Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa
Abeeeee
Ndio unatakaje kwa mfano.Mi hata Nikiolewa mke wa pili kwa Zelensky ni bora kuliko Putin anayewaza vita ambayo amepigana leo siku ya 90 hajaweza kuonyesha uanaume wake .Je, hii ni picha yakoView attachment 2236607
Wameongea territory tena zile territory zenye utajiri wa gesi na mafuta na vyakula na wamejiongezea maeneo ya bahari alafu pia wametuma message kwamba hao NATO sio lolote kwao kwahiyo wajiheshimu sana pia wamewapunguza Neonazist wengi Kwa kuwaangamiza.Sawa Putin na urusi wameshinda sasa wamepata nini Ukraine .Naomba washabiki wa Putin waniambie kwanza
miji ya muhimu imebebwa au hujasikia pia maadui wanasogezwa(nato) mbali na mipaka ya urusiSawa Putin na urusi wameshinda sasa wamepata nini Ukraine .Naomba washabiki wa Putin waniambie kwanza
Kuchamba kwingi.......Ndio unatakaje kwa mfano.Mi hata Nikiolewa mke wa pili kwa Zelensky ni bora kuliko Putin anayewaza vita ambayo amepigana leo siku ya 90 hajaweza kuonyesha uanaume wake .
Umeona ramani ya Ukraine au rusia imebadishwaWameongea territory tena zile territory zenye utajiri wa gesi na mafuta na vyakula na wamejiongezea maeneo ya bahari alafu pia wametuma message kwamba hao NATO sio lolote kwao kwahiyo wajiheshimu sana pia wamewapunguza Neonazist wengi Kwa kuwaangamiza.
Niachee.Nachamba cha PutinKuchamba kwingi.......
Upo na watoto wangapi!?Niachee.Nachamba cha Putin
Wapi unafikiria NATO ni jeshi.lililoko EA au Africa.Nyie wanaume wa huku badala ya kumwambia January akaniunue mafuta Urussi ya bei rahisi mnawaza territory za Putin.Look for opportunities jamani .Mimi nawaza kuolewa na Putin nasikia hana mke big opportunity. Utasikia first lady .Kwani Samia kapataje urais wanaume mlikaa tu mnacheka cheka na kupiga makofi.Wanawake tunaupiga mwingi come 2035 marais wanawake watakuwa 50 percentmiji ya muhimu imebebwa au hujasikia pia maadui wanasogezwa(nato) mbali na mipaka ya urusi
Ninaye wewe tu na unanisumbua sana .Uwazi jinsi ya kutafuta pesa kila saa hot news Kafie cremlinUpo na watoto wangapi!?
Umeolewa!?Ninaye wewe tu na unanisumbua sana .Uwazi jinsi ya kutafuta pesa kila saa hot news Kafie cremlin
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Nilikua sijaona hii comment.We unatumia vingapi kutoka kwao..
[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]
[emoji419]Madawa ya ukimwi?
[emoji419]Condoms?
[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?
Niendelee!
Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]
Toa sababu zingne utaeleweka