Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amerika wanavamia Urusi ni operation.
Nitajie vita ambayo Marekani kapigana baada ya WW2. Zaidi anavizia tu kama Iraq
Vita ya Korea mwaka 1950-1953
Vita ya Vietnam
Vita ya kwanza ya Ghuba mwaka 1991
Vita vya Kosovo
Vita vya Afghanistan
Vita vya Iraq
.......
.......
. zipo nyingi sana
 
Ukraine yahuzunika kuripoti kuwa majeshi ya Russia yamelikamata jiji la Svitlodarsk, huko Donetsk na yamepandisha bendera ya Russia kwenye jengo la utawala la jiji hilo.

SmartSelect_20220524-202133_Chrome.jpg
Screenshot_20220524-202216_Chrome.jpg
 
Nikajua labda ulipotokwa tu kwenye post yako niliyo kuquote kumbe hizi ndo akili zako halisi, basi sina muda wa kuendelea kuhangaika na akili nyeupe kiasi hiki.

Kama mtu unaamini (japo hakuna yeyote Russia or westerners aliesema hivo) kuwa operation ya Urusi ingechukua wiki moja na kumpindua rais zelensky basi wewe ni bure kabisa katika haya mambo.

Kama Operation ya jeshi lako la askari polisi kupambana na panya roads wa chanika ilichukua zaidi ya wiki mbili, ndo operation ya jeshi la wanajeshi lak1 dhidi ya jeshi la nchi nzima ya ulaya limalize mission yake ndani ya wiki moja kweli?
Kwanza hayo maneno umeyatoa wapi na nani alisema na kwa ushahidi upi?

Sehemu nyingine unayoonesha weupe wako nipale unapoiita hii operation kuwa ni Vita, kama Pentagon na EU wanatumua neno Russia-Ukraine conflict na siyo Russia-Ukraine War, wewe hiyo vita umeitoa wapi na umeipima kwa criteria zipi?

Uliona wapi vita inapiganwa huku ukimsaidia adui chakula na matibabu kwa raia na wapiganaji wake?

Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili za kung'amua mambo wengine wanavitumia kuhifadhia meno na kufugia nywele tu wakijitahidi sana basi wanavitumia kuvukia barabara.
Mkuu ni kweli wengine wamepewa vichwa ilimradi wapate haki ya kuishi duniani, maana bila kichwa tusingewatambua uwepo wao
 
Unprecedented anti-Russian sanctions are destroying the economies of the countries that imposed them.

Russian exports are showing record profits, the ruble is becoming the most efficient currency in the world, while electricity, gas and groceries are getting more expensive in the West.

The British are increasingly turning to charities to save on food. Estonia, Bulgaria, the Czech Republic and Romania became the leaders in terms of inflation growth in Europe, and in the Netherlands in April alone, consumer energy price growth amounted to 83%.

In the US, too, fuel and energy prices have soared to record highs, but Western leaders still blame Russia for the crisis.

Read more in the story of RT correspondent Roman @corrkosarev Kosarev.

20220502_010825 (1) (1).png
 
The Canadian Ministry of Defense announced that it would send more than 20 thousand shells to Kyiv for 155-millimeter M777 howitzers, which were previously delivered to Ukraine.
20220502_010825 (1) (1).png
 
The US administration believes that Russia should permanently lose the benefits of participating in the global economy, said the head of the US Department of Commerce, Gina Raimondo. In her opinion, any discussion of the possibility of normalizing relations with the Russian side is premature.

The minister also ruled out the possibility of an early lifting of export restrictions on Moscow.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Back
Top Bottom