Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah!
Wee jamaa wewe,aisee umetisha.
Umemjibu kikamilifu kabisa,kwa ufasahabmkubwa mno.
Wewe jamaa ni "fundi".
Bana unapiga za uso.
Kwa majibu kama haya ndio maana Pro NATO wengi wanakimbia thread hii wanakwenda kuanzisha viji thread vingine huko.
Acha kabisa.
Pro Russia mnatisha.
Zile thread pro nato wanaanzisha kufarijiana ila wenye Ukraine yao wanakiri mambo ni mazito
20220530_211749.jpg
20220530_192821.jpg
20220530_192846.jpg
 
Waziri wa sheria na katiba wa Jamuhuri ya Watu wa Donetsk bwana Yuri Sirovatko amesema kuwa wanajeshi takriban 2300 wa kikundi cha Azov waliojisalimisha kwa majeshi ya Russia watafikishwa mahakamani kutokana na makosa yao ya jinai na wanaweza kupata adhabu ya kifo.

Waziri huyo amesema kwa nature ya makosa yao yalivyo, adhabu ya juu ambayo Jamuhuri hiyo hutoa kwa makosa hayo ni 'kupigwa shaba'.

Russia yalitambua kundi la Azov kama kundi la kigaidi la waNazi Mamboleo na imekuwa ikikataa maombi ya mara kwa mara ya Zelensky ya kutaka kuhusisha wafungwa hao wa kundi la Azov ktk programu ya kubadilishana mateka.

Pia Rais wa Ufaransa na Kansela wa Ujerumani ktk mazungumzo ya juzi jumamosi na Putin pia walimuomba Putin awaachie wanajeshi wa Ukraine aliowakamata kwa maelfu huko Azovstal, Mariupol.

Omusolopogasi na Glenn njooni mteseke huku
====

View attachment 2244715View attachment 2244716
😂😂😂
 
Mapema leo baada ya US kukataa kupeleka makombora ya masafa marefu huko Ukraine, Ex President of Russian Federation amezungumza haya:

âš« Biden said the United States would not supply Ukraine with missile systems capable of attacking Russia.

Reasonable!

Otherwise, when attacking our cities, the Russian Armed Forces would have fulfilled their threat and struck at the centers of these criminal decisions.


Some of them are not located in Kyiv at all. What's next, no need to explain...

 Huh, Its him once again! Huyu mdau angekuwa incumbent hivi sasa dah! He he he 😂.
 
Inawezekana....lakini pia inaweza kuwa mbinu ya serikali ya Ukraine kuwatisha wanajeshi wanaozidi kujisalimisha kuwa huenda na wao yakawakuta ya wenzao.
 
Naam Bushmaster Amoured vehicles ni magarivita maalumu ya Australia yaliyopelekwa Ukraine kupambana na majeshi ya Russia. Magari haya yalipotolewa yalisifiwa mno kuwa yana uwezo wa juu zaidi wa kimapambano ikiwa pamoja na uwezo wa magari hayo kuhimili milipuko ya mabomu na hivyo kutoathiriwa/haribiwa na mabomu ya adui vitani.

Yamekuwa yakisifiwa kuwa yalifanya vizuri sana ktk vita vya Afghanistan.

Jambo la kushangaza ni kuwa Australia yenyewe imeripoti kuwa magarivita hayo yameweza kuharibiwa na moto mkali wa mvua za makombora na mizinga ya Russia.

Na Kyiv yenyewe imetoa video ya mojawapo ya magarivita hayo ya Australia likiwa limechakazwa na kuharibiwa na moto wa majeshi ya Russia kiasi kwamba likatelekezwa kama chuma chakavu.

Screenshot_20220530-211743_YouTube.jpg


SmartSelect_20220530-211301_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220530-211403_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220530-211436_Samsung Internet.jpg
SmartSelect_20220530-211524_Samsung Internet.jpg
 
Yuko vizuri, mwanzo alivyoanza vituko vingi mara hola hola mtu unaweza kumchukulia poa tu kuuumbe dah, ndio maana tunasharuriwa usimdharau usiemjua!


Of course! [emoji2956]


Noma sana kuna comment zingine unazisoma kama n mlengwa unapigwa kaubaridi ka haja kwanza [emoji23]


Ha ha ha umenikumbusha pia nilivofika hapo kwenye tafsiri ya "steamroller' hilo wazo la kusema mwondoko wa kukunjua kapeti sijui lilitoka wapi... Baada ya kuliandika nikabaki kujicheka mwenyewe.
[emoji23][emoji3]yaani huo mkunjuo kama kuna mdudu anatokea ghafla lazima udili naye kwanza ndio uendelee kukunjua kapeti....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naam Bushmaster Amoured vehicles ni magarivita maalumu ya Australia yaliyopelekwa Ukraine kupambana na majeshi ya Russia. Magari haya yalipotolewa yalisifiwa mno kuwa yana uwezo wa juu zaidi wa kimapambano ikiwa pamoja na uwezo wa magari hayo kuhimili milipuko ya mabomu na hivyo kutoathiriwa/haribiwa na mabomu ya adui vitani.

