Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220605_095613_722.jpg

China controls nearly 90% of the world's supply of rare earth minerals.

Without this resource, the US will not be able to produce weapons, writes Fox News.

If China “cuts off” the US from these supplies, then “aircraft will stop flying, tanks will stop, and the US military may have communication problems,” the publication points out.

The US Department of Defense stocks of these resources would be enough for less than a year, Senator Tom Cotton explained.

In the United States itself, the production and extraction of these materials is severely limited due to stringent environmental regulations.

"Given the growing tensions with China over Taiwan and Ukraine, Beijing's monopoly on rare earth minerals is a worrying national security issue."
 
Haina tabu mdau...

Halafu sio kwamba najishughulisha na hizo mambo huko telegram, ila ikibidi tunaweza fungua ima group au channel then tukawa tunafanya 'brain storming' za hapa na pale huku kujuzana kuhusu hizo issue iwe ni sehem ya mazungumzo tu!

Au wasemaje [emoji848]
Naungana na wewe mkuu ukiwa tayari nijuze tutakuwa pamoja 🙏🙏
 
Kuna kete hapa naiona RUSSIA kaikamatia hem acha tuone kama atakuja kufanya kama nnavyowaza mie
Ila akifanya kama nnavyowaza basi mawili US inabidi aingie mzigoni na RUSSIA ama akubali kua RUSSIA kamzidi ujanja tena hamuwezi !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee kinachowashinda west kuamua kuiacha Ukraine ni wanaona aibu kuwa wamezidiwa na urusi lakini ukweli jamaa wanatamani kutoka kwenye huo mgogoro hata leo
 
Mrusi hataki tu kutangaza kua ni vita eti operation,mbona alisema itachukua muda wa siku 3 Sasa miezi mitatu plus,mbona alikua anaelekea kuteka Kiev akarud nyuma,au operation yao ni kupindua serikali ya Ukraine?Mimi nakwambia muda ndio utakaoongea tutaonda mwisho wa Russia kwenye haya mapambano
Ni wapi alibainisha kuwa ni siku3 tu? Pia tambua Kiev alienda kudhoofisha vyanzo vya support za Silaha za Ukraine na alifanikiwa na Kisha akatoka. Vita ni plan, wewe usitake kujua mipango yetu Wana-Russia.

Ili kushinda vita ni mhimu kuharibu miundombinu ya siraha za adui. Kama vile Viwanda, bases na mifumo mingine kadri itakavyo gundurika
 
Mrusi hataki tu kutangaza kua ni vita eti operation,mbona alisema itachukua muda wa siku 3 Sasa miezi mitatu plus,mbona alikua anaelekea kuteka Kiev akarud nyuma,au operation yao ni kupindua serikali ya Ukraine?Mimi nakwambia muda ndio utakaoongea tutaonda mwisho wa Russia kwenye haya mapambano
Lete ushahidi aliposema atafanya operation siku 3! Mrusi shida take ni kuikomboa Donbas,kitu ambacho katimiza 96% na kuwakomboa warusi wa maeneo hayo, vita lazima iendane na maslahi ya uchumi,Hilo kafanikisha,sasa hivi ameteka bandari,eneo lenye rutuba, chanzo cha kuzalisha umeme Ukraine yote na sasa hivi anaulipia,90% ya viwanda,na Jana Tu,meli ya Urusi imepakia shehena ya chuma kuelekea Moscow. Kiev ni ya nini? Jana Urusi imetangaza mikakati yake Kwenye hii vita. Kuongezea Tu,Sarafu yake imepanda Sana, huku Dollar ya US ikianza kususiwa taratibu,mfano Jana mgombea mmoja Brazil amesema akishinda uchaguzi ataanzisha Sarafu kwa nchi za America kusini,lndia,China na Urusi wanafanya biashara kwa Sarafu zao. Mpaka hapo ww unataka utobolewe hayo macho yako na ubongo ndio uone hii vita Urusi hajapata mafanikio sio ndani ya Urusi Tu,Hadi international kafanikiwa,mbolea,ngano sina muda wa kuelekea,unajua vizuri sana.
 
Hakuna Warusi wanoishi Donbas, raia wote wanaoishi Donbas ni Wa-Ukraine.
Lete ushahidi aliposema atafanya operation siku 3! Mrusi shida take ni kuikomboa Donbas,kitu ambacho katimiza 96% na kuwakomboa warusi wa maeneo hayo, vita lazima iendane na maslahi ya uchumi,Hilo kafanikisha,sasa hivi ameteka bandari,eneo lenye rutuba, chanzo cha kuzalisha umeme Ukraine yote na sasa hivi anaulipia,90% ya viwanda,na Jana Tu,meli ya Urusi imepakia shehena ya chuma kuelekea Moscow. Kiev ni ya nini? Jana Urusi imetangaza mikakati yake Kwenye hii vita. Kuongezea Tu,Sarafu yake imepanda Sana, huku Dollar ya US ikianza kususiwa taratibu,mfano Jana mgombea mmoja Brazil amesema akishinda uchaguzi ataanzisha Sarafu kwa nchi za America kusini,lndia,China na Urusi wanafanya biashara kwa Sarafu zao. Mpaka hapo ww unataka utobolewe hayo macho yako na ubongo ndio uone hii vita Urusi hajapata mafanikio sio ndani ya Urusi Tu,Hadi international kafanikiwa,mbolea,ngano sina muda wa kuelekea,unajua vizuri sana.
 
