Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Punguza hasira baba. Jibu swali Urusi imetoa msaada gani Tanzania kipindi hiki na unalingana vipi na msaada wa traditional development partners? Vizuri pia tukumbushane USSR is DEAD AND BURIED siku nyingi.
Ndio maana nikawaambia,Una akili ndogo Sana,siwezi kurudia swali ambalo nimeisha jibu.read between the lines.
 
According to your little brain,ndio maana unapanua hilo domo lako chafu.
Urusi ilizisaidia nchi za Africa wakati wa ukoloni kupata Uhuru,ikumbukwe,USSR kipindi hicho,ikitoa mafunzo na silaha kwa nchi nyingi za kiafrika hasa SADC,Afrika kusini ikiwemo. Kilichosababisha Urusi ikapotea Africa ni baada ya USSR kuanguka. Hawa mashoga unao wapigia Debe humu,wameawaua viongozi wetu ambao ni 'visionary' Sankara,Lumumba n.k. hii misaada wanaotuoa ni yakinyonyaji na kudhalilishana eti tuukubali ushoga,hivi ww babako angekuwa Shoga ungeona Sawa? Au labda ni Shoga tayari?
Izi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
 
Kwanini wanatutia alama kwenye bega? Huwezi kuchoma chanjo mpaka itokee?
Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.

Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.

Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri



Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.

Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?

Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?

Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.

Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.

Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.
Una vituko [emoji23]

Kwamba sani ovu bichii
Ee mdau 😂, anajiita hivo mkuu!

Hiyo Flouride ni mwisho wa reli, nasikia inachagiza kupunguza uwezo wa kumbukumbu? Ni kweli?
Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu 😂🤔...

lspcSS8eqhcvMsjcVb4ka66q0cpQ5F0vnjBYIsEO.jpeg


Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?

05f72080-f19e-43c4-bff5-9e1a1eba04a3.jpg


Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he 😆

Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka 😂 tuachane nayo hayo turudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
 
USA naye kuna wakati anajisahau anaichukulia Russia kama anavyozichukulia nchi kama zimbambwe, Venezuela na n.k hadi anahisi kama nchi ya Russia inategemea kujiendesha chini ya propaganda za USA

Russia inategemewa na dunia nzima, kuitenga Russia nisawa na kuitenga dunia hasa bara la ulaya, Russia katikisa tu kibiriti Ukraine, namba tumeisoma hadi sisi walala puu wa nchi za dunia ya tatu.

"EU" ndo ashawatoa akili kabisa wamekuwa kama wagonjwa wa kumbukumbu, leo wanasema hili, kesho wanalipinga yani kiufupi wamevurugwa.

Hii operation imekuja na ufunuo wa mambo mengi sana, dunia inaihitaji sana Urusi na Ukraine kuliko hata hao "EU" (wake wa USA) na Urusi akiishika Ukraine mashariki na kusini yote ikawa chini yake halafu akaamua kukaza kamba kuhusu exportation za raw materials, products na nishati kutoka Russia na Ukraine hata huyo USA itafikia muda maji atayaita mmaa, EU ndo watapoteana kabisa kwa njaa kali na baridi.
EU watakufa kama kuku ila nisuala la muda tu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda sana kusaidiwa! Ndio maana umekuwa tegemezi
Huyu jamaa simple mind anafanana na jina lake, ulaya ilipata misaada gani ikafika hapo ilipo? Ili tujiletee maendeleo,lazima tutumie raslimali zetu vizuri,huku tukiwa na viongozi wenye maono,hao viongozi wenye maono waliuwawa na hao wezi wanaojiita wabia maendeleo,kumbuka,wanachochukua kutoka kwetu,hakilingani na wanachotupa,ebu fikiria,kampuni zao zinachukua madini kwenye kontena,alafu wanakuletea vidonge vya ARV,neti za mbu,kuchimba visima vya million 10🚮
 
Muda wa kutumia kuni sasa.
View attachment 2249475

[emoji1103] People in Finland are at risk of being left without bread. Bakeries are experiencing difficulties in their work due to the reduction in gas supplies.

Who is to blame and what to do? All because of Russia, the authorities will say they are strange, and they will ask the Finns to be patient a little more.
Kazi iendelee.
FUT46e7XsAAD8F5.jpg
 
Afghanistan ni taifa la mbali sana, ila hako Kaukraine hapo jirani kamewatoza makamasi mumepoteza majenerali, mimeli, misafara imeliwa shaba, mumepoteza mindege, mumeuawa kama kuku na bado Kiev ilishindikana mumefuata tumiji twa huko mbali kama ilivyo Katavi kwa Tanzania.
Nyie manyangau Al shabab si iko mbali huko uarabuni tena ni migambo tu mmetumia saa moja tu
 
si hivyo, vita hii haitaisha leo kama unavyofikiri believe me, Ukraine haiwezi kuachia ardhi yao na ndiyo maana kila siku wanaomba silaha kali zaidi toka mataifa yenye uchumi mkubwa duniani kama US.

VIta itaisha kama mrusi atakubali pande zote kuweka silaha chini na kurudi mezani BILA masharti yoyote kwa Ukraine.

recall kauli ya NATO, USA pamoja na EU kwenye sakata hili.
Mtoto wa LBGTQ Unaonaje nikupelekee moto
 
Umeandika madini Sana nahisi wewe ni Educator by Professional. Ina stahili uzi wa hili suara. Ask-Q
Hapana mdau me jamaa flan tu hivi wa kitaa sina professional yoyote ya kwenye makaratasi iliyothibitishwa zaidi ya elim chini ya mwembe ndio imetufikisha hapa.

Kidogo japo kwa uchache huwa tunajaribu kuelezea yale tunayoyafaham so far!
 
Back
Top Bottom