Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio lazima kuwepo wakati wa Nyerere kufahamu ujamaa na matokeo yake kwa Taifa hili.

Ujamaa wa Nyerere ulishindwa vibaya sana ndio maana ulizikwa kwenye kaburi la Historia mwisho wa utawala wake na Mwinyi akaja na sera mpya za soko huria.
Inaonekana unaipenda hiyo nchi mpaka basi . Vipi umeshawahi fika ukaona ilivyo na maisha ya watu. Wewe nahisi upo compromised ila kuna wenzako yafaa warudi kwenye historia wakasome.
 
*Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi*

Nani alikuambia bila kutumia maji ya moto mafuta ya nyama au mafuta mengine yoyote ya kupikia hayatoki kwenye chombo??

Halafu kuna mtu anakusisitiza uandikie kitabu huu utopolo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu ni wendawazimu
Au sio, huwa yanatoka hata ukipuliza kwa upepo mdau kazi kwako tu unaeza ungana na mwenzio mkayaweka kwenye mkate yanaongeza ladha na afya pia... so huo utopolo tuachie wenyewe tu sio size yako we 'akili nyingi'...
 
Ushidi wa Urusi kwa Ukraine itakiwa pigo kubwa kwa Ulaya na NATO and they know that.

Kuisha kwa vita hii labda wenyewe Ukraine wanyooshe mikono juu ya kuikabidhi nchi yao kwa mrusi otherwise ngoma bado isambe.

Hela na vifaa vya kisasa vikali zaidi vinamwagika mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine pia ni ongoing kuhakikisha Mrusi anakwama hata kwa 50%.
Kamwe hatutoi majeshi Ukraine, mpaka tutapochukua 75% ya ardhi yao.
 
44% of Americans believe that the US "seems to be heading towards civil war in the near future."

This opinion is shared by 53% of Republicans and 39% of Democrats, follows from the results of a survey by the organization "Southern Center for Combating Poverty", conducted among 1.5 thousand people.

Just over half of all respondents, including 70% of Republicans, agree that the US government has "become tyrannical."

And the 2020 election, according to 49% of Republicans, was "fraudulent, rigged and illegal."

At the end of May, Biden's approval rating fell to a record 36%.

View attachment 2248999
Acha ifike wauane sirikali zao zakipuuzi ndio zinayataka yote haya!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Uongo wa kwanza; Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo haijawahi kuitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control, hawajawahi kubadilisha jina. Huo ni uongo mtupu.

2.Uongo wa Pili; Mfadhili mkubwa WHO sio Bill Gates, ni serikali ya Marekani. Hata angekuwa Bill Gates ndiye donor mkubwa wa WHO umaskini wako unaofikiri watoto ndio utajiri ndio unaokufanye uhangaike na michango ya Bill Gates kwenye sekta ya Afya.
Kama vile wazungu wengine matajiri ambavyo wameamua kutoa michango yao kusaidia Mbwa au paka yeye Bill Gates ameamua kusaidia kutatua changamoto za Afya kwa binadamu. Hakuna jambo la ajabu hapo kama ubongo wako hauko tenge.


3. Flouride ni madini muhimu kwa binadamu, yanasaidia kuimarisha meno. Acha kulisha watu matangopori ya uganga wa kienyeji, unawapoteza wengi kama huyo anayetamani kitabu chako wakati huna hata basics za sayansi.
Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.

Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.

Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri

View attachment 2249467

Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.

Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?

Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?

Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.

Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.

Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.

Ee mdau [emoji23], anajiita hivo mkuu!


Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu [emoji23][emoji848]...

View attachment 2249510

Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?

View attachment 2249493

Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he [emoji38]

Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka [emoji23] tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
 
Kwa sababu hakuna hup ushahidi au ni mdogo kiasi cha kupuuzwa "negligible".
Izi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
 
Nenda ubalozi wa US ukaone foleni ya kuomba visa za kuingia Marekani. Hata hawa Pro Russia wenzako mnaodanganya nao hapa wengine wanasubiria majibu yao ya visa za US na wengine wana bet kila siku kwenye Green Card lottery.
Huku wakichoka kuuwana kwaupuuzi wasirikali yao wataungana kuwaangusha sisi hatuna lakuwasaidia
Hili linchi la US la hovyo sana bora ukaishi SOMALIA utakua na AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Uongo wa kwanza; Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo haijawahi kuitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control, hawajawahi kubadilisha jina. Huo ni uongo mtupu.

