LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wajuvi mnisaidie

Kila vita inalengo. Na vita vya kushambulia kabisa kama hii lengo nilitegemea Lowe wazi kabisa.

Afghan alikuwa anasakwa gaidi Osama.
Iraq utawala Wa Sadam ulizingiziwa kuwa na silaha za kemikali.


Nimejaribu kufuatilia lengo jepesi na lililompa Uharaka Putin kuishambulia Ukraine sijaelewa Msaada wakuu.


Je Ni kuiangusha serikali? Imekosa nini?
Je Ni kuzuia mipango ya NATO Ukraine? Hawakuwa na njia mbadala?

He nikuongeza ardhi? Wanayokubwa sana?

Katika vita vya kisasa ambavyo huwezi kujua adui anauwezo gani tena kwenye support ya dunia kama Ukraine, Nini lengo kificho LA urusi kutuletea shida hii?
 
Yap itamsumbua ila kumbuka kuwa kuna Europe na wenyewe wataumia sana. Kumbuka karibia 40% ya gesi ya urusi inauzwa ulaya. Na kuna nchi kama poland inategemea karibia 80% ya gesi itoke ulaya. Ukifungia swift kwa nchi kama hizo inamaana poland watakosa alternative ya kulipia kitakachopelekea mrus afunge mabomba yake. Tukutane winter
 
Wanapigwa ''spana" ya maneno matupu au kwa vitendo hao NATO,naomba msaada wa ufafanuzi hapa Mkuu.
 
Sahihi. Sasa kitakachotokea ni asiyekuwa na Alternative ndiye atakaye umia. Ila, nivizuri wakielewana.
 
Hivi hizo button za nini hapo Kwenye meza hahah
 
Untested zote hizo. Sina imani na slaha za Russia Tena. Maana kama drone za Turkey zimewashinda Russia huko Ukiraine. Siamini tena

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 

 
Hao watu wa Ulaya na NATO waziingize kwenye umoja huo wa NATO hizo Ukraine na Georgia kama kweli wapo serious kuitisha Russia. Russia anaogopa adui wa ndani ya nchi yake haogopi adui kutoka nje...
Hapo mwisho umeandika " Dawa ya NATO inachemka". Yaani umezungumza Kimamlaka kabisa. Hakika JF kiboko yaani hadi Russia Defense Minister yumo humu
 
Lengo kubwa ni sababu za kiusalama kwa Russia,
lkn pia ikumbukwe kuwa hawa jamaa hawajakurupuka tu na kuanza kushamburia au kuingia kijeshi Russia ni moja kati ya nchi kubwa na zilizo endelea kitechnology hivyo wameweza kutambua mipango kabla haijatekelezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…