Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In the UK, billionaire Pyotr Aven, who, according to media reports, is accused of violating sanctions, was searched.

According to Bloomberg, citing sources familiar with the situation, £30,000 in cash (about 2.2 million rubles) was confiscated from a businessman living in London.

Aven himself did not give any comments. There is no official information yet.

In addition to the UK, sanctions against the businessman were introduced by the EU and Canada.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Kwa huo upinzani na hasara anazopata hapo Ukraine, hizo nguvu za kuanzisha Vita nyingine atazipata wapi ?
Upinzani gani anaopata . Mbona anazidi kumega nchi halafu kaanza kugawa na stipend kwa wananchi wa Ukraine na kuwapa Russia passport.
Wanajeshi walioaminika NAZis wote wamedakwa wenye training ya NATO for 8 years.
 
Kremlin yakiri kupoteza vifaru 700 tangu waanze uvamizi wao nchini ukraine miezi 3 iliopita
huku ukraine ikionyesha zaidi ya vifaru 1000 vimeteketezwa na jeshi lao
 

Attachments

  • 7C744640-6066-46D2-A4CF-87F5F7A54FAB.jpeg
    7C744640-6066-46D2-A4CF-87F5F7A54FAB.jpeg
    55.1 KB · Views: 33
  • C4761723-72A8-4340-A283-BB9B3A982E39.jpeg
    C4761723-72A8-4340-A283-BB9B3A982E39.jpeg
    49.9 KB · Views: 33
Kafungwa bado anaonesha upumbavu wake. Bila shaka hilo jinga lingeruhusu adui akae mlangoni mwake, bila shaka lingeweka usalama wa Russia rehan fala sana acha liendelee kukaa hukohuko
Bila shaka hawa ndio Walee vibaraka Wa western na us. Russia ya sasa tofauti na yamiaka ilee walio fanikiwa kuisambaratisha ,kumbuka huyu alipewa promo na mashirika ya habari ya ulaya kipindi kilee ili kichafua Russia na rais Putin.
 
The main thing from the statement of the Russian Ministry of Defense on the humanitarian situation in Ukraine:

- Ukrainian armed formations placed armored vehicles and artillery in the clinic of Kramatorsk (DPR);

- in Lisichansk (LPR) there is a unit of the Armed Forces of Ukraine in the hospital, and on the adjacent territory - armored vehicles and artillery firing positions;

- in Slavyansk (DPR), on the territory of medical institutions, Ukrainian militants equipped firing positions, placed artillery and MLRS;

- in Odessa, in the building of the oncological dispensary of the Armed Forces of Ukraine, a strong point was equipped. All patients, including those seriously ill, were expelled;

- The International Committee of the Red Cross, under the pretext of the allegedly unstable situation in Donbass, stopped the supply of vital drugs. More than 12 thousand patients will be left without the necessary qualified assistance;

- over the past day, 18,927 people, including 2,058 children, were evacuated to the territory of the Russian Federation from dangerous areas of the Donetsk, Lugansk People's Republics and Ukraine;

- 70 foreign ships from 16 states remain blocked in six ports.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Ilikuwaje hiyo kiboko ya vitu vipitavyo baharini haikusaidia hii kitu kuzamishwa[emoji3][emoji116]

A guided missile cruiser carrying a crew of 510, the Moskva was the flagship of Russia’s Black Sea Fleet. It sank on April 14 after being struck by two Ukrainian Neptune anti-ship missiles,

View attachment 2238547
Uzembe TU wa mabaharia na kujiamini na kudhani hawawezi kushambuliwa huko mbali.
 
Russia amepata hasara kubwa sana Kwenye hii vita. Uchumi wake unaporomoka sana. Watu wengi wamepoteza ajira. Wanaona aibu tu kusema maana vyombo vyao vya habari vimeminywa
Sahihi kabsa ila wale vipofu waputin watakupinga
 
NATO hawawezi kuingia vita hii, hapa ni individual countries kutoa msaada kwa Ukraine ambayo inaruhusiwa kwa sheria za kimataifa za vita. Ila ukiingia mwenyewe pia hairuhusiwi ndiyo maana unaona hakuna taifa la Magharibi limetia mguu ndani ya Ukraine hadi wa leo.

Kuhusu NATO kuingilia vita kutandikana na Urusi - Soma hapa utapata majibu mwenyewe kwamba nini kitatokea.

Ubaya hua sifungui link samahani MKUU ila tu
NATO hawana sababu yakutokupeleka jeshi UKRAINE kwenda kumsaidia NDONDOCHA wao ukitoa woga
Walisaidia KUWAIT YUGOSLAVIA seuze ZELENSKY
NATO wanaonea wasiojiweza KOWAD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom