Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wapi unafikiria NATO ni jeshi.lililoko EA au Africa.Nyie wanaume wa huku badala ya kumwambia January akaniunue mafuta Urussi ya bei rahisi mnawaza territory za Putin.Look for opportunities jamani .Mimi nawaza kuolewa na Putin nasikia hana mke big opportunity. Utasikia first lady .Kwani Samia kapataje urais wanaume mlikaa tu mnacheka cheka na kupiga makofi.Wanawake tunaupiga mwingi come 2035 marais wanawake watakuwa 50 percent
😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa
Hamna kitu hao Russia anaua 300 per day basi tu Zelensky anafisi. Fikiria raia yupo frontline kafosiwa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Marekani yasema kuwa nchi za Ulaya zimesalimu amri kwa matakwa ya Putin juu ya namna mpya ya kufanya malipo ya gas kupitia sarafu ya Ruble ili kuepuka nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya zisikatiwe gesi na Russia.

Aisee...Kweli kwa kila 'wababe' kuna mbabe wao zaidi.

View attachment 2237361
Halafu kuna ***** mmoja alikuwa analeta ubishani ooh ujerumani kakataa kulipa in Rubbles🤣 kenge maji kabisa.

Kwa Putin kila goti litapigwa ukimwaga mboga muhuni anamwaga ugali yani mpaka sanctions zao watapoziondoa wenyewe. Wasilete mambo ya kitoto hapa.
 
Marekani yasema kuwa nchi za Ulaya zimesalimu amri kwa matakwa ya Putin juu ya namna mpya ya kufanya malipo ya gas kupitia sarafu ya Ruble ili kuepuka nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya zisikatiwe gesi na Russia.

Aisee...Kweli kwa kila 'wababe' kuna mbabe wao zaidi.

View attachment 2237361
Hawa jamaa wanafiki pia wangese sana yaan wenyew wameongeza uchukuaj wa ges toka russia harafu anataka wenzake wakaze ili wafe na uchumi wao udolole
 
Back
Top Bottom