Tajiri hanuniwi, nchi zenye viongozi wenye akili ndo muda wa kuimarisha uchumi wao kwa kutumia primary resources kutoka kwa mzalishaji mwenyewe na siyo secondary resources kutoka kwa westerners.
Wakati bei ya mafuta ikipanda katika nchi nyingi duniani, serikali ya india imewashushia bei kwa 9% wananchi wake baada ya kuanza kuagiza mafuta kutoka Russia.
Wahindi wanavyojua kucheza na fursa hawajaishia hapo wameingiza mzigo wa kutosha wa mbolea ili nchi zenye viongozi vilaza zitakapokuwa zinalialia uhaba na bei ghari ya mbolewa, Wahindi watakuwa busy shamban kuzalisha mazao ya kuja kuwauzieni kwa gharama ya juu nyie mnausubiri kauli za USA.
Sasa ndo nimeelewa kwanini Hayati Magufuli "Jiwe" (aliekuwa Putin wa Afrika) zilianza kuiva sana na kiongoz wa India kumbe wote akili zao nizaki putin putin zisizo yumbishwa wala kusubiria kauli za taifa lingine. Na kama jiwe angekuwepo basi meli kutoka urusi zenye Mafuta na mbolea zingekuwa zinapishana pale Bandarini sasahivi na tusingekuwa tulialia na mfumuko huu wa bei.