Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani kaanza kumpa silaha Saddam Hussein miaka ya 1980s ili apigane na Iran kwenye Iran-Iraq war. Bado hapo alitoka kumuuzia Iran zile Tomcats miaka ya mwanzo ya 1970s kabla ya mapinduzi ya kiislamu. Marekani hahitaji msaada wa UN kujua kama nchi fulani ina ulinzi imara au haina
Mnaipaisha sana marekani kuliko uhalisia wake, mwisho mtatuambia marekani wanajua kila tonge la ugali linaloliwa na wasukuma kule shinyanga. Acheni uzwazu wazee. Wale binadam kama binadam wengine, bila kuuliza jirani yangu kuhusu mimi huwezi pata taarifa zangu.
 
Dhambi ni mbaya sana, Putini akimaliza Ukraine ingawa hatuombei hivyo basi kuna watu anawabokoa tena kwa jeuri kuu.

1. Who's next? Lithuanians prepare for potential Russian aggression​

Lithuanians are anxiously following events in Ukraine. Many are preparing for a worst case scenario and some are training to take up arms against Russia.

Lithuania will transfer a new shipment of aid to Ukraine "to further support its defence against Russia," the Lithuanian ministry of defense said Wednesday.

On Twitter, Arvydas Anusauskas said the Baltic nation will send 20 M113 armored vehicles, 10 military trucks and 10 SUVs for demining operations.

M113 armored Vehicle.
View attachment 2238117


2. “If Ukraine fails, Slovakia is next," Prime Minister Eduard Heger told other EU and business leaders.
"They (Ukraine) have to win,” he said.
Heger went on to criticize members of the European Union for relying too heavily on Russian energy. He urged leaders to “stop compromising” their principles when dealing with Russia.

Putin ni wa kuzuia kwa gharama zote
Hivi hizi bangi mnazotumia huwa mnazilimia ardhi gani?

Yani USA na Washirika wake wote walishashindwa kuiangusha Urusi kwa miongo mingi mpaka leo hii Ukraine wewe mla makande wa tandika ndo uje hapa kutoa ushuhuda wa Russia kuombea ianguke kweli?

Maombi mengine nikumjaribu tu Mungu kwakweli, kama unaamini katika Mungu na unaamini kila kitu kinachofanyika hapa duniani ni mipango ya Mungu, basi jua kuwa hizo nguvu na uwezo alio nao Russia ni mipango ya Mungu juu ya kupambana na mashetani yanayoshadadia Ushoga na usaganaji na kutaka kuitawala dunia ya Mungu ili kukamilisha uchafu wao.

Russia is strong and powerful because of God na siyo wewe mlala puu wa tandaimba.
 
Russia vita ilipoanza walisema wameharibu drones za Ukraine. Baadae kidogo tukaona Moskva inazama, Snake island inashambuliwa, artillery positions zinapigwa na hizo Bayraktars. Bayraktar zimeharibu soko la Pantsir tangu Libya, Syria na Nagorno Karabhak hapa Ukraine zilitakiwa zizuiliwe kirahisi tangu mwanzo. Warusi wamekutana nazo siku nyingi
na jana azerbaijan na brazil wameshaagiza pantsir na ka 52 chopa

west silaha zao zinakwenda kupoteza soko mpaka pm wa uwingereza kaenda kumpigia goti saudia isisitishe kununua silaha kutoka british ujeruman imestuka kuipa ukraine silaha kwa kuhofia kupoteza soko
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    58.1 KB · Views: 29
Sijui mambo ya currency... Nahitaji kueleweshwa kuhusu hii post[emoji116]

The dollar and euro exchange rates during trading on the Moscow Exchange are growing by more than 5%, exceeding 60 rubles and 62 rubles, respectively.

@rt_russian

Comments za warusi

[emoji419]The Central Bank is buying up to say tomorrow: "You see: you can't lower the rate much - the dollar is growing again!" How Putin does not see these primitive wiring - I refuse to understand

[emoji419]The more the dollar costs, the more expensive the grub. And the ruble depreciates. The task of the bank is to strengthen its currency and not the enemy

[emoji419]Sell products abroad how can you ? if they now become 2 times more expensive than European ones? Or did you get 100 rubles from the sale of the net, now it's 50 rubles? and the salary must be paid in rubles. The government is less profitable

Warusi wa jf tueleweshane, mbona warusi original wanalalamika Sana?
 
Four weeks ago, Germany agreed to send dozens of anti-aircraft tanks to help defend Ukraine from Russia's invasion, part of what it called a turning-point after decades of military restraint. Berlin says it can deliver the first Gepard tanks in July.

Mpaka July . Akufukuzae hakuambii toka

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nisingepeleka.
Nchi imetumia mapesa mengi kutengeneza hizo MANIPAD halafu zikapigwe na Russia. Hapo hapo stock yetu ni ndogo. Huyo Ukraine hana analolijua ktk ku operate MANIPADS zikipigwa soko sina.
Kama nchi nitalazimika kutafuta siraha nyingine kwa haraka...hapo ni kutenga bajeti ambayo haikuwepo kwa ajili ya RD jeshini au niende kununua kwa Russia...oops no USA ambaye naye hatumi siraha zake direct kwa kuogopa kushushwa soko na Mrusi.

