Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.

Angalia vita ya Iraq ama Libya kama ilikuwa ya kitoto kama hii....

Yaani unachomoa mmoja mmoja dadadeq..sasa majengo yana kosa gani ?

Aibu nyingine Mrusi kaanza kulalamika oohh mnampa silaha ndo maana...useless.

Taifa kubwa linaanza kutafuta excuses? Maliza vita tukuone kidume!! Dadadeq

M270 ishatua huko ..ngoma isambe, sasa kama una jeuri shambulia Marekani..bata wee.

Ni mjinga anaefananisha unyama waliofanya US kule Iraq na Libya, huenda nabishana n mtoto wa juzi ambaye hajui kilichofanyika kwenye hizo nchi Ukraine anapigwa afu anabembelezwa. Utafananisha na kilichofanywa libya na iraq are you serous? Have you lost your mind??
 
Hii itabaki kuwa historia kuwa Ukraine ilichezea kichapo na wasaidizi wake mpka ikafikia hatua ya kunyanyua mikono [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russia and Ukraine were close to an agreement under which Ukraine would remain outside the blocs, but its external management did not allow it to be signed
Now Ukraine will have to sign a surrender - Federation Council Speaker Matvienko[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Uzazi wa mpango nahisi umeonekana hauleti matokeo kwenye malengo yao sasa wanakuleteeni vizazi vya kufikirika 😂... Virtual Offspring unavaa VR (Virtual Reality) unaanza kucheza na mwanao!

Tena wanaisifia kabisa kua itasaidia kusolve matatizo ya yanayotokana na wingi wa idadi ya watu he he he ase 🤔

IMG_20220531_220902_823.jpg


Misaada sio? Kwamba wanawapenda saaaana? Kwamba hawa wanaotaka kumaliza humanity ni Warusi eeh? Haya kazaneni muendeleze mapambio!
 
Marekani inaripoti kuwa majeshi ya Russia sasa yamelikamata karibu jiji lote la kimkakati la Sievierodonetsk baada ya kutembeza mkong'oto mzito usiohimilika kwa majeshi ya Ukraine. Ushuhuda wa hilo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Luhank ambaye ni muajiriwa wa Zelensky.

Poleni kwenu Pro-NATO, mambo yanawaendea vibaya mno kwenye uwanja wa vita...mwishoni propaganda zenu zimejitenga, na ukweli umedhihiri wenyewe na kutamalaki kila kona.


SmartSelect_20220531-225803_Chrome.jpg
SmartSelect_20220531-225817_Chrome.jpg
 
Ni ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.

Angalia vita ya Iraq ama Libya kama ilikuwa ya kitoto kama hii....

Yaani unachomoa mmoja mmoja dadadeq..sasa majengo yana kosa gani ?

Aibu nyingine Mrusi kaanza kulalamika oohh mnampa silaha ndo maana...useless.

Taifa kubwa linaanza kutafuta excuses? Maliza vita tukuone kidume!! Dadadeq

M270 ishatua huko ..ngoma isambe, sasa kama una jeuri shambulia Marekani..bata wee.
wewe inafaa uchunguzwe sio bure.
 
Back
Top Bottom