Yamekuwa yakisifiwa kuwa yalifanya vizuri sana ktk vita vya Afghanistan.

Jambo la kushangaza ni kuwa Australia yenyewe imeripoti kuwa magarivita hayo yameweza kuharibiwa na moto mkali wa mvua za makombora na mizinga ya Russia. Na Kyiv yenyewe imetoa video ya mojawapo ya magarivita hayo ya Australia likiwa limechakazwa na kuharibiwa na moto wa majeshi ya Russia kiasi kwamba likatelekezwa kama chuma chakavu.

=====
View attachment 2244829

View attachment 2244826View attachment 2244827View attachment 2244828View attachment 2244830
PUNGUZA MAHABA KUNA MIMBA ZA UKUBWANI....
 
Kama Joe Biden mwenyewe kasema hivyo,Mimi Lee van cliff ni nani hata nipingane nae.?
Nawaomba Pro NATO mjadiliane nyinyi kwa nyinyi juu ya taarifa hii ya Biden.
Maana yake USA watatoa Juvelin TU lkn sio makombora ya kifika moscow.
Kwa Nini?
Mimi sijui.
Huu ndio ulikua mda Sasa wa USA kumpiga urusi kama ambavyo mmekua mkijiaminisha.Hakuna mda mwingine na wala hautakaa utokee.

Urusi sio ya mchezomchezo,Urusi ni Baba lao.

@ Proved
Swadakta mkuu,wakati hivi vita vinaanza,pro NATO wanaanza kusema Urusi itapigwa kama Iraq,nikawakumbusha, kwamba Ujerumani anamjua mrusi kama vizuri sana alichomfanyia kule Stalingrad. Ndio maana Ujerumani Yuko reluctant kutoa silaha,eti anasema mpaka mwenzi wa Saba ndio atatoa silaha, really!!? Ukisoma vizuri Ile vita, Mjerumani alizingirwa na mrusi,njaa ikampiga mpaka wanaanza kula nyama za farasi, Mrusi ni shidaaaa!
 
Umejisikiliza ulichokizungumza kabla ya kuhit reply? Silaha za kupiga in Russia Territory zina mhuri? Kuna silaha zilizo dedicated special kuhit in Russia territory?

Unajua silaha kuwa offensive au defensive ni kusudio wala sio aina ya silaha? Unajua hata panga tu hili linaweza kua Offensive likitumika kushambulia na linaweza kua defensive likitumika kwa kujilinda?

Kwani Belgorand ni kitongoji cha Mtwara? Zile ndege zilioenda huko kushambulia zilikuwa zinafanya Defensive au sio?

Unajua tofauti kati ya light weapons na Heavy weapons? Sasa unakana kua hawajahi kuomba silaha zenye uwezo wa kushambulia Russia, je Vipi huyu ambassador anayezungumza hapa chini ni wa msumbiji? Hizo long range missile alizoziomba na hizo long range missile walizomkatalia ni nini?

View attachment 2244695

Ok hapo issue ya Air defence system bila kusahau waliomba no fly zone pia zote wakakataliwa, kwani No fly zone unaiweka kwenye kundi gani? Is it defensive? If yes kwanini walikataa kuwapa wajilinde?

If it's offensive, NATO hawa kule Libya waliifanya ili iweje? Kwanini mnakuwa mnakwepesha udhaifu kwa hoja zisizo na mashiko mmh?

Can you tell us kwanini Ak47 iliyobebwa na mwanajeshi wa Russia huko Ukraine inaitwa Offensive, ilhali Ak47 hiyo hiyo ikibebwa na Mgambo wa JKT inaitwa defensive weapons?

Kwanini watu Smart like you mnapoteana sana, mnakosa logic kila ikitamkwa marekani? What's going on mmh? Em tupeni siri hizo tuzijue tupunguze kuwashangaa sana!

Af mtu like you wajifanya mpo neutral he he he [emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mapema leo baada ya US kukataa kupeleka makombora ya masafa marefu huko Ukraine, Ex President of Russian Federation amezungumza haya:

âš« Biden said the United States would not supply Ukraine with missile systems capable of attacking Russia.

Reasonable!

Otherwise, when attacking our cities, the Russian Armed Forces would have fulfilled their threat and struck at the centers of these criminal decisions.


Some of them are not located in Kyiv at all. What's next, no need to explain...

 Huh, Its him once again! Huyu mdau angekuwa incumbent hivi sasa dah! He he he 😂.
Kama jamaa walimpa gari aendeshe
..wakpokea wakamuonyesha namna ya kuendesha..sasa ngoja apewe tena
 
Back
Top Bottom