Hakika hawaupendi ukweli na inaoenekana hajui ila analazimisha kujua asichokijua.
Power ya Queen hapo UK ni kubwa, Boris ni kiongozi tu wa serikali like Prime Minister wengine kwenye nchi zingine.
Kwa mfano, nchi yetu hii Tanzania kwa mujibu wa katiba Rais ni mkuu wa nchi, Pia Raisi ni mkuu wa Serikali. Akiwa kama mkuu wa nchi ana Power over mihimili mingine ila akiwa kama Mkuu wa serikali anakosa Power juu ya mihimili mingine. That's ni kama kusema kavaa kofia mbili Moja Gold nyingine Silver.
Hapo UK, Queen Elizabeth ndio mkuu wa nchi, ndio Commander in Chief wa jeshi la UK kiasi kwamba kujiunga na jeshi yabidi uchukue kiapo cha utiifu kwake, Queen ndani ya UK ndio pekee mwenye mamlaka ya ku-declare war ingawa hilo huizinishwa na bunge, waziri mkuu na the rest of the Government.
Haishii hapo huyo huyo Queen ana mamlaka juu ya bunge 'legistlative organ', ndio anayelifungua na anaweza kudismiss member yoyote ndani ya bunge ukafanyika uchaguzi. Kumbuka ni hili bunge linalompitisha waziri mkuu.
Hayo ni machache miongoni mwa mamlaka ya malkia hapo UK.
Tena kuuelewa mfumo wao ni rahisi sana kwani hapa TZ, waliiga mfumo wa utawala kutoka kwa wakoloni hao. Isipokuwa kilichopishana tu ile Kiongozi wa Nchi kua kiongozi wa serikali.
Boris uwezo wa kuvunja bunge hana... Na akitaka kufanya hivyo mpaka akaombe kibali kwa malkia af eti mtu anakwambia Mamlaka yote kwa Boris my foot 😂😂😂
Ukifupisha inakuwa hivi kwa msaada wa picha, Angalia sehem alipo PM, kisha unaambiwa ye ndio kila kitu 😂, dunia inafurahisha sana hii!
View attachment 2244287
Tofauti ya hiyo Structure na sisi hapa TZ ni kua Raisi amekaimu nafasi mbili, hapo Juu top kabisa kama Raisi, kisha chini hapo kati kwenye executive kama Kiongozi mkuu wa serikali akisaidiana na Waziri mkuu. Na tofauti nyingine kutoka hapo ni kua Kiongozi wa nchi ni non-political yote kwasababu ni monarchy!
Sasa angalia nchi kama yetu inayoitwa ya demokrasia namna kiongozi mmoja anavyokua na madaraka makubwa kupita maelezo ilhal China na Russia (nawah kuzitaja hizi 2 kwasababu ndio zinanyooshewa kidole). Raisi ni Kiongozi wa nchi. Ila shughuli za serikali waziri mkuu ndio anayo mamlaka yote.
Sasa kama mifumo ya utawala hatuifaham hayo mengine tutaweza? Tunashindwa kulaani mifumo mibovu tuliyonayo hapa hapa TZ ya huko nje tutaiweza? Au ni viherehere tu baada ya kushiba ugali tembele.
Na elim yetu ilivyo mbovu, leo hii ukienda hapo UDSM, mwaka wa kwanza utamwonea chukua hata last year kama 20 hivi waulize kila mmoja kuhusu top Official hapo chuoni na mamlaka yao watakaokujibu kwa usahi hata watatu na mashaka kama watafika.
Most watakujib jibu la kishamba kama la huyo jamaa... Watakwambia JK kama Chancelor ni Ceremonial tu hana lingine lolote pale 😆, yeye kazi yake ni kugawa vyeti tu shenzi kabisa!
Comparing Chancellor na Vice wake ni kama unavyolinganisha Chairman and CEO of Company... The one who hold power over CEO ni Chairman ambaye CEO analazimika kureport kwake! Thou Chairman hatojishughulisha na shughul za kila siku ndani ya kampuni.
Out of topic, pale the same CEO anapokua Chairman kunapoteza accountability... Kama ilivyo mfumo wetu wa serikali. Cuz top anakosa wa kumuwajibisha matendo yake pale anapoenda kombo!