Lete ushahidi aliposema atafanya operation siku 3! Mrusi shida take ni kuikomboa Donbas,kitu ambacho katimiza 96% na kuwakomboa warusi wa maeneo hayo, vita lazima iendane na maslahi ya uchumi,Hilo kafanikisha,sasa hivi ameteka bandari,eneo lenye rutuba, chanzo cha kuzalisha umeme Ukraine yote na sasa hivi anaulipia,90% ya viwanda,na Jana Tu,meli ya Urusi imepakia shehena ya chuma kuelekea Moscow. Kiev ni ya nini? Jana Urusi imetangaza mikakati yake Kwenye hii vita. Kuongezea Tu,Sarafu yake imepanda Sana, huku Dollar ya US ikianza kususiwa taratibu,mfano Jana mgombea mmoja Brazil amesema akishinda uchaguzi ataanzisha Sarafu kwa nchi za America kusini,lndia,China na Urusi wanafanya biashara kwa Sarafu zao. Mpaka hapo ww unataka utobolewe hayo macho yako na ubongo ndio uone hii vita Urusi hajapata mafanikio sio ndani ya Urusi Tu,Hadi international kafanikiwa,mbolea,ngano sina muda wa kuelekea,unajua vizuri sana.
 
Kuna kete hapa naiona RUSSIA kaikamatia hem acha tuone kama atakuja kufanya kama nnavyowaza mie
Ila akifanya kama nnavyowaza basi mawili US inabidi aingie mzigoni na RUSSIA ama akubali kua RUSSIA kamzidi ujanja tena hamuwezi !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee kinachowashinda west kuamua kuiacha Ukraine ni wanaona aibu kuwa wamezidiwa na urusi lakini ukweli jamaa wanatamani kutoka kwenye huo mgogoro hata leo
 
Oh boy!! Here we go again!! I wake up first thing this morning I flip on the news to see how much Ukraine is getting trashed and here we have! it again, Ukraine is hiding in the basement sellers again like a bunch of pussies!, why is it that every time they start losing they try to hide in basement Sellers and hang on in and claim that they were still fighting when, they're sitting there when their pussy ass is in the sellers, what's up with that??
The truth of the matter is the Ukrainian fighters who are at the frontline trenches, have lost morale to fight the Russians who are fighting more professionally. Many of them knows that they are fighting a loosing war and infact, some would choose to surrender.The problem is a Comedian President who seem to be manipulated by American and Britain who are harvesting millions of dollars on selling arms along with EU apparatus. Mariupol scenario is about to repeat itself in the coming days. Let's wait and see.
 
Mrusi hataki tu kutangaza kua ni vita eti operation,mbona alisema itachukua muda wa siku 3 Sasa miezi mitatu plus,mbona alikua anaelekea kuteka Kiev akarud nyuma,au operation yao ni kupindua serikali ya Ukraine?Mimi nakwambia muda ndio utakaoongea tutaonda mwisho wa Russia kwenye haya mapambano
Aseeee. .... Huu ujinga mnasomea wapi nasisi tukajifunze huu ubobezi wenu katika ujinga. Yaani hii ndio kama Ile vita na Finland ,Urusi akachukua 9% ya eneo la Finland na MNASEMA alishindwa vita .. yaani nakuvamia nachukua eneo lako na hauna la kunifanya na dunia nzima Haina wa kunifanya kitu halafu naambiwa nimeshimdwa katika vitabu vyenu vya historia NYIE NI WEHU ....kumbuka UKRAINE ndio nchi ya pili Kwa ukubwa wa eneo Kwa nchi za ulaya ya kwanza Urusi... Rais wao akiri kuwa 20% ya eneo imechukuliwa na Urusi halafu wewe MyUkraine wa Mbarika Misungwi Hapo unashindia ndulu na michembe unakomaza shingo mrusi kashindwa ....
 
View attachment 2250899

⚡The only chance for Ukraine lies in surrender to the Russians.

