Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia hata hawajali afu, angekua na shida na pesa za Ulaya angekua aliacha hiyo operation muda sana. Wale jamaa wana akili sana hawakukurupuki wana mipango madhubuti. Ndomana wanaoshindwa comply na ruble anawakatia habembelezi.

Ukishakua rich kwenye natural resources na kwa taifa linalojielewa kama Russia huna stress, kwanza jamaa alikua anawapa kwa mkopo fwala sana[emoji28][emoji28].

Hivi mnaichukulia Russia kama zambia hivi.
View attachment 2248092
1.Dhahiri wewe mweupe sana wa kanuni za uchumi.
2.Greece hanunui mafuta ya Urusi, bandari ya Greece inatumika kufaulisha mafuta meli kwa meli -kiwango cha biashara imekadiriwa siyo zaidi ya barrels milioni 2 kwa mwezi mzima.
 
Secretary of State Antony Blinken and NATO Secretary-General Jens Stoltenberg

The war in Ukraine is likely to end at the negotiating table, but Ukrainians must be able to defend themselves to strengthen their position at peace talks, top NATO and US officials have said.
The situation on the battlefield will affect how future negotiations will unfold.
 
Chanzo cha habari ni RT...huenda na hii habari ni propaganda za Mzee Putin.
RT.Com kama una mashaka na habari Yao, wamekupa uhuru wa Question more (uliza zaidi usichielewa ama unachokitilia mashaka). Kwa Kila habari wanaweka sehemu ya kuuliza maswali yako. Lakini kwenye vyombo vya Magharibi, kupewa Nafasi ya kuuliza ukweli juu ya habari yako ni vugumu. Na wanafanya uhuni mwingine wa kukupiga "shadow ban" endapo utawauliza maswali magumu. Shadow ban, ni kitendo cha post zako kwenye mtandao kuziona wewe tu wengine hawazioni. Unajikunja kuandika na kupost kumbe hakuna anaona unachopost mtandaoni.
 
KESHO NI KESHO
🤝On June 3,Putin will hold talks with the head of the African Union,President of Senegal Macky Sall. The parties are expected to discuss issues of interaction, economic and humanitarian cooperation between Russia and African countries-the Kremlin.
 
KESHO NI KESHO
🤝On June 3,Putin will hold talks with the head of the African Union,President of Senegal Macky Sall. The parties are expected to discuss issues of interaction, economic and humanitarian cooperation between Russia and African countries-the Kremlin
 
KALIBR CRUISE MISSILES HAVE DESTROYED BESKYDY RAIL TUNNEL - MAJOR NATO WEAPONS ROUTE!!​

WORLD HAL TURNER 02 JUNE 2022 HITS: 2601
KALIBR CRUISE MISSILES HAVE DESTROYED BESKYDY RAIL TUNNEL - MAJOR NATO WEAPONS ROUTE!!

Kalibr cruise missiles fired from a Russian naval vessel in the Black Sea, entered into - and flew deeply inside - the Beskydy Railway Tunnel near Lviv, Ukraine, and detonated, destroying the tunnel. It was a key rail route for NATO weapons being shipped into Ukraine.
The 1.8km long tunnel, travels beneath the Carpathian Mountains. It is the second longest (after Lutuginsky ). It is part of the Lviv railway .

A historic single-track tunnel was built in 1886 during the Austro-Hungarian period . In 2007, due to the emergency condition of the old tunnel, it was decided to build a new, double-track tunnel, which was laid 22 meters south of the old one and parallel to it.

The official opening of the new tunnel took place on May 24, 2018 with the participation of the President of Ukraine Petro Poroshenko; train traffic on it began on May 25.
For Ukraine, the new Beskydy Tunnel is of strategic importance, since this route transports goods towards the western border of the country, as well as more than 60% of transit cargo towards Western and Central Europe .
a5upkeYR0AgcZyeiFs005T1HHLvqMWqK5q4xVzzyfhQ.jpg

Its construction was a magnificent feat of engineering.
One month ago, on May 2, Ukraine strengthened the security of the Beskydy Tunnel, which provides railroad deliveries of weapons, equipment, fuels, and lubricants, from Central Europe to Ukraine. In Kyiv, they feared that Russia would strike at the facility to cut-off NATO weapon shipments.
“The goal is to try to disrupt the railway and stop the supply of fuel and weapons from our allies,” said Anton Gerashchenko, an adviser to the Ukraine's Interior Minister
Now, the tunnel has, in fact, been destroyed.
 
Hatari sana aiseee...
 
RT.Com kama una mashaka na habari Yao, wamekupa uhuru wa Question more (uliza zaidi usichielewa ama unachokitilia mashaka). Kwa Kila habari wanaweka sehemu ya kuuliza maswali yako. Lakini kwenye vyombo vya Magharibi, kupewa Nafasi ya kuuliza ukweli juu ya habari yako ni vugumu. Na wanafanya uhuni mwingine wa kukupiga "shadow ban" endapo utawauliza maswali magumu. Shadow ban, ni kitendo cha post zako kwenye mtandao kuziona wewe tu wengine hawazioni. Unajikunja kuandika na kupost kumbe hakuna anaona unachopost mtandaoni.
Western Media is fake news,kwa hiyo dawa ni kuachana nao tu,why all the bother.
 
Oh no! Kuna kitu hakipo sawa... This is US Marine official account huko Twitter. Kwa maelezo hayo inaonekana wamejazana wengi sana jeshini kiasi wanapewa heshima kwa "services" iliyotukuka he he he!

IMG_20220602_175544_569.jpg

⚫ May the Almighty bless Russia and all people over the world who stand with Russia to fight against Hegemony ya hawa Ngedere.

Inaboa hasa huu mwezi Twitter huko utafikiri wanaazimisha sherehe za Uhuru. Kila Ukiperuzi Tweets kadha wa kadha unapishana nao...😡
 
Oh no! Kuna kitu hakipo sawa... This is US Marine official account huko Twitter. Kwa maelezo hayo inaonekana wamejazana wengi sana jeshini kiasi wanapewa heshima kwa "services" iliyotukuka he he he!

View attachment 2248351

⚫ May the Almighty bless Russia and all people over the world who stand with Russia to fight against Hegemony ya hawa Ngedere.

Inaboa hasa huu mwezi Twitter huko utafikiri wanaazimisha sherehe za Uhuru. Kila Ukiperuzi Tweets kadha wa kadha unapishana nao...😡
Na mna moyo ninyi ambao bado mpo Tweeter,sijui kuonyesha nyuso,sijui unaonyesha ili iweje(Facebook),uchuro mtupu;sijui Instagram!Mimi baada ya kujua nia ovu iliyopo nyuma ya mitandao hiyo,nilijitoa kabisa.Nimebaki na JF,ambayo najua nayo nyuma ya pazia kuna nia ovu,lakini it's better off.
 
Back
Top Bottom