Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hapa ndipo ninagundua anayesababisha viendelee kwa muda mrefu ni mrusi na Siyo NATO
Ukiangalia Kwa umakini urusi inataka marekani na NATO wapeleke silaha za kisasa Ukraine ili na yeye atumie silaha za kisasa kuzidhibiti
Kinachotokea baada ya hapo ni urusi anataka atawale kwenye soko la kuuza silaha, kiufupi kwenye Vita hii marekani anapoteza ushawishi kwenye soko la silaha
Muda Siyo mrefu hata hawa watu wa ulaya watahitaji silaha kutoka urusi na Siyo
marekani,
angalia ilipo silaha ya kirusi, mmarekani hapeleki silaha zake, lakini mrusi Hana mipaka yeyote anayehitaji atamuuzia Kwa kuwa ana uhakika na silaha zake zitaperfom Kwa kiwango Bora Kwa muda Wote, kiufupi hata marekani mwenyewe hajiamini kwenye silaha zake
Nakumbuka mwanzoni kuna drone za marekani walizitumia wafuasi wake wakasifia Sana kwamba mrusi Ali hack hizo drone musk akaingiza software mpya ambayo mrusi Hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini Leo kiko wapi?
Kwenye Vita hivi marekani anaenda kuanguka kwenye kila eneo alilokuwa ana dominant,
Uchumi unaenda kushake na dollar inaenda kupoteza nguvu duniani ni swala la muda tu
Umesahau drones walizokua wanazisifia sana Bayraktar TB2 leo zipo wapi?? Urusi anaziunguza tu [emoji28][emoji28]. Turkey anapoteza soko la drones zake. Nyie kuna mazaga Russia akiamua kuyatoa tuyaone dunia itazimiaa [emoji28][emoji28][emoji28]