Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?

Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.

Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
 
Nimesikia putin is no more,mwenye udhibitisho wa uhai wake alete.
Inasemekana ana copy yake ndio anayejitokeza ila baada ya hii wiki vita itaisha na yeye atatangazwa kuwa amefariki.
Utatangulia wewe mkuu yeye ataendelea kuishi na kutimiza ndoto zake. Vitabu vitakatifu vimeandika usihukumu usije hukumiwa.
 
Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?

Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.

Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .

Tupe na reference bei za mafuta zilikoshuka? .Pia EU wameamua kuacha ujinga na kuendelea nunua oil toka Russia na wanalipa kwa Rubble mzee.
 
IMG_20220601_072848_440.jpg

⁉️M270 MLRS WHAT IS IT⁉️LET'S DIVE IN
The M270 MLRS now being delivered to Ukraine is an American attempt to pair Tornadoes with Iskanders. It can work simultaneously as MLRS and Tactical Ballistic missile system, thanks to its modular system.The firing range of the M270 operating as a MLRS, is 45-70 km. In comparison the range of Smerch is 20-120km (with the latest Tornado-S system). Older Smerch can still fire at a distance of 90km.When operating like Tactical ballistic missile system, the max range is 310 km. It fires MGM-140 ATACMS surface to surface missile. But so far it's not confirmed if ATACMS will be supplied or not.A new missile Precision Strike Missile (PrSM) is being created by Lockheed Martin for the system, which will have the range of 500km. But it's still under development. While the range of the Iskander-M is already 500 km,maybe biger to avoid treaties limitationsThat is, it cannot be argued that these are weapons that can in any way turn the tide on the fronts.

Also it has been found that previously provided American artillery M777 did not have the digital fire control system, which is required to use the artillery precisely.It is safe to assume M270 will also have some of its critical equipment disassembled. While our upgraded Tornado system have both automatic navigation and a batch installation option, thus make it significantly accurate than the previous systems.Ironically Ukraine actually had better MLRS like Uragan and Smerch before the war. Most of which has been destroyed by allied forces. It is safe to assume most of the delivered M270 will also have the same fate.What Ukrainians can succeed with MLRS is to kill another dozen more Donetsk grandmothers(babushkas)
 
IMG_20220601_073817_310.jpg
IMG_20220601_073805_568.jpg
IMG_20220601_073802_610.jpg
IMG_20220601_073814_245.jpg
IMG_20220601_073809_261.jpg

🇷🇺🇩🇿 Algerian military delegation discusses expanding cooperation in education and science with colleagues from the Military Academy of the General Staff of the Armed Forces of the Russian Federation

🤝Head of the Military Academy of the General Staff, Colonel General Vladimir Zarudnitskyi, noted the high level of partnership between the two countries, which this year marked the 60th anniversary of the establishment of diplomatic relations.

▫️The Algerian side is interested not only in training for the National People's Army but also in training trainers for military universities.

#MoD #Russia #Algeria
@mod_russia_en
 
Uturuki ina matatizo makubwa kwenye demokrasia, mojawapo ya takwa la kupewa uanachama wa EU ni kuwa stable democracy.
Ukweli hata Mimi sifahamu hasa,Naamini ni sababu za kidini TU,Hakuna sababu nyingine.
Kwa sababu kuna nchi zimeachwa mbali mno kimaendeleo na Uturuki lakini ni Wana chama.
 
‼️🏴‍☠️ Zelensky said that he is not going to "de-occupy" the Donbass, Zaporozhye, Kharkiv and Kherson regions, occupied by Russia

"Ukraine will not rush to de-occupy temporarily occupied territories if it requires tens of thousands of victims..." Zelensky said and added that Kyiv would "wait for the necessary weapons."

"Because these territories without living Ukrainians are, frankly, not a priority for us," he added.
 
Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?

Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.

Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
Unakaa Tanzania hii au upo Marekani? Ushabiki ukizidi huwa maarifa yanapungua. Punguza ushabiki. Bei imeshuka siyo kwa sababu ya kushuka duniani, bali Serikali iliahidi kutoa Ruzuku. Ndo kilichotokea. Angalia hata chati ya bei mpya leo. Inaonesha bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku ya Serikali.

Punguza muhemko ya kushabikia Ulaya na Amerika ili ubongo wakoutumike vizuri. Usikubali ufahamu wako kupungua pasipo ulazima.
 
😁 The enemy is decomposing from the inside: militants of the 57th brigade of the Armed Forces of Ukraine refuse to go to the front line

The Ukrainian battalion commander unsuccessfully tries to persuade the fighters to go to fight, but he does not want to fight with them.
 
Ni ujinga.....ni aibu kwa Urusi kupigana na ka nchi kama Ukraine kwa miezi 3. Mbaya zaidi una target majengo, mitaro Madaraja ..ni vita gani hiyo ya karne ya 18.