2.Uongo wa Pili; Mfadhili mkubwa WHO sio Bill Gates, ni serikali ya Marekani. Hata angekuwa Bill Gates ndiye donor mkubwa wa WHO umaskini wako unaofikiri watoto ndio utajiri ndio unaokufanye uhangaike na michango ya Bill Gates kwenye sekta ya Afya.
Kama vile wazungu wengine matajiri ambavyo wameamua kutoa michango yao kusaidia Mbwa au paka yeye Bill Gates ameamua kusaidia kutatua changamoto za Afya kwa binadamu. Hakuna jambo la ajabu hapo kama ubongo wako hauko tenge.


3. Flouride ni madini muhimu kwa binadamu, yanasaidia kuimarisha meno. Acha kulisha watu matangopori ya uganga wa kienyeji, unawapoteza wengi kama huyo anayetamani kitabu chako wakati huna hata basics za sayansi.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeamua kuteseka zaidi kwa huo "utopolo" sio...

Mbona nimekupa hint simple tu, I told you huo "utopolo" tuachie sie wenyewe sawa toto zuri? Just Hivo tu.
 
1.Uongo wa kwanza; Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo haijawahi kuitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control, hawajawahi kubadilisha jina. Huo ni uongo mtupu.

2.Uongo wa Pili; Mfadhili mkubwa WHO sio Bill Gates, ni serikali ya Marekani. Hata angekuwa Bill Gates ndiye donor mkubwa wa WHO umaskini wako unaofikiri watoto ndio utajiri ndio unaokufanye uhangaike na michango ya Bill Gates kwenye sekta ya Afya.
Kama vile wazungu wengine matajiri ambavyo wameamua kutoa michango yao kusaidia Mbwa au paka yeye Bill Gates ameamua kusaidia kutatua changamoto za Afya kwa binadamu. Hakuna jambo la ajabu hapo kama ubongo wako hauko tenge.


3. Flouride ni madini muhimu kwa binadamu, yanasaidia kuimarisha meno. Acha kulisha watu matangopori ya uganga wa kienyeji, unawapoteza wengi kama huyo anayetamani kitabu chako wakati huna hata basics za sayansi.
Kweli jamaa ni mganga wa kienyeji, masikini hajielewi. Em muache tunaomwelewa tuendelee naye
bb779321-345c-46f7-ab79-3cc21e008a36.jpg
So wewe unajua kuliko Scientist waliotueleza haya?

Ask-Q Em achana na hivi vitoto mkuu. Naona ombi la babu na mjukuu limewachoma wana wivu wa kike kama Coco Master aliyelalama Galip mie kupewa like [emoji23][emoji23][emoji23]

Pro NATO shida sana wallah
 
Russia is ready to supply grain to all countries in need, but this is prevented by the sanctions of the West - Zakharov.

View attachment 2249373
Kuna kete hapa naiona RUSSIA kaikamatia hem acha tuone kama atakuja kufanya kama nnavyowaza mie
Ila akifanya kama nnavyowaza basi mawili US inabidi aingie mzigoni na RUSSIA ama akubali kua RUSSIA kamzidi ujanja tena hamuwezi !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putini ni ndugu zaidi na mtu mweusi toka bara lingine kuliko waziri wake Mrusi wa Ulinzi au wakuu wake majeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pro NATO hivi vitu huwa wanaviona? Do they know jeuri ya bwana wao zipo kwenye printers [emoji848]


Kilichonivutia mbali na maongezi ni ukaribu wao kwenye mazungumzo. Hey em tizama how close they are, Macky Sall kakaa na VPutin ubavuni then linganisha with this UN secretary alipokutana na Putin... Walimuekea kipaza sauti, there you know nani rafiki nani 'Snitch' [emoji23]
View attachment 2249342


He he he Rejea kwenye Ruso-georgean War. Wanajua alichowafanyia 2008 hiyo.
 
Are you high?
Huku tunaongea na vijana wanaobisha ili wajifunze twende nao taratibu . Hao ndio wanaoamini Makonda ni bonge la kiongozi na alipaswa kuwa raisi wa Tz. Kijana km huyo ni petroli inahitaji kwenda nae slow
 
Back
Top Bottom