NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
The West is trying to "mobilize under its banner" all other countries, using the situation in Ukraine and around it as a pretext - Lavrov.
Sasa marekani ataamua lini kuisaidia Ukraine? Au msaada upi unauongeleaHii vita mwamuzi atakuwa who has what in War weapons Technology..
Kama.marekani ataamua kuisaidia Ukraine..hii vita haitaisha leo wala kesho ..na kwa namna inavyozidi kwenda ndivyo itakavyozidi kuinyongonyeza urusi ki uchumi.
Very cheapDemand for Russian SIM cards in Kherson remains high - people have been standing in such queues for several days.
According to local authorities, a package of 1,000 minutes, 500 SMS and 10 GB of internet costs 300 rubles a month.
The situation is similar in Melitopol. On May 27, it became known that the Kherson and Zaporozhye regions switched to the Russian code +7.View attachment 2245537
Kaka unaishi dunia ipi? Unajua masafa ya M270 ?? Google acha uvivu.Sasa marekani ataamua lini kuisaidia Ukraine? Au msaada upi unauongelea
Uongo na politics tu,hawana alternative na wangekuwa nayo wanavyo wachukui Warusi wasinge hangaika.The EU will cut oil purchases from Russia by 92% by the end of the year, French President Macron has said.
View attachment 2246077
Toka January wanapiga kelele tuu, tuone Sasa ivi.Uongo na politics tu,hawana alternative na wangekuwa nayo wanavyo wachukui Warusi wasinge hangaika.
Mzigo kama wote, Mzigo Wa bureee, Mzigo Wa mserereko, Ikitokea vita tutaanzia hivi, tutasave New weapons for the time being. Kama tulivyoanza kutumia vifaru vya muda, Ili kusafisha store na kukaribisha mizigo mipyaMK254, MTOTO WA KUKU, Frank Wanjiru na T14 Armata pitieni hapo juu, au ngoja niwawepesishie kabisa👇👇👇View attachment 2245997
View attachment 2245996
Sijui unaelewa lakini? Sote tunaweza kuwa na mahaba ila yako nimekwambia yamekithiriNingeona huna mahaba nao kama ungejiita Sergey Karasev au Dzyuba
Mpka waje wakae kwenye negotiation table, Atakuwa kajimirikisha nusu nchi
Hii vita mwamuzi atakuwa who has what in War weapons Technology..
Kama.marekani ataamua kuisaidia Ukraine..hii vita haitaisha leo wala kesho ..na kwa namna inavyozidi kwenda ndivyo itakavyozidi kuinyongonyeza urusi ki uchumi.
Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
Mwachie huyo ajifurahisha.Hivi mtu kama huyu anafanya nini JF? Pro NATO akili zao ndo zimeishia hapa
Hajui kama cocaine in moja ya chanzo cha mapato ya CIA na hiyo biashara wanairatibu😂😂😂😂😂😂 ila we jamaa mahaba yako yamekidhiri aisee
Ni ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.Tubonyeze ngapi kupata comedy kama hzi??[emoji28][emoji28]
Pengine kutangaza aina ya silaha wanazopeleka nje ya nchi kwa ajili ya kuisaidia nchi hiyo pengine ni takwa la kisheria ili kuepuka;Kabisa MKUU upo sahihi sana kuhusiana na swali lako ntakudanganya labda tuwapelekee waungwana hapa kwamsaada zaidi
Swali kwanini silaha zinazoenda kama msaada kwa UKRAINE zatangazwa na US na shost zake msaada kwenu WAKUU
Sikirimimimasikini
Ask-Q
lee van cliff
Mkuu kwenye search hapa nimekusahu gallip
T14 Armata
Nawengineo.....!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokifanya ni wewe mwenyewe umependa,wala hujisikii kuteseka,iweje mtu mwingine akuambie unateseka?Dah, maneno yako yanazidi kuwachoma na kuwanyong'onyeza waMarekani wa 'Kibaigwa' na waUkraine wa 'Segera'
Hawa Poland wanacheza mchezo mbaya Ila Putin atawachanganya wote na kichapo soonPoland, apparently, is already moving towards the seizure of territories in western Ukraine, said Patrushev, secretary of the Russian Security Council.
View attachment 2246063