NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Lawyers from unfriendly countries may be banned from working in the Russian Federation, the Ministry of Justice has made appropriate changes to the departmental regulations - an order.
Hiki kizazi kua hivi mdau hakijatokea bahati mbaya, kimeanza kuandaliwa "decades" kadhaa huko nyuma...
Haitakaa itokee kibadilishwe fikra zao overnight mdau.
1. Hiyo alama kwenye bega la kulia sio ya bure...
2. Hizo flouride wanazozibwia kila siku kwenye maji si za bure...
3. Hizo spray chemicals zinazotandazwa angani si za bure...
4. Chunguza chakula kinacholiwa kila siku, takriban asilimia 90 havina asili yake ya awali, Most ni artificial kuanzia mchicha hadi nyama ya ng'ombe anayokula...
Hayo ni machache ili utizame afya ya kiwiliwili ilivyo mbovu...
Then njoo kwenye ufaham wake,
1. Angalia namna mfumo wa wake wa kupata elimu ulivyo wa ki$3π¶€... Haumtengenezi kujikomboa bali inamuandaa kutumika kwa jina la ajira...
2. Anapangiwa cha kujifunza kwa jina la "syllabus" so kuanzia akiwa vidudu hadi anafika elim ya juu njia yake yote ya kujipatia elim ipo under control.
Leo ukikutana na mhitim wa uhandisi (huu mfano tu)... Haikupi shida kujua kadha wa kadha vilivo nje ya ufaham wake hivo kumfanyia manipulation ni kama unamsukuma mlevi kwenye mteremko...
3. Kingine katika "Culture", neno tamaduni ni neno dogo kwa wenye ufaham mdogo ila lina maana kubwa kwa wenye ujuzi nalo.
That's why tunamwona yule jangili wa magharibi anatumia vyote vyote iwe mtutu ama fedha hadi ahakikishe tamaduni zake zimeenea kila kona.
Tamaduni ina sehem kubwa katika maisha ya kila siku ya mwanadam. Kuiacha na kuikana tamaduni yako ni sawa na kuikana asili yako.
Na kuikana asili yako kuikaribisha asili nyingine ni sawa na mtu anayeacha nyumba yake anaenda kupanga kwa mtu mwingine... Kwani kule aendako anaingia utumwa wa kumtii mwenye nyumba, likewise katika tamaduni.
Ile inferiority tuliyojijengea na kujengewa vile vile... Kujiweka weak na inferior huku tukiwafanya superior wenzetu over us... Inapelekea kutumika na kufata kila watakalo isn't an option.
4. Ukitoka katika mfumo rasmi wa elim unakutana na vyombo vya habari [emoji23][emoji23][emoji23]. Navyo havikuachi hivi hivi daaadeki vinakutengeneza na kukushape katika hali wahusika wakuu wanayoihtaji. Unatokaje sasa kwa mfano [emoji848]
5. Leo hii nenda kwenye shule zetu hizi au mtaani, kaa na watoto wadogo... Angalia traits zao, namna wanavyowaza, reaction zao kwenye matukio ya kila siku... Amini nakwambia, utaona kabisa something is not right kwenye mind zao!
Anyway, tusiongee sana mwishowe itakuwa kero.
Ila nikuache na homework kidogo, Hivi ushawahi kujiuliza kwanini vijana waliokulia nje ya "system"... Hapa na maana ya hii mifumo iliyopo katika mazingira ya afya na elim wako at least na fikra huru kuliko hawa "waliochongwa" kama penseli kuanzia nursery hadi elim ya juu?
Hapa nieleweke vizuri, kua na fikra huru sio kujua mengi, kwasababu unaweza kujua mengi ambayo hayana usahihi wowote [emoji23], fikra huru ni uwezo wa kupambanua nukta sahihi na isiyo sahihi unapowekewq hoja tofauti tofauti mbele yako.