Angalia vita ya Iraq ama Libya kama ilikuwa ya kitoto kama hii....

Yaani unachomoa mmoja mmoja dadadeq..sasa majengo yana kosa gani ?

Aibu nyingine Mrusi kaanza kulalamika oohh mnampa silaha ndo maana...useless.

Taifa kubwa linaanza kutafuta excuses? Maliza vita tukuone kidume!! Dadadeq

M270 ishatua huko ..ngoma isambe, sasa kama una jeuri shambulia Marekani..bata wee.
Ok, marekani ilipigana masaa mangapi kule Iraq?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hapana sio silaha ni maombi ya kwarezma tu!
No flying zone ni ukanda ambao ndege haziruhusiwi kupita na ukipita unadunguliwa. No flying zone huwekwa na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi kama Marekani ama NATO ama Russia. Marekani ilikataa ombi la kuweka no flying zone kwakuwa itambidi ajiingize moja kwa moja kupambana na Russia kitu ambacho alikwisha sema hataki. No flying zone inayokumbukwa sana ni ya KUWAIT
 
The special forces of the Russian Guard from the Chechen Republic entered the SBU of Severodonetsk
The fighters drove through the city, the Armed Forces of Ukraine and the national battalions retreated to the industrial zone, the battles are going on there.
 
IMG_20220601_083359_801.jpg
IMG_20220601_083408_718.jpg
IMG_20220601_083405_749.jpg
IMG_20220601_083402_259.jpg

It will take more than a day to travel from Moscow to Crimea.

From 26 to 30 hours will be spent on the road by those who fly to Sochi and then transfer to the Crimean train.

The minimum price is 14 thousand rubles in both directions.

For a flight to Sochi and back in the first half of June, a tourist will pay about 10 thousand rubles.

Then you will need to buy a train ticket:

• Reserved seat - from 2 thousand rubles;

• Coupe - from 5 thousand rubles;

• SV - from 9.9 thousand rubles.

The lower seats in the reserved seat are more expensive (from 5.5 thousand) and are already in short supply.
 
View attachment 2246624

[emoji3480]M270 MLRS WHAT IS IT[emoji3480]LET'S DIVE IN
The M270 MLRS now being delivered to Ukraine is an American attempt to pair Tornadoes with Iskanders. It can work simultaneously as MLRS and Tactical Ballistic missile system, thanks to its modular system.The firing range of the M270 operating as a MLRS, is 45-70 km. In comparison the range of Smerch is 20-120km (with the latest Tornado-S system). Older Smerch can still fire at a distance of 90km.When operating like Tactical ballistic missile system, the max range is 310 km. It fires MGM-140 ATACMS surface to surface missile. But so far it's not confirmed if ATACMS will be supplied or not.A new missile Precision Strike Missile (PrSM) is being created by Lockheed Martin for the system, which will have the range of 500km. But it's still under development. While the range of the Iskander-M is already 500 km,maybe biger to avoid treaties limitationsThat is, it cannot be argued that these are weapons that can in any way turn the tide on the fronts.

Also it has been found that previously provided American artillery M777 did not have the digital fire control system, which is required to use the artillery precisely.It is safe to assume M270 will also have some of its critical equipment disassembled. While our upgraded Tornado system have both automatic navigation and a batch installation option, thus make it significantly accurate than the previous systems.Ironically Ukraine actually had better MLRS like Uragan and Smerch before the war. Most of which has been destroyed by allied forces. It is safe to assume most of the delivered M270 will also have the same fate.What Ukrainians can succeed with MLRS is to kill another dozen more Donetsk grandmothers(babushkas)
Nachojiuliza Mimi hivi Ukraine hawana Grad M21 which is a MLRS ? na hawana variants za S-300 Ambayo ni long rang missile systems? Au sielewi
 
Itakuwa upo usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bei za mafuta kuanza kushuka.....hii Kama wewe ni team Putin unaipokeaje.....?

Kupitia kuanza kushuka kwa Bei Sasa ni wazi pengo la mrusi kwenye usambazaji wa mafuta limeanza kuzibika. Na likishwa zibika kabisa ni dhahili mrusi biashara yake ya mafuta anayo itegemea na gesi ndio kwa heri uchumi wa urusi.

Na Kama mjuavyo kiuhalisia taifa kumpiga mmarekani bado halija tokea labda la kumtikisa tu Ila kumpiga kumsambaratisha bado Sana so tuwe wapole tu. By this time next year mrusi atakuwa Zimbabwe ilio changamka .
 
ta

Kushuka Tanzania au wapi mkuu, lete chanzo Cha habari. Jana imepanda mpaka $117 kwa pipa , au unajifariji mkuu😄😄😄
 
Kijana usiwe mbishi. Ni kweli jana Ewura wametangaza. Maeneo mengi bei imeshuka kwa kiasi cha kati ya 250 na 300 tshs.
 
Back
Top Bottom