Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Duuh!Tena kajaribu yenye speed 5 times ya sauti ilhali Russia anayo yenye 9 times speed ya sauti 😂
Kwa kweli ninawaonea huruma sana wa Ukraine kwa kupiganishwa na nchi ya Urusi kwa manufaa ya Jambazi USA .Marekani inasema kuwa Ukraine inachakazwa vibaya mno vitani huku ikiomba msaada wa silaha toka Marekani
"WANATUMIMINIA TU MVUA ZA MOTO WA MAKOMBORA NA MIZINGA JUU YETU", amesema mwanajeshi mmoja wa Ukraine aliyekimbia toka front line ktk pande ambazo majeshi ya Russia yanapeleka moto mkali huko.
Kwa kweli huyo mwanajeshi wa Ukraine kanifurahisha mnoo😆😆😆😆
Uzuri wa bahati karipotiwa na Marekani yenyewe "The Washington Post"
Ngoja niwasubiri waMarekani wa Nanjilinji waje kukana chombo chao pendwa cha habari.
Omusolopogasi na Glenn njooni mteseke tena hapa
View attachment 2244021
Ukubwa wa maslahi husika una tafsiriwa na nchi husika iliyo amuwa kuyapigania na sio ww mlala hoi kutoka koromije.Hayo maslahi yake ndiyo tunaya question kama yanaleta sense. Ndio maana tuna discuss hapa pamoja na kuwa Putin hana hata habari na jamiiforums!
Chawa mpaka jf.Sijawai ona uchambuzi wako wa maana humu ndani zaidi ni mshika pembe na mdandiaji
Uko sahihi mwamba, kwenye hoja nzito nzito ka misaada ya Condom ARV na Vyoo natoboaje sasa kwa mfano 😂.Mnashindwa na nguvu ya hoja mnajifariji tu kwa yasiyo na maana. Anatoa facts tu.
Tena Marekani na PolandHawa jamaa wanashida na west tu[emoji28][emoji28]
Upo sahihi kabisa mkuuJidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn
Jidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn
Kea sasa ni nadra kumuona Putin hadharaniJidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn
Kwahiyo mnaushabikia kwakuwa na Russia wapo!!?Pro Russia hawana hoja zingine zaidi ya ushoga,wakati hata google takwimu za mashoga Russia na Nchi za ukaya hamna tofauti.
Sawa mmarekani wa buza tinasubiri muda huo ufike🤔Jidanganye tu, Russia huko hali ni mbaya sn, Putin mda wowote anapinduliwa.
Watu wanaishi maisha magumu sn