Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Marekani inasema kuwa Ukraine inachakazwa vibaya mno vitani huku ikiomba msaada wa silaha toka Marekani
"WANATUMIMINIA TU MVUA ZA MOTO WA MAKOMBORA NA MIZINGA JUU YETU", amesema mwanajeshi mmoja wa Ukraine aliyekimbia toka front line ktk pande ambazo majeshi ya Russia yanapeleka moto mkali huko.
Kwa kweli huyo mwanajeshi wa Ukraine kanifurahisha mnoo😆😆😆😆
Uzuri wa bahati karipotiwa na Marekani yenyewe "The Washington Post"
Ngoja niwasubiri waMarekani wa Nanjilinji waje kukana chombo chao pendwa cha habari.
Omusolopogasi na Glenn njooni mteseke tena hapa