So unapostpone to July, then to October unasema bado federation inapitia mchakato...then unasema tutatuma kabla ya Xmass then imeiiisha hiyo
 
Mara ya mwisho aircraft carrier ya Urusi ilipopita Mediterranean ilisindikizwa na tug boats maana power systems haziaminiki. Uingereza ilibidi wakae chonjo isije tokea ajari kama Kursk submarine ilivyozama na crew nzima ikafa kwa ego ya Russia na kukwepa kusaidiwa kufanya uokoaji.
Kwa sasa wako wanaifanyia ukarabati ila sidhani kama utawahi kumalizika. Russia doctrine zao hawahitaji sana carriers
Walikataa kuokoa kwa sababu wasingependa secret yao itoke nje
 
Comment zako nachekaga sana.
Ndo Ivo ndugu yangu,
Hebu fikiria Urusi ikiamua kupiga satellite zote za west,watawasilana kweli,aaaaah wapi.

Urusi akipitisha ndege zake juu ya meli za NATO anaifanya meli iwe kopo tupu,
Wewe uliwahi kuwaza Urusi anaweza kuchoma namaana kuunguza silaha za wenzie.
Kwa maana nyingine anaweza kuwarudisha enzi za kupeleka barua kwa kutuma mtu apeleke.
Sio Tena e mail.
 
cha ajabu vita ilipoanza alilalamika kwa urusi kuwa amempatia irak miwani ya kuona usiku
Jamaa anapenda sana vita nyepesi,Ingekua ndio yeye anapigana na Ukraine na Urusi na china wakimpa silaha Ukraine tayari USA angeshapiga nyukilia.
Naifahamu hiyo habari.
Askari wa USA usiku walikua wakivaa miwani za kuona usiku,
Iraq nao wakavaa zikaanza kupigwa USA wakagundua kua Iraq nao wanazo,USA ikailaumu Urusi kuwa imewapa Iraq miwani za kuona usiku.
Aise hapa ndio nikaidharau USA .
Ni kama vile Brazil icheze na Taifa Staz,halafu mvua inyeshe,Brazil wavae viatu vya mvua,German nayo iipe Taifa Staz viatu vya Mvua,halafu Brazit iilaumu German kwa Nini imeipa Taifa Staz viatu vyavua.sasa supa pawa Gani analalamikia n hi ndogo kupewa misaada kidogo ?
 
Mbona unakomaa sana na haya mambo .haaaa sawa Putin ameshinda na USA wamebaki mashetani so kwani kuna aliyehama dunia akaenda kuishi paradise wote tuko hapahapa tunavuta pumzi ya bure hayo mengine ni ujinga tu
Pole...!
Mbona umeandika kinyonge hivyo...
Hatujawazoe pro ushoga kuwa hivyo
 
Ukitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....


Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!

Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.

View attachment 2238180
Bomber Tu 160 ina supersonic speed of 2,220
Samart inatumia dk 17 kutoka Russia to Nyu yok.
Dk 3 to London. Etc
Why ahitaji aircraft carrier??
 
na jana azerbaijan na brazil wameshaagiza pantsir na ka 52 chopa

west silaha zao zinakwenda kupoteza soko mpaka pm wa uwingereza kaenda kumpigia goti saudia isisitishe kununua silaha kutoka british ujeruman imestuka kuipa ukraine silaha kwa kuhofia kupoteza soko
Wanaogopa zikienda Ukraine zinachomwa,ata ungekua wewe ungefanyaje!?
 
Russia hahitaji aircraft carrier yupo mbali yeye ni guided hypasonic . Hiyo carrier utaitumia kwa Somalia kwa Russia itaangamizwa na ndege zilizo juu yake kwa kutumia hypasonic. Carrier kwa dunia ya leo ni hatari.

Russia ana makombora ya nuke zaidi ya 6000 wakati Nato yote hayafiki 2500 hapa ndipo utofauti na ubabe wa Russia ulipo. Kumbuka Russia ndio mwenye Uranium nyingi zaidi duniani

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kina kitu zinaitaa Aircraft carrier killers,Kuna bastion system hii ni kiboko ya vitu vyote vipitavyo baharini.
Kuna na Kuna underwater drone.
Hizi ni sumu za aircraftcarriers
 
Na hiyo ilikuwa ni moja ya zinoitwa "Hitler's military blunders" ambapo mojawapo ilikuwa ni hiyo ya kujaribu uwezo wa Red Army.

Ilikuwa ikiitwa kampeni ya "Eastern Front" katika operesheni ambayo ilibatizwa jina la Barbarossa ilokuwa ni ya kujaribu kuwakoa watu wa Mussolini.

Majeshi ya Hitler yalifika mpaka Leningrad lakini hawakuweza kuudhibiti huo mji kiujumla.

Kumbe Red Army walikuwa wanawasubiri na kichapo kwa wanazi wa Hitler ndipo kilianzia hapo.

Kisha historia yasema mwaka 1942 Hitler aliamuru majeshi ya Ujerumani yavamie visima vya mafuta ya Urusi katika eneo la Caucasus kwenye mji wa Stalingrad. Kichapo walopewa wajerumani hawakukisahau maana vita hiyo ilibaitzwa jina la "battle of Stalingrad".

Mambo yote tuyaonayo leo ni historia kujirudiarudia.
Walichapwa haswa na wengi was wajerumani walikufa kwa njaa na baridi kali maana hakukuwa na namna yoyote ile suply kuwafikia!
 
Back
Top Bottom