Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.
Kwamaana hiyo US sio super power kwani ni muoga kweli wa proxy-war.
Tulimshuhudia kule Iraq akitalii angani baada ya UN kumsaidia kuichunguza Iraq na kugundua hana ulinzi madhubuti wa anga.
Huku chini akawaachia waarabu
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira[emoji16]
Wamarekani wa Buza wanalia zaidi kwa kukosa vilainishi na ARVs. Bwana wao yupo bize na Ukraine. Sishangai wakiichukia Russia
 
K
Hebu jibu hoja kwa kutumia vigezo vifuatavyo.
1. Uchumi wa urusi upo vibaya umetumia vigezo gani?
2. Zelensky anashinda. Kakomboa maeneo mangapi mpaka sasa.
Mkuu achana nae, inawezekana hata umri wake bado mdogo yamkini ndo hawa waliomaliza mitihani wiki iliyopita. Nina wasiwasi hata simu anayotumia yaweza kua ya bimkubwa.
 
Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.

Nimeona nikufungue macho.
Huyu anahitaji mwalimu wa Fizikia labda.
 
Unafikiri EU ana pesa za kuchezea? Kwanza alipoomba hizo $5 bil wakamshangaa.

Pia, Sasa hivi kila nchi zimeshafikia kikomo cha kutoa misaada, ndio maana huoni Tena zile mbwembwe za Kama awali.

Kama Ukraine angelikuwa anaonyesha kushinda hii vita, jamaa wangekuwa na moyo wa kuendelea kumsaidia.

Lakini kila msaada wa silaha wakimpatia zinaishia kuchomwa Moto. Sasa nani ataendelea na biashara ya namna hii..?
Wewe ndio msemaji wa EU ?
 
Marekani yaripoti kuwa mafuta ya Russia yavunja rekodi kwa kununuliwa kwa wingi zaidi licha ya vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia

SmartSelect_20220524-211800_Chrome.jpg

SmartSelect_20220524-211813_Chrome.jpg
Screenshot_20220524-212554_Chrome.jpg
 
Kuna vichwa vingine maji mkuu,badala ya kuficha siri,yeye kaona sifa Wamarekani kuwa upande wao.Ila kwa watu wa leo sioni ajabu.Wakati mwingine US officials wana expose their millitary secrets kama walivyofanya sasa,ikawa picked up by Ukraine officials.Wakati mwingine UK wanafanya makosa hayo,hasa Boris Johnson,Russia na hata China.Kwani sasa si tunajua China wana mpango wa kuivamia Taiwan na US wamesema wakivamia na wao wata-respond millitarily!So nadhani hii ya Ukraine official sio ya ajabu sana,ingawa ni kweli ka-expose millitary secrets.
Mzee kuzamisha fleet ya Russia inatakiwa iwe ambush siyo kama hivi. Sidhani kama ni kweli. Nahisi ni hoax ya kuwapa moyo wa Ukraine kudhani US ataingia vitani kumbe wao Ukraine wanaendelea kufa tuu
 
Back
Top Bottom