Wajukuu wa Uncle Sam wanafurahisha sana, kwamba Mzee hakuwahi kupigana vita yoyote baada ya kujipatia uhuru 1776 hadi leo. Hii level mliyofikia sio mahaba, ni Uenda wazimu.
Mexican American War
Indian American War
Philippine American War
Spanish American War
Hizi zote kapigana kabla ya WW1
Mdau akadai tena kua WW1 hakushiriki alikuwa anasaidia tu 😂, he he he so alisaidia wanajeshi Mil 5 kasoro. By the way neno World lina maana gani? If hakuwa involved, US ipo sayari gani?
WW2, wanajeshi wake zaidi ya Mil 16 walikuwa wanapika chakula tu huko vitani au sio wadau 🤣?
Korean War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 1.7, hao walikuwa wanapika chachandu hawakushiriki.
Vietnam War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 3.4, hao walikuwa wanakunywa supu au sio wadau?
Desert Shield/Desert Storm, wanajeshi zaidi ya laki 6, hawa walikuwa wanafua nguo hawakushiriki au sio?
To make it short ni kua Washington ni waongo nyie mko sahihi that US ana vita vya uhuru tu eh?
View attachment 2237344
That hiyo Office ya Public Affairs Washington, hawajui wanachokiandika. Nyie wa mburahati mnaijua Historia kuliko wao?
View attachment 2237349
Hapo hujaweka list ya matukio after 1991, Guys vichwani mna ubongo au hard drive tu iliyo na data "specific" kwa kuzikonga nyoyo zenu?
Ok now let say Washington ni waongo nyie ni wakweli, US hajawahi kushiriki vita yoyote. Mnapata wapi nguvu za kusema anashinda au ni mbabe ikiwa hana historia ya pambano lolote lile alilowahi kushiriki 😂???
Aaaa nyie dah, Mnajiweza kwa kweli.