Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ni wazo mbadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Nayo ni reason Russia ni threat kwao.