukumbushane waliokuwa wamezingirwa chini ya kiwanda hawakuwa maadui wa Putin?, Je kawafanyeje au hakuwa na uwezo wa kuwarushia mabomu pale. Au jikumbushe vifaa vinavyopelekwa na nchi wasaidizi wake toka waanze mbo havijamuondoa Putin huko Ukraine
Wenyewe kazi yao ni kutoa misaada na kuilinda Ukraine.. ndio maana mpaka sasa hamjafikia malengo yenu [emoji16]

Ila NATO alionywa lakini kaendelea kutoa msaada basi tunaomba maneno ya flutin yatimie, nchi ndio hizo tena Kuna msaada umetolewa na us na us katoa hela China[emoji41]

Kazi kwenu, sijui mtaanza na nchi gan kati ya hizo nilizotaja juu huko
 
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.

Tatizo la underestimations.
hiki ndiyo nilikuwa namaamisha, Dunia inamshangaa Putin.



When Russia invaded Ukraine on Feb. 24, it had hoped to overtake the country in a blitz lasting only days or a few weeks.
Many Western analysts thought so, too.

As the conflict marked its third month Tuesday, however, Moscow appears to be bogged down in what increasingly looks
like a war of attrition, with no end in sight and few successes on the battlefield.


FILE - A Russian armored personnel carrier burns amid damaged and abandoned light utility vehicles after fighting in Kharkiv, the country's second-largest city in Ukraine, Feb. 27, 2022. Three months after it invaded Ukraine hoping to overtake the country in a blitz, Russia has bogged down in what increasingly looks like a war of attrition with no end in sight. (AP Photo/Marienko Andrew, File)
 
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.

Tatizo la underestimations.
mbona umekasirika sana ha ha ha ha ha ha ha

Tangu nato wenu wajisalimishe pale mariupol mmkewa na hasira kama wanaweke wenye mimba changa ha ha ha ha
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
 
mbona umekasirika sana ha ha ha ha ha ha ha

Tangu nato wenu wajisalimishe pale mariupol mmkewa na hasira kama wanaweke wenye mimba changa ha ha ha ha
tulia tuendelee tu, maana baba yenu Putin alisema atamfumua yoyote atakayesogeza mguu kwenye vita yake na Ukraine, ehee sasa ?

tuendelee na hapo ndugu - kamfumua nani so far ?
 
hiki ndiyo nilikuwa namaamisha, Dunia inamshangaa Putin.



When Russia invaded Ukraine on Feb. 24, it had hoped to overtake the country in a blitz lasting only days or a few weeks.
Many Western analysts thought so, too.

As the conflict marked its third month Tuesday, however, Moscow appears to be bogged down in what increasingly looks
like a war of attrition, with no end in sight and few successes on the battlefield.


FILE - A Russian armored personnel carrier burns amid damaged and abandoned light utility vehicles after fighting in Kharkiv, the country's second-largest city in Ukraine, Feb. 27, 2022. Three months after it invaded Ukraine hoping to overtake the country in a blitz, Russia has bogged down in what increasingly looks like a war of attrition with no end in sight. (AP Photo/Marienko Andrew, File)'s second-largest city in Ukraine, Feb. 27, 2022. Three months after it invaded Ukraine hoping to overtake the country in a blitz, Russia has bogged down in what increasingly looks like a war of attrition with no end in sight. (AP Photo/Marienko Andrew, File)
Walienda kichwa kichwa wakakutana na ngumi ya pua, wakarudi nyuma fasta
 
Hawa watu wana chuki sana, sasa wanakamata hadi mtu anaye-like na ku-comment kwenye page zilizo na Russian Contents.

Ni hiki kizazi ambacho babu zao walivamia na kuwatawala babu zetu, na ni hiki kizazi ambacho kinawatendea vitu vya ajabu sana ngozi nyeusi.

Je kwa hizi chuki za namna hii vipi kama wao ndio wangetawaliwa na babu zetu? Wangefanya mangapi dhidi yetu hadi leo? Mmh?

Mnaowashabikia hawa watu mkoje nyie 😂, au hii nayo ni democracy?

Taarifa kamili hii hapa wadau, songa nayo.
📝 The police came to a resident of the Latvian Ventspils with threats because of "likes" in social networks.

The woman was accused of "supporting Russia's aggression against Ukraine" for liking a photo of a girl dancing with a Russian flag in Germany on May 9. First they called her on the phone, and then they came home.

"The employees did not introduce themselves, unceremoniously entered the apartment and began showing us printed copies from the Odnoklassniki page with likes, accusing my husband and me of supporting Russia.

After that, they slipped some papers in which it was written that they were warning us: it is forbidden to sympathize with the aggressor country in Latvia,"
Tatiana said in an interview with correspondent from Latvia.

ProNATO nyie kazaneni tu 🚶
 
Back
Top Bottom