Huyu mpuuzi wao wenyewe huko EU wamechemka kenge hawa[emoji23][emoji3][emoji16]The Prime Minister of Poland said that the EU is discussing the possibility of imposing “secondary sanctions” to prevent countries outside the EU from buying Russian oil.
View attachment 2246084
Una vituko [emoji23]Ase hilo jina lako lina-sound like "the son of bitch" kumbe sio ingawa unazungumza kama "ndio" [emoji848].
Enhe tuachane na hilo, kwahiyo Russia akaungana na Iraqi dhidi ya US au sio? He he he!
Of course we ni "Sani ofu bichi", hatutakiwi kushangaa sana nini unakitoa kwenye bongo yako hiyo.
Kiongozi wa kanisa la orthodox akibariki kombora hapo,lazima west walichukie tu Hilo kanisa.Ni Mkuu wa kanisa la Orthodox huko Moscow, Russia. Sorry, Hivi kwanini hili kanisa linachukiwa sana upande wa magharibi?
Nahisi wana abide na International Laws, silaha zote zinazoingia uwanja wa mapambano zinatakiwa zijulikane, kuna silaha zilizoruhusiwa na silaha zilizokatazwa according to Geniva War Convention.
Hivo kuziweka wazi ni sawa na wewe unapoingia kwenye office ya mtu [emoji23], kule kukaguliwa ndio kama wao wanavotangaza kua kinapelekwa hiki na kile ama hivi na vile, na nina hakika haifanywi na wao bali na Russia vile vile silaha wanazotumia zinajulikana.
Kwa kifupi nijuavyo Silaha zote zinazotumika ziko known kila upande so hakuna kucheza "rough" [emoji38]. Kilicho cha siri ni mbinu zinazotumika kupambana tu, unatishia kupiga kulia unagonga kushoto basi!
Mda sio mrefu Afrika itawekewa vikwazo na USA.
20% sio ukubwa wa eneo jomba, Eneo lililochukuliwa linachangia 20% of Ukraine GDP. Kieneo inaweza kua kubwa kuliko hizo asilimia.Sio donbase pekee.. watachukua half ya ukraiane, rais Zelensky anasema wamenyang'anywa 20% ya nchi yao. Mpaka mwezi wa 10 watachukua 50 % then tutatulia.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kizazi kipya!wanakera sana huyu anaona kawaida hata ukoo mzima kuwa shoga abinuliwe na mzee wake, mjomba n.k
Mbona miaka iliyopita kulikuwa sio hivi yaani kumekidhiri haswa
Hii vita yakitoto 20% ya UKRAINE ipo under RUSSIANi ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.
Angalia vita ya Iraq ama Libya kama ilikuwa ya kitoto kama hii....
Yaani unachomoa mmoja mmoja dadadeq..sasa majengo yana kosa gani ?
Aibu nyingine Mrusi kaanza kulalamika oohh mnampa silaha ndo maana...useless.
Taifa kubwa linaanza kutafuta excuses? Maliza vita tukuone kidume!! Dadadeq
M270 ishatua huko ..ngoma isambe, sasa kama una jeuri shambulia Marekani..bata wee.
Hasara kidogo Sana hiyo kulinganisha alichopata Ukraine.Hasara aliyepata Urusi toka vita vianze Hadi Leo tarehe 03/06/2022.Unaruhusiwa kuleta chanzo Cha story Yako upande wa pili🤔View attachment 2249353
Hiyo Flouride ni mwisho wa reli, nasikia inachagiza kupunguza uwezo wa kumbukumbu? Ni kweli?Hiki kizazi kua hivi mdau hakijatokea bahati mbaya, kimeanza kuandaliwa "decades" kadhaa huko nyuma...
Haitakaa itokee kibadilishwe fikra zao overnight mdau.
1. Hiyo alama kwenye bega la kulia sio ya bure...
2. Hizo flouride wanazozibwia kila siku kwenye maji si za bure...
3. Hizo spray chemicals zinazotandazwa angani si za bure...
4. Chunguza chakula kinacholiwa kila siku, takriban asilimia 90 havina asili yake ya awali, Most ni artificial kuanzia mchicha hadi nyama ya ng'ombe anayokula...
