Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Urusi hana nguvu hizo, sema Marekani na NATO wameamua kummaliza kwa njia za amani yaani kumwekea vikwazo mpk atakunya, ameshanza kulialia tayari na wakati hata siku 5 bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wangekuja kuona fimbo wanazopigwa ng'ombe nadhani wangetuwekea vikwazo kabisa. Watu wanachapa watoto zao wakikosa sembuse Paka. wajinga wakubwaYule paka alipigwa bana. Umeangalia video zote? Kuna moja alitandikwa kofi nyingine buti halafu kuna moja nafikiri ndo unayoisemea ya kumsukuma kwa mguu.
Kabisa mkuu.Nimependa hii kuwapotezea tu
Tuliza utundu ulio nyuma kwakoHivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Umekosa hoja dada neemandio nnchi pekee duniani tunaojua kila jambo tunawatafiti humu nawapiganaji wavita wazuri kabisa nawaitaga #wachambuzihuru
Stress itoke wapi? Pilipili usio ila yakuwashia nini? Wao wanatuita ss wageni wa dunia(alien) na hatupaswi kuendelea kuishi dunia kwanza hatujastarabika,hatuna Mungu, wakatili na wenye rangi chafu. This time watajua kuwa dunia hii inapande mbili na sio upande mmoja tu.ha ha ha we jamaa unanifurahisha sana Mkuu, huna stress hata kidogo,muda wote wewe ni full burudani.
Anachafuka kwenye media na uchumi. Asipokuwa makini vita itageuka kati ya raia wake na yeye. Ila ni bora hivi kuliko kupigana kwa mabomu.Mimi narudia kusema putini wamemuweza upande wa media tuu
Ulaya haiwezi igeuka USAHakika umedadavua vyema sana mkuu, mbinu za USA ni kutengeneza kibaraka kwanza, ikumbukwe aliweza kuiharibu USSR, baadaye akaziingiza NATO nchi zilizokua members wa USSR, na sasa anataka kuhitimisha kwa Ukraine. Kwa watu wanaoona mbali hii ni hatari sana kwa ustawi wa Urusi.
Hivi Russia akitengeneza coalition na venezuela pamoja na cuba USA atakubali? Kwa hili Putin anaonewa. Na ipo siku hata nchi za ulaya zitageukwa na USA.
Liwalo na liweUrusi muda huu anashusha kichapo kwa UKRAINE.
Binafsi ningewaomba UKRAINE waweke silaha chini, nchi yao inakuwa uwanja vita. Itakuwa kama BOSNIA sasa.
Russia anasaidiwa na kanchi kadogo?
Ni aibu ya karne!
🚮🚮🚮🚮🚮🚮Comments zako zinasadifu tabia na haiba yako. Wewe upo kwa sehemeji. Prove kwamba haupo kwa shemeji.
Sio mara ya kwanza anawekewa vikwazo 2008 russo-georgian war waliweka vikwazo akabana utokaji wa gesi kwenda ulaya kipindi cha barid. WakanyookaAnachafuka kwenye media na uchumi. Asipokuwa makini vita itageuka kati ya raia wake na yeye. Ila ni bora hivi kuliko kupigana kwa mabomu.
Havikuwa vikali kama hivi vya sasa,usijifanye mbumbumbu.Sio mara ya kwanza anawekewa vikwazo 2008 russo-georgian war waliweka vikwazo akabana utokaji wa gesi kwenda ulaya kipindi cha barid. Wakanyooka
Ni kweli ila hivi vya safari hii ni vikubwa na kwa ukubwa wa nchi yake lazima vitamsumbua. Esp hilo la Swift na kutokutumia Dolla, Pound, Yen. Imagine international trade ya wafanyabiashara wake katika mazingira hayo huku ukiwa huruhusiwi kusafiri kutoka Russia.Sio mara ya kwanza anawekewa vikwazo 2008 russo-georgian war waliweka vikwazo akabana utokaji wa gesi kwenda ulaya kipindi cha barid. Wakanyooka
Sio kila mtu unayetofautiana mtizamo ni mbumbumbu kama weye shoga. Kenge weweHavikuwa vikali kama hivi vya sasa,usijifanye mbumbumbu.
Leo usije sema walisimama kupisha mazungumzoHadi kufikia jioni naamini dakika 90 za mpambano zitakuwa zimeisha na hazitaongezwa dakika 30 wala penalt hatuendi. Putin atamaliza mapema sana mchezo huu. Tit for tat=Vita ni Vita Mura