Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ni vyema ukufahamu haya kwa sababu Historia imekupitia kushoto kidogo,
China ilipata maendeleo kwa gharama ya Wachina zaidi ya million 20 waliouwawa na utawala Mao kwa njaa, kufanyishwa kazi za kitumwa kwa nguvu au kwa sababu walikuwa matajiri.China ilipata maendeleo makubwa zaidi kuanzia miaka ya 1980 baada ya kuufungua uchumi wake kwa uwekezaji wa nje wa magharibi na kuingia soko la magharibi.
Eastern Europe ilapata maendeleo makubwa kuanzia mwaka 1990 baada ya USSR kuanguka na nchi nyingi za USSR ikiwemo Russia kuachana na ujamaa na kukumbatia ubepari .Kabla ya hapo mataifa mengi ya USSR yalikuwa maskini kapuku wa kutupwa.
India haijawahi kufuata sera za kijamaa.

Naomba uelewe kitu kimoja kwamba nchi yoyote ilio fuata development model ya ussr ya 'economy self reliance' US na wa shikaji wake walianza kuishambulia, kwa kila njia zikiwemo kuanzisha vikundi vya waasi, assassination of key leaders na economic sabotage za kila aina, development model ya self reliance economy haikupewa mda kua tested but was the best, China India Eastern Europe zilipata mda ndo unaona matokeo ya uchumi zao.
US na his capitalist ally ndo adui wakubwa wa new development ya Africa, wemezuia Africa kubuni new development strategies kila nchi inalazimisha ku-implenent outdated SAp (structural adjustments policy)ambayo I.eshondikana kwa Africa, kwahiyo Russia ndo mkombozi wetu kwenye hizo nchi, tunaomba hiyo operation iendelee beyond Ukuraini tena Mungu aki tusaidia Nuke moja iende London mji mkuu wa wingereza mambo mengi ya tabadilika in Africa......