Hayo ni machache ili utizame afya ya kiwiliwili ilivyo mbovu...
Then njoo kwenye ufaham wake,
1. Angalia namna mfumo wa wake wa kupata elimu ulivyo wa ki$3π¶€... Haumtengenezi kujikomboa bali inamuandaa kutumika kwa jina la ajira...
2. Anapangiwa cha kujifunza kwa jina la "syllabus" so kuanzia akiwa vidudu hadi anafika elim ya juu njia yake yote ya kujipatia elim ipo under control.
Leo ukikutana na mhitim wa uhandisi (huu mfano tu)... Haikupi shida kujua kadha wa kadha vilivo nje ya ufaham wake hivo kumfanyia manipulation ni kama unamsukuma mlevi kwenye mteremko...
3. Kingine katika "Culture", neno tamaduni ni neno dogo kwa wenye ufaham mdogo ila lina maana kubwa kwa wenye ujuzi nalo.
That's why tunamwona yule jangili wa magharibi anatumia vyote vyote iwe mtutu ama fedha hadi ahakikishe tamaduni zake zimeenea kila kona.
Tamaduni ina sehem kubwa katika maisha ya kila siku ya mwanadam. Kuiacha na kuikana tamaduni yako ni sawa na kuikana asili yako.
Na kuikana asili yako kuikaribisha asili nyingine ni sawa na mtu anayeacha nyumba yake anaenda kupanga kwa mtu mwingine... Kwani kule aendako anaingia utumwa wa kumtii mwenye nyumba, likewise katika tamaduni.
Ile inferiority tuliyojijengea na kujengewa vile vile... Kujiweka weak na inferior huku tukiwafanya superior wenzetu over us... Inapelekea kutumika na kufata kila watakalo isn't an option.
4. Ukitoka katika mfumo rasmi wa elim unakutana na vyombo vya habari [emoji23][emoji23][emoji23]. Navyo havikuachi hivi hivi daaadeki vinakutengeneza na kukushape katika hali wahusika wakuu wanayoihtaji. Unatokaje sasa kwa mfano [emoji848]
5. Leo hii nenda kwenye shule zetu hizi au mtaani, kaa na watoto wadogo... Angalia traits zao, namna wanavyowaza, reaction zao kwenye matukio ya kila siku... Amini nakwambia, utaona kabisa something is not right kwenye mind zao!
Anyway, tusiongee sana mwishowe itakuwa kero.
Ila nikuache na homework kidogo, Hivi ushawahi kujiuliza kwanini vijana waliokulia nje ya "system"... Hapa na maana ya hii mifumo iliyopo katika mazingira ya afya na elim wako at least na fikra huru kuliko hawa "waliochongwa" kama penseli kuanzia nursery hadi elim ya juu?
Hapa nieleweke vizuri, kua na fikra huru sio kujua mengi, kwasababu unaweza kujua mengi ambayo hayana usahihi wowote [emoji23], fikra huru ni uwezo wa kupambanua nukta sahihi na isiyo sahihi unapowekewq hoja tofauti tofauti mbele yako.
Anti-Russian sanctions have deprived African countries of access to grain and fertilizers, which has exacerbated the situation in the food sector, the head of the African Union said at a meeting with Putin.
According to UN boss,he meant sanctions against Russia is protested by Africa.
View attachment 2249383
Hawa viongozi kama kweli wanaamini democracy ni Government of the people to the people for the people basi walitakiwa wajiuzuru, Au ile wengi wape haitumiki baadhi ya maeneo [emoji848]The leaders of a number of countries in the West are losing popularity:
- Johnson's rating sank 29% after the publication of the Cabinet report on parties in the midst of the lockdown;
- support for Biden breaks records of a minimum against the backdrop of mass executions in the country and problems with milk mixtures;
- Scholz's activities are approved by only 37% of residents.
Read more in the story of our correspondent Rachel Marsden.
View attachment 2249393