Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Urusi wawe makini tu in surveillance ,ila technology hiyo ipo.Kumbuka ni fleet ya Black Sea tu iliyozungumziwa..Mzee kuzamisha fleet ya Russia inatakiwa iwe ambush siyo kama hivi. Sidhani kama ni kweli. Nahisi ni hoax ya kuwapa moyo wa Ukraine kudhani US ataingia vitani kumbe wao Ukraine wanaendelea kufa tuu