Natembea nayo ila kuna mengine nitakuwa nayaruka maana article ndefu mno... Pia kuna mengine nitayaacha bila tafsiri kwasababu kuyatafsri yataleta ugumu kueleweka kuliko hata yalivyo kwenye lugha hiyo ya kigeni.
Intel: Ukraine Inapoteza Wanajeshi 1500 kwa siku kwa kifo, kujeruhiwa, kukamatwa, kujisalimisha, au (wengineo) kutoroka.
"Mawasiliano yaliyodukuliwa kutoka kwenye Command za kijeshi za Ukraine yanaonyesha lengo lao la kujenga ulinzi mkali kutoka Poltava kupitia Dnepropetrovsk, Zaporozhia, Krivoy Rog na Nikolaev - Ingawa
none of that guarantees success against the incoming Russian onslaught.
Kuna mjadala mkali kati ya wataalam wa kijeshi wa Urusi juu ya kwanini Wizara ya Ulinzi
"does not go for a fast strategic victory. They could have reduced Ukraine to rubble – American style – in no time."
Lakini Hilo halitatokea. Warusi wanapendelea kuendeleza (operation yao) polepole na kwa hakika, kwa aina ya muundo wa "steamroller" (
mwondoko wa kukunjua kapeti [emoji23]).
Wanasonga mbele tu baada ya
"sappers" kufuatilia kikamilifu ardhi ya eneo mbele yao baada ya kukagua mabomu yaliyotegwa ardhini ukizingatia yamepandikizwa kila kona!
"
The overall pattern is unmistakable, whatever the NATO spin barrage". Hasara kwa Ukraine zinazidi kuongezeka yakadiriwa 1,500 kuuawa au kujeruhiwa kila siku. Ikiwa kuna Waukraine 50,000 kwenye
"Cauldrons" kadhaa za Donbass, basi huenda
they will be gone by the end of June.
Ukraine imepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000 Mariupol pekee. Hiyo ni kushindwa kwa kijeshi kwa kiasi kikubwa, tena kwa kiasi kikubwa kuzidi Debaltsevo mwaka 2015 na hapo awali Ilovaisk mwaka 2014.
Hasara nyingine huko Izyum inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko Mariupol. Na sasa
"come the losses in the Severodonetsk corner"...
(Tukumbuke) Tunazungumza hapa juu ya vikosi bora vya Ukraine. Haijalishi kwamba ni asilimia 70 tu ya silaha za Magharibi zilizotumwa na NATO zimewahi kufika kwenye uwanja wa vita: tatizo kubwa ni kwamba askari bora zaidi wanaisha
"best soldiers are going…going…gone, and won’t be replaced." [emoji45]
Azov neo-Nazis, Brigade ya 24, Brigade ya 36, brigade mbalimbali za Air Assault -
"they all suffered losses of 60+ percent or have been completely demolished"
...hasara kubwa itakayopatikana huko Severodonetsk and Lysichansk
"will ring serious alarm kwa Washington na Brussels", kwasababu italeta ishara kua ni mwanzo wa kuanguka kwa
"current regime in Kiev".
Hali hii itapelekea misaada kutoka magharibi kupungua,
this means heavy players won’t be exactly encouraged to bet on a sinking ship...
Zelensky yeye mambo yatakuwa shwari tu. Kwani analindwa na British and American special forces. Familia yake hivi sasa inaishi ndani ya Mansion kubwa tu huko Israel ($8 million mansion in Israel), anamiliki $34 million villa in Miami Beach, na nyingine huko Tuscany.
Average Ukrainians were lied to, robbed, and in many cases, murdered, by the Kiev gang he presides over oligarchs, security service (SBU) fanatics, neo-Nazis.
Na hao Ukrainians waliobaki (ambao kati yao 10 million wameondoka nchini hapo) wataendelea kua treated as "expendable".
Hapa naongezea maneno yangu kiduchu... Kua expendable ni sawa kutumika. Mfano kama tunavyosikia miongoni mwa wale waliojisalimisha wakisema namna wanavyolazimishwa kutumika jeshini bila uzoefu wowote.
Put simply, Ukraine is losing the war. They are losing fast. They are losing big.
Short of direct NATO intervention, there is no hope at all for Ukraine to prevail militarily.
Hapo ndio mwisho!
Kucopy na kupaste kwenye Translator ni easy ila ile tafsiri ya kwenye translator kuifanya ieleweke ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]. Nimetimiza ahadi kwa heshima yako
lee van cliff