Kwani yeye Putin aliingia mazima kwenye vita ya USA dhidi ya Iraq, au aliingia kupitia mlango wa nyuma (kama anavyofanya leo USA kwa Ukraine)?inshu sio kumpa vislaha vya enzi za ujima tunataka nato wakiongozwa na baba yao America watie maguu kwenye uwanja wa vita kama walivyofanya Iraq, Libya , Afghanstan na pale kosovo, hapo ndio tutajua Putin anapigana na wanume, ila kwa sasa kwa hizi ngojera wanazoleta watabaki kua ni kikund kinachounda umoja wa machoko against mwamba Putin
Aweke au abalance vitu ambavyo havipo. Urusi wanaharibu majengo
, barabara madaraja na Miundombinu ya Umeme na Maji tu. Hii Urusi kapigwa 3 bila.
Kwa hiyo unaamini figa ipi?Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. Najua hii figure sio ya kweli, na hata hiyo alotoa Ukraine sio ya kweli. Ila ninachofahamu ni hiki, Russia aliingiza zaidi ya askari 150,000 ktk hii operation, walipofika kyiv kikosi kizima kilirudi nyuma kwa kasi ya ajabu mno. Askari 1,500 ni aslimia 1 tu ya kikosi kilichoingia ktk hii operation, sasa asilimia 1 ndo ikufanye urudi nyuma kwa kasi? Hapo ndipo naamini Russia ilipoteza askari wengi saana kiasi ikaona tishio, ikaamua irudi nyuma tu.
Kesho akija na takwimu hasi kuhusu Russia msiseme ni propaganda.Asilimia 20 ina thamani kuliko 80%.Huku ndiko kwenye viwanda na bandari zote za Ukraine.
sawa shoga wekeni tu hata video za kuzibuana mtaro wekeni.Kwanini unatumia majukwaa ya US[emoji16]
Nilifikiri ungeenda kwenye majukwaa na apps za kirusi.. yani nyie ruken binukeni ila bado hamuwezi kusimama wenyewe.
Na wakiamua kuwakomesha wanaweka upinde kwenye timeline afu tuone sasa[emoji3]
And then Ukraine will turn into another Afghanistan for Russia. It wont be easy for Russia to keep Ukraine. The fact is in the modern world, this war hurts Russia much as it hurts UkraineShauri yake, mpaka mwisho wa mwezi huu ya June zaidi ya 50% ya ardhi ya Ukraine itakua mikononi mwa Russia.
Kizazi kipya hicho mdau, kinapenda sana hizo mambo hawawezi kuyaona kero kwao, kina enjoy mbaka basi. Huwa siwajibu mie, maana kuna baadhi ya viumbe kujadiliana nao ni kutumia "pumzi za bure" vibaya.sawa shoga wekeni tu hata video za kuzibuana mtaro wekeni.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineMkuu usiwe unaandika kwa mhemko .Kumbuka Russia alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 11 na Sasa hivi Ukurein kaikomboa mikoa 7 kutoka jeshi la urusi na imebaki mikoa 4 na ndipo mapigano yanaendelea Sasa mihemko ya nini wakati anaendlea kupoteza,
Kwa kukusaidia tu kumbuka huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineAnd then Ukraine will turn into another Afghanistan for Russia. It wont be easy for Russia to keep Ukraine. The fact is in the modern world, this war hurts Russia much as it hurts Ukraine