Yaani hili ni jibu tosha kwa West na kikaragosi wao Zelensky, Putin hajaomba kuhutubia Tu,AU tumemfuata Moscow.Kwa kuongeza Zelensky alilia Sana kuhutubia mabunge ya Africa lakini hakukubaliwa lakini mwenyekiti wa AU kamfuata Putin mwenyewe nyumbani kwake.
Onyesha source yako Ni ipi ambayo Russia ilisema Vita itachukua siku 3.Ukishindwa kuonyesha hio source then toka hapo nje angalia juu na ujipige pige kifua Mara 3 huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
Kwa akili yako ndogo kama kijiko,ulitegemea akubali kwamba anaenda kuivamia Ukraine? A smart general do not allow his opponent to know her next move,so did Putin.CIA walisema mapema February, Urusi ataivamia Ukraine, Putin alipinga kwamba ana mpango huo siku chache kabla ya kuivamia.
Watu wenye akili hawamsikilizu wala hawamuamini Putin, wanakusanya "intelligence".
Usifikiri ule msafara wa Km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa kucheza ngoma.
Hello pro Russians,hii 'monroe doctrine' ndio nini?View attachment 2251044
🇨🇳🇷🇺#Chinese Ambassador to #Russia #Zhang Hanhui:
We must put an end once and for all to the hegemony of the #UnitedStates , with its eternal desire to interfere in the affairs of sovereign states
#China will hold a summit for working against the objectives of the Monroe doctrine⚔️
Alafu tunaitika Urraaaah Rossiya 🇷🇺🇷🇺💪Nawasalimu kwa jina la RUSSIA.
The Monroe DoctrineHello pro Russians,hii 'monroe doctrine' ndio nini?
Kwa akili yako ndogo kama kijiko,ulitegemea akubali kwamba anaenda kuivamia Ukraine? A smart general do not allow his opponent to know her next move,so did Putin.
Kwa akili yako ndogo kama kijiko,ulitegemea akubali kwamba anaenda kuivamia Ukraine? A smart general do not allow his opponent to know her next move,so did Putin.
CIA walisema mapema February, Urusi ataivamia Ukraine, Putin alipinga kwamba ana mpango huo siku chache kabla ya kuivamia.
Watu wenye akili hawamsikilizu wala hawamuamini Putin, wanakusanya "intelligence".
Usifikiri ule msafara wa Km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa kucheza ngoma.
Nyinyi ndio mnasema kwamba alisema atakamikisha hii op within 3 days,ndio Sisi tunautaka huo ushahidi.Ndio maana hilo swali la wapi alisema anataka operation yake aikamilishe kwa siku tatu au wiki ni la kipuuzi pia.
Putin sio mtu wa kuaminika, CIA ndio inayoupa ulimwengu ukweli wa yanayosemwa na kuzungumzwa nyuma ya kuta za Kremlin.
Nyinyi ndio mnasema kwamba alisema atakamikisha hii op within 3 days,ndio Sisi tunautaka huo ushahidi.
West ndio waongo na wasiowakuaminika,kwa sababu walikubaliana kwenye mkataba wa "Minsk' wakaukiuka,sasa unalalzimisha Putin awaamini kivipi? Putin is right,let him achieve his op in Ukraine.
Heheee hizo ndio Proo NATONikajua una akili kumbe ni empty head with full of nonsense. Sijawahi na sitarajii kuwa mtumwa wala mfia dini.
Kwahiyo kama wewe ni mfia dini kiasi cha kuhusanisha hii operation na mambo ya dini basi itoshe tu kusema wewe katika hili ni mjinga pro max na sina haja ya kuendeleza mjadala ya akili mgando kama zako.
Note: ilitakiwa ujibu kwa ufupi tu, sahihi au siyo sahihi. Sikuyahitaj maelezo yako maana nilijua tu yatakuwa ugoro.
Mikwara tu hiyo...anafahamu vyema kuwa HIMARS zitakuwa 'game changer'.Putin warns Ukraine against long-range missiles
If this happens, Russia will strike targets so far left intact, the president has warned
FILE PHOTO. A US-made HIMARS (High Mobility Advanced Rocket System). © Getty Images / Dondi Tawatao
Russia will hit targets it has so far not struck if long-range missiles are delivered to Ukraine, Russian President Vladimir Putin has warned.
“If they are supplied, we will draw the appropriate conclusions and use our weapons, which we have enough of, in order to strike at those objects that we have not yet struck,” Putin told Russia 1 in an interview broadcasted on Sunday.
The Russian president noted that the shipment of US-made multiple-launch rocket systems confirmed by President Joe Biden on Tuesday is unlikely to bring anything new to Kiev’s forces. The Ukrainian military already has Soviet- and Russian-designed Grad, Smerch, and Uragan systems of the same kind, he explained.
RT.com
====
Kwa hiyo na hii CIA wanasemaje?
Haina tabu mdau, wacha tungojee hili vugu vugu lipungue kuepuka mijadala kukaa ki'team team... Team kulia team kushoto.Naungana na wewe mkuu ukiwa tayari nijuze tutakuwa pamoja 🙏🙏