General Twitty, former Deputy Commander of US European Command, shared his perspective on the situation in an interview with Military Watch:

"Ukrainians are doomed in this battle, the only way to stop the collapse of Ukraine is to accept Russia's conditions as soon as possible, to capitulate to them. The Ukrainians do not have enough combat power to resist, they are not motivated enough and shamelessly inferior to the Russians in aviation and technology. No help from the West will fix this is"
Wapo Wayukraine wa Litumbandyosi Mbinga huko.... Hawataki kusikia haya ....
 
Umeambiwa ushahidi wa kwamba Russia iliahidi kufanya operation siku3 tu Ukraine. Wewe unaweka link ya reserve za pesa za kigeni.
 
IMG_20220605_113307_250.jpg

⚔️⚔️⚔️Putin: the supply of American MLRS to Ukraine in fact does not change anything.
Kiev has had missiles of this range before. Now they are just making up for the losses.
The fuss over additional arms supplies to Ukraine has only one goal — to prolong the armed conflict as far as possible, Putin said in an interview on the Rossiya 1 channel⚔️⚔️⚔️
 
If the West begins to supply longer-range missiles to Kyiv, the Russian Federation will draw conclusions and strike at those objects that have not yet fallen under them, Vladimir Putin said in an interview with Pavel Zarubin on Rossiya 1.

Other statements by the President of the Russian Federation:

▪️Fuss over additional deliveries of weapons to Kyiv has only one goal - "to drag out the armed conflict as far as possible";

▪️The supply of American MLRS to Ukraine, in fact, does not change anything: Kyiv had missiles of this range before, and they simply make up for losses;

▪️the combat strength of the Ukrainian army at the time of the start of the special operation included about 515 MLRS, 380 were destroyed, but some were restored, taken from stocks;

▪️Ukrainian reconnaissance drones that have been flying there since the very beginning of the special operation, all of foreign production;
 
View attachment 2251000

⚔️⚔️⚔️Putin: the supply of American MLRS to Ukraine in fact does not change anything.
Kiev has had missiles of this range before. Now they are just making up for the losses.
The fuss over additional arms supplies to Ukraine has only one goal — to prolong the armed conflict as far as possible, Putin said in an interview on the Rossiya 1 channel⚔️⚔️⚔️
😁😁😁😁, Does not change anything!
 
Mrusi hataki tu kutangaza kua ni vita eti operation,mbona alisema itachukua muda wa siku 3 Sasa miezi mitatu plus,mbona alikua anaelekea kuteka Kiev akarud nyuma,au operation yao ni kupindua serikali ya Ukraine?Mimi nakwambia muda ndio utakaoongea tutaonda mwisho wa Russia kwenye haya mapambano
Onyesha source yako Ni ipi ambayo Russia ilisema Vita itachukua siku 3.Ukishindwa kuonyesha hio source then toka hapo nje angalia juu na ujipige pige kifua Mara 3 huku ukisema kwa sauti hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
 
Lete ushahidi aliposema atafanya operation siku 3! Mrusi shida take ni kuikomboa Donbas,kitu ambacho katimiza 96% na kuwakomboa warusi wa maeneo hayo, vita lazima iendane na maslahi ya uchumi,Hilo kafanikisha,sasa hivi ameteka bandari,eneo lenye rutuba, chanzo cha kuzalisha umeme Ukraine yote na sasa hivi anaulipia,90% ya viwanda,na Jana Tu,meli ya Urusi imepakia shehena ya chuma kuelekea Moscow. Kiev ni ya nini? Jana Urusi imetangaza mikakati yake Kwenye hii vita. Kuongezea Tu,Sarafu yake imepanda Sana, huku Dollar ya US ikianza kususiwa taratibu,mfano Jana mgombea mmoja Brazil amesema akishinda uchaguzi ataanzisha Sarafu kwa nchi za America kusini,lndia,China na Urusi wanafanya biashara kwa Sarafu zao. Mpaka hapo ww unataka utobolewe hayo macho yako na ubongo ndio uone hii vita Urusi hajapata mafanikio sio ndani ya Urusi Tu,Hadi international kafanikiwa,mbolea,ngano sina muda wa kuelekea,unajua vizuri sana.
Kwa kuongeza Zelensky alilia Sana kuhutubia mabunge ya Africa lakini hakukubaliwa lakini mwenyekiti wa AU kamfuata Putin mwenyewe nyumbani kwake.
 
View attachment 2250899

⚡The only chance for Ukraine lies in surrender to the Russians.

General Twitty, former Deputy Commander of US European Command, shared his perspective on the situation in an interview with Military Watch:

"Ukrainians are doomed in this battle, the only way to stop the collapse of Ukraine is to accept Russia's conditions as soon as possible, to capitulate to them. The Ukrainians do not have enough combat power to resist, they are not motivated enough and shamelessly inferior to the Russians in aviation and technology. No help from the West will fix this is"
A bitter truth from SOMEONE in the 'world of combat' that the west and myopic rats doesn't know and understand!
 
Back
Top Bottom