LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi hana nguvu hizo, sema Marekani na NATO wameamua kummaliza kwa njia za amani yaani kumwekea vikwazo mpk atakunya, ameshanza kulialia tayari na wakati hata siku 5 bado
 
Yule paka alipigwa bana. Umeangalia video zote? Kuna moja alitandikwa kofi nyingine buti halafu kuna moja nafikiri ndo unayoisemea ya kumsukuma kwa mguu.
Sasa wangekuja kuona fimbo wanazopigwa ng'ombe nadhani wangetuwekea vikwazo kabisa. Watu wanachapa watoto zao wakikosa sembuse Paka. wajinga wakubwa
 
Hivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Tuliza utundu ulio nyuma kwako
 
ha ha ha we jamaa unanifurahisha sana Mkuu, huna stress hata kidogo,muda wote wewe ni full burudani.
Stress itoke wapi? Pilipili usio ila yakuwashia nini? Wao wanatuita ss wageni wa dunia(alien) na hatupaswi kuendelea kuishi dunia kwanza hatujastarabika,hatuna Mungu, wakatili na wenye rangi chafu. This time watajua kuwa dunia hii inapande mbili na sio upande mmoja tu.
 
Ulaya haiwezi igeuka USA
 
Russia anasaidiwa na kanchi kadogo?

Ni aibu ya karne!

Russia vsUkrane $Nato,,,,We unafikiri nato wanapeleka tu silaha bila kuingiza wajeda kimya kimya unaambiwa hizo ndege wanazotuma waukraine hawawez kuzitumia na kuna uwezekano wa US kupeleka wale mgambo wa Syria huko, Biden kashawaambia wa marekani wasiogope kuhusu Nuclear…!Hii vita naomba iishe tu
 
Comments zako zinasadifu tabia na haiba yako. Wewe upo kwa sehemeji. Prove kwamba haupo kwa shemeji.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
njoo taifa tuchek game ya simba na biashara united utajua mimi ni wa namna gani
 
Anachafuka kwenye media na uchumi. Asipokuwa makini vita itageuka kati ya raia wake na yeye. Ila ni bora hivi kuliko kupigana kwa mabomu.
Sio mara ya kwanza anawekewa vikwazo 2008 russo-georgian war waliweka vikwazo akabana utokaji wa gesi kwenda ulaya kipindi cha barid. Wakanyooka
 
Yan hii vita watu wamewajua vizur US&Nato maana huko mitandaoni si waarab,waAfrica,wachina,wahindi,wairan nk wanavyowapiga spana simchezo kwa unafki wao,Yan ukiona muarab ambaye hapigi spana ujue yupo Kwenye NGO zao ila wote spana tu na Hii ya Ubaguzi walionesha kwa other races ndio imewaharibia kabisa hawa NAZI,Hata wale waAfrica waliokua wanakiherehere naona imewasuta
 
Sio mara ya kwanza anawekewa vikwazo 2008 russo-georgian war waliweka vikwazo akabana utokaji wa gesi kwenda ulaya kipindi cha barid. Wakanyooka
Ni kweli ila hivi vya safari hii ni vikubwa na kwa ukubwa wa nchi yake lazima vitamsumbua. Esp hilo la Swift na kutokutumia Dolla, Pound, Yen. Imagine international trade ya wafanyabiashara wake katika mazingira hayo huku ukiwa huruhusiwi kusafiri kutoka Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…