Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mUkraine wa Ukraine (achana na hawa waUkraine wa Kibaigwa) amefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi (nchi kavu tupu) ambayo Russia imeshaikamata nchini Ukraine. Matokeo yake yameonesha kuwa ukubwa wa maeneo hayo yaliyochukuliwa na Russia kwa sasa ni sawa na kilometa za mraba 123,299 ambazo ni sawa na uubwa wa nchi mbili za Switzerland na Austria zichanganywe kwa pamoja au uchanganye pamoja nchi nne za Croatia, Slovenia, Bosnia na Montenegro.

Chombo kingine huru kimefanya tathmini ya ukubwa wa ardhi yote iliyokamatwa na Russia toka Ukraine (ukijumlisha pia maeneo ya maji/bahari yaliyotekwa) na kuona kuwa ni kilometa za mraba 143,886.


View attachment 2248332View attachment 2248333View attachment 2248334
Mkuu usiwe unaandika kwa mhemko .Kumbuka Russia alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 11 na Sasa hivi Ukurein kaikomboa mikoa 7 kutoka jeshi la urusi na imebaki mikoa 4 na ndipo mapigano yanaendelea Sasa mihemko ya nini wakati anaendlea kupoteza,

Kwa kukusaidia tu kumbuka huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
 
Rogozin responded to the transfer of American MLRS to Ukraine.

Earlier, the media reported that Kyiv would receive HIMARS systems, but without long-range missiles. Later, the US ambassador to Ukraine said that Washington would not control the firing range, the Armed Forces of Ukraine would do it on their own.

“Conclusion: the United States is a deceitful and irresponsible instigator of a major war, not fully aware of the consequences of its provocative aggressive actions for its own security,” wrote the head of Roskosmos.

At the same time, the United States is relying on Kyiv's assurances not to use weapons for strikes against Russia. As noted in the Russian Foreign Ministry, it is useless to discuss these promises.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Oh no! Kuna kitu hakipo sawa... This is US Marine official account huko Twitter. Kwa maelezo hayo inaonekana wamejazana wengi sana jeshini kiasi wanapewa heshima kwa "services" iliyotukuka he he he!

View attachment 2248351

[emoji835] May the Almighty bless Russia and all people over the world who stand with Russia to fight against Hegemony ya hawa Ngedere.

Inaboa hasa huu mwezi Twitter huko utafikiri wanaazimisha sherehe za Uhuru. Kila Ukiperuzi Tweets kadha wa kadha unapishana nao...[emoji35]
Sielewi kwa nini hawa jamaa wanapromote sana hizo mambo leo nimeona social accounts nyingi za organization za kimataifa zinapromote hiyo ishu kuanzia UN, UNDP na mengine mengi
 
Mkuu usiwe unaandika kwa mhemko .Kumbuka Russia alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 11 na Sasa hivi Ukurein kaikomboa mikoa 7 kutoka jeshi la urusi na imebaki mikoa 4 na ndipo mapigano yanaendelea Sasa mihemko ya nini wakati anaendlea kupoteza,

Kwa kukusaidia tu kumbuka huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Acha uongo ebu taja hiyo mikoa.acha uongo
 
Marekani yalalamika kuwa Russia inataka kutaifisha mali za serikali ya Ukraine zilizopo mkoa wa Zaporizhzhia, mkoa uliotekwa na Russia. Katika mali zinazotaifishwa ni pamoja na makampuni makubwa, ardhi na mali asili.

Mwambieni Marekani atulize mshono, hizo ndio 'ngawira'...ni kawaida sana kwa mshindi wa vita kujipongeza kwa kuchukua ngawira

SmartSelect_20220602-201450_Chrome.jpg
Screenshot_20220602-201554_Chrome.jpg
 
Sielewi kwa nini hawa jamaa wanapromote sana hizo mambo leo nimeona social accounts nyingi za organization za kimataifa zinapromote hiyo ishu kuanzia UN, UNDP na mengine mengi
Nahisi taasisi zote za kimataifa zina mlengwa mmoja na zipo chini ya mwavuli mmoja. So kila kitu wanafanya kiko well organized kuhakikisha lengo linatimia.

Ingawa kitu kinachonishangaza ni baadhi ya watu kutoshituka na hizi agenda!

I do remember back in days, Galip Vrl alikuwa anahoji mara kwa mara kwenye huu uzi kua why hawa wanaopromote hizi mambo ndio walio nyuma ya Ukraine? Nini kinaendelea?

Kwasababu hata ukiangalia comments zilizo positive mwelekeo huo zina flag ya Rainbow na Ukraine pembeni. Huh!
 
Mkuu usiwe unaandika kwa mhemko .Kumbuka Russia alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 11 na Sasa hivi Ukurein kaikomboa mikoa 7 kutoka jeshi la urusi na imebaki mikoa 4 na ndipo mapigano yanaendelea Sasa mihemko ya nini wakati anaendlea kupoteza,

Kwa kukusaidia tu kumbuka huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Ebu ondo uharo wako hapa...

Ina maana wewe m-Ukraine uchwara unaijua Ukraine vizuri zaidi kuliko hata huyu m-Ukraine real Alex Bukoch anayeripoti jambo hilo na waUkraine wengine wakisikitika?

Nachelea kukwita 'Mpumb2vu'

Screenshot_20220602-210319_Chrome.jpg
 
Putin instructed the Cabinet of Ministers to approve a 5-year road construction plan worth more than 13 trillion rubles

“The biggest project in this area is the creation of the M12 Moscow-Kazan highway with access to Kazakhstan as part of the Europe-Western China corridor”

Ruble Trillion 13 ni sawa na Tsh 476,803,407,080,000.00
Nisawa na Tsh Trillion 477.
 
Oh no! Kuna kitu hakipo sawa... This is US Marine official account huko Twitter. Kwa maelezo hayo inaonekana wamejazana wengi sana jeshini kiasi wanapewa heshima kwa "services" iliyotukuka he he he!

View attachment 2248351

[emoji835] May the Almighty bless Russia and all people over the world who stand with Russia to fight against Hegemony ya hawa Ngedere.

Inaboa hasa huu mwezi Twitter huko utafikiri wanaazimisha sherehe za Uhuru. Kila Ukiperuzi Tweets kadha wa kadha unapishana nao...[emoji35]
Kwanini unatumia majukwaa ya US[emoji16]

Nilifikiri ungeenda kwenye majukwaa na apps za kirusi.. yani nyie ruken binukeni ila bado hamuwezi kusimama wenyewe.

Na wakiamua kuwakomesha wanaweka upinde kwenye timeline afu tuone sasa[emoji3]
 
Ili iwe balanced story Pia Weka sambamba na hasara aliyokwishapata ukraine.
Aweke au abalance vitu ambavyo havipo. Urusi wanaharibu majengo
, barabara madaraja na Miundombinu ya Umeme na Maji tu. Hii Urusi kapigwa 3 bila.
 
Back
Top Bottom