Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.

Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.

Canada na Australia nazo zimeahidi kupeleka kitu kinaitwa M-777 howitzers kuhakikisha anga la Ukraine inakuwa salama.

Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia vikao regardless una ubora ama akili namna gani ndugu yaani ujue - UMEKWISHA.

Harpoon Anti-Ship Missiles
View attachment 2236916

M-777 howitzers - Kitu hicho ndugu.

View attachment 2236927
Vikao vya taarabu
 
The head of the Polish Foreign Ministry said that Germany would lose confidence if it did not support granting Ukraine the status of a candidate for joining the European Union.

20220502_010825 (1) (1).png
 
The cost of gasoline at gas stations in the US has reached a record $4,598 (about 260 rubles) per gallon.

According to the American Automobile Association, gasoline is the most expensive for car owners in California, where the cost of a gallon is above average and starts at $6-7.

The White House links the rise in gasoline prices with the situation in Ukraine. At the same time, anti-Russian sanctions led to a significant increase in the cost of energy.

Earlier, the head of the US Oil and Gas Association, Tim Stewart, said that the country is experiencing perhaps the worst energy crisis in half a century.

20220502_010825 (1) (1).png
 
More than half of Americans believe that anti-Russian sanctions are harming the US economy.

According to the AP poll and the NORC research center, 51% of respondents would like the authorities to prioritize domestic problems, 45% support the sanctions policy against the Russian Federation.

The publication notes that a month ago these figures were opposite: then 55% of Americans agreed with sanctions against Russia without regard to the damage to the States themselves.

The authors of the study explain such changes in public opinion by growing inflation, high prices for fuel, food and other goods.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Hillary Clinton personally approved the spread of the fake about Trump's collusion with Alfa Bank and "Russian interference" in the US elections.

This was revealed at a recent court hearing in the United States, according to Fox Business.

The Clinton campaign knew that “Russian interference” in the 2016 US presidential election was a lie, but they “attacked Trump anyway because they hated and still hate him,” the publication says.

“What is the rest of the world supposed to think as America turns against itself? A presidential candidate who thinks tens of millions of Americans are pathetic?" — said in the material.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Hakuna anayebisha kwamba Ukraine hatembezi bakuli, tunasema Mrusi alifikiri mambo ni laini, kakutana na kisiki kiasi hata yeye mwenyewe anashangaa.

Mwanzoni alisema atakayetoa usaidizi wowote kwa Ukraine atakiona cha moto sasa mbona wanatoa tu na hana la kufanya afu anaishia kulalamika.
Yani MTU apigane na zaidi ya Nchi 40 halafu ategemee mambo yawe rahisi,nadhani hiyo kauli umejitungia mwenyewe.
 
Habari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.

Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.

Canada na Australia nazo zimeahidi kupeleka kitu kinaitwa M-777 howitzers kuhakikisha anga la Ukraine inakuwa salama.

Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia vikao regardless una ubora ama akili namna gani ndugu yaani ujue - UMEKWISHA.

Harpoon Anti-Ship Missiles
View attachment 2236916

M-777 howitzers - Kitu hicho ndugu.

View attachment 2236927
Ndio kikao chakwanza hiki !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.

Tatizo la underestimations.
Dunia inamshangaa Urusi anawezaje kukabiliana na Nchi 40 tena Nchi tajiri zaidi zenye uwezo wa kila namna,na akaziyumbisha na mateka wao kila siku sana surrender!.
 
Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
Ile ni operation,iliwahi kuona wapi Vita ambayo anayepigana naye anakutangazia Leo nitafanya hiki mahala fulani,kisha anawapa mateka na Wananchi chakula.
Au Mkuu kuna vita uliwahi kuona wanapigwa wanapewa na chakula???
 
Kesema kweli huyu Shangazi kama alovyojitambulisha ana upeo mkubwa sana.
Huu mjadala kweli unahitaji upeo mkubwa sana kumuelewa.
Watu wengi kiukweli Wana upeo mdogo sana kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama wa taifa.

Hebu fikiria kwa Nini USA alie mbali Sana na Europe analazimisha Utanizi wa NATO.

Na kwa Nini huyohuyu USA hayuko tayari Urusi kuweka urafiki wa kijeshi unaofanana na NATO huko america.
Mfano Cuban missile crisis.
Af issue nyepesi ka hiyo shangazi ngaboru anaielewa ajabu wanaojiita vichwa vya familia kama dash dash na dash dash wanajitia upofu.

Unapata mashaka hawa wadau hata ile budget ya familia huwa wanaipanga vipi au ndio viswaswadu kwa wake zao kama uwezo wa kufanya analysis upo chini kiasi hicho...
 
hivi kwa nini hivyo vifaru vya Urusi havikulipuliwa hapo mji muhimu kabisa Ukraine,Mauripal na badala yake zaidi ya wanajeshi 1000 wa Ukraine wakaenda kujificha kwenye mashimo na kula panya & mende kwa siku kadhaa
Urusi alimwaga vifaru vingi Sana, ndo maana vifaru vyote vilivyokanyaga Kiev vililiwa kichwa, Ila Ukrein hasingepewa Javellin angekoma
 
Nilikua nusra nikate tamaa pale niliona picha ya limsafara la Urusi kilomita 60, nikajua Kiev kwisha, nyuzi zikarindima humu za wafia dini ambao ghafla mna mahaba na Putin, ila mambo yakaja kubadilika kabisa, limsafara likaliwa shaba hadi raha...Warusi wakageuza na kwenda kuparamia kamji ka mbali huko Mariupol.
Ajabu ule ujinga wao wa kudai adui zao ni wakristo na wayahudi vipi tena au Putin kasilimu?kweli ibilisi na unafiki damu damu.
 
Back
